Lissu anapigania Mambo ya msingi kuliko hata Dudu Baya. Lakini angalia akili za wabongo wengi. Hopelessly

Watajua wenyewe dunia ni uwanja wa vita ukiwa legelege yatakukuta mengi inatakiwa uishi kwa akili sana hivi ushakuwa mwanaume halafu unakuwa shoga huoni kama utakuwa na matatizo ya akili sasa mtu kama huyu mie siwezi kupoteza nguvu zangu kufatilia
Ndio washatokea sasa mashoga hapo unasemaje?nini kifanyike?
 
Machoko na wasagaji tutawapiga vita mpaka mwisho,msitaka kudivert hii movement eti kila mtu afuatilie siasa,
Kila mtu afuatilie akitakacho,ni upumbavu na ni ujinga wa hali ya juu sana kutaka kila mtu afuatilie ukitakacho wewe.
Wewe ndio mwenye shida mbona umeni quote wala sikua na mjadala na wewe mkuu matusi ni jadi yako haya tukana uwanja ni wako
 
Wewe ndio mwenye shida mbona umeni quote wala sikua na mjadala na wewe mkuu matusi ni jadi yako haya tukana uwanja ni wako
Wapi umetukanwa?

Hivi kuniambia comment yangu niiweke dampo unaona sio tusi hilo?

Usiseme hukua na mjadala na mimi,JF is an open forums,ukishaweka comment yako hapa inakua ni mali ya JF na kila member anakua huru kuichangia,

Mimi hua nampokea mtu kama anavyokuja,kuniambia comment yangu niiweke kwenye dustbin uliona ni sahihi? Uliona ni heshima?

Y B W Y B
 
Bro nimemaliza 😅 bye 👋
 
Hapa ndio umeongea points sana tujiwekeee sheria za kukataa lakini sio kumshambulia mtu
Mbona wakati tunawasema maccm kwa ufisadi kwa kuwataja majina, hakuna anayelialia kama mbwa coco?
Iweje kutaja majina ya machoko iwe nongwa?
 
***** unajiharishia hovyo tu njiani una uwezo gani wa kudhibiti jambo lolote lile?

Kama ulishindwa kuthibiti mgongo wako mpaka wakakutoboa utaweza kudhibiti nini tena?
Unajua watu wana changanya sana Kati ya schizophrenia na kurogwa lakini kiuhalisia hiyo ni dalili kubwa ya psychotic disorder na dalili zake zofutazo
Kujiona una akili kushinda wenzako
Kuwa na hasira kila wakati
kutukana mtu bila sababu
Kumchukia mtu bila sababu
Matarajio makubwa bila jitihada
unaweza kuona je hizi dalili zinawapata wengi bila kujua
 
Wabongo wanapenda kwenda na upepo wa vitu vyepesi vyepesi
wanapenda vitu vya mtandaoni umbea maisha ya watu maarufu nk

Asilimia 90 ya watanzania wanapenda udaku na umbeya..

Ni ngumu sana kumuamsha mfu wa akili!
 
Bro nimemaliza 😅 bye 👋
Next time kua makini sana unapoquote comment yangu coz mimi hua sina huruma wala hua sijali kwa mtu atakaye niletea disrespect,

Comment yangu niiweke dust bin? kwani wewe ni nani hasa mpaka uniambie hivyo?
 
umejenga hoja vilivyo

Tunalaana vitendo vya kishoga na wote wanaosupport huo ushenzi
 
Mbona wakati tunawasema maccm kwa ufisadi kwa kuwataja majina, hakuna anayelialia kama mbwa coco?
Iweje kutaja majina ya machoko iwe nongwa?
Mie sio ccm oya oya jambo likiwa la kweli linasemwa naumia na kukaa kimya
 
Bila kupinga maelezo yako yote, suala la dudubaya linatrend siku 2 hizi, baada ya hapo watu watahamia kwenye jingine. Bado watu wana muamko mkubwa sana na anachosimamia Lisu kuliko hili suala la dudubaya. Anchosimamia Lisu ni issue marathon, wakati hili la dudubaya nia mbio fupi.
 
Next time kua makini sana unapoquote comment yangu coz mimi hua sina huruma wala hua sijali kwa mtu atakaye niletea disrespect,

Comment yangu niiweke dust bin? kwani wewe ni nani hasa mpaka uniambie hivyo?
Unanitishia wewe ni nani?
Next time usi ni quote hutoona dustbin tena
NB : usinitishie tena 📌
 
Hizo dalili unazo wewe kwa kumchukia Dudubaya,hizo dalili unazo wewe za kuwachukia wanao msapoti Dudubaya,

Unataka watu wote tufuatilie unachokitaka wewe?

Wewe ungekua na akili timamu unge gawa kalio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…