Kweli hii nchi, raia wake ni maiti zinazilotembea. KhaaahHawezi kujigawanya kote huko amewaachia wengine,tuko Watanzania 65m kwa nini mnataka mmuachie peke yake majanga yote?huko kwingine unaweza ukasaidia hata wewe ila yeye hilo analofanya ndilo analolimudu
Hii comment ungei bold kabisaa.Wabongo wanapenda kwenda na upepo wa vitu vyepesi vyepesi
wanapenda vitu vya mtandaoni umbea maisha ya watu maarufu nk
Asilimia 90 ya watanzania wanapenda udaku na umbeya..
Ni ngumu sana kumuamsha mfu wa akili!
Tayari mie nae naambiwa nimo lol ๐๐Wanaelewa sasa? Wao wanachojua kubwata mtandaoni ndio kusolve jambo, ajabu iliyoje.
Twende taratibu Mimi nataka nikupe habari za Afya ya akili ili taifa letu lisipotee maana dalili zote unaonyesha kuna aina 2Wewe kichaa nani akuelewe muda wote unajiharishia tu,
Ungekua na uelewa ungewarespect wanaomsapoti Dudubaya,ungekua na uelewa usinge kua mjinga wa kutaka kuwapangia watu wafuatilie nini au wasifuatilie nini,
Nani amekupa mamlaka ya kuwapangia watu maisha?
Naona umeanza kujitongozesha kwa kuniwekea vi emoji vya kunichekea,kaa mbali na mimi,sina time na nyie mapapai.
Hao mafisadi ushahidi ulikuweoo, vipi mashoga ushahidi upo??Mbona wakati tunawasema maccm kwa ufisadi kwa kuwataja majina, hakuna anayelialia kama mbwa coco?
Iweje kutaja majina ya machoko iwe nongwa?
Naelewa mshangao wako mkuu๐๐ maana matendo yangu ya hovyo jukwaani na user name vinakupa mshangao lakini naitwa mwehu kwa sababu mkuuSikuchukulii serious mpaka ubadili avatar ๐ jokes
Hiyo quote ili ni ku quote umeandika wewe kweli๐ ๐
Hiyo ndio hoja yao kuu. Wasikupe preshaTayari mie nae naambiwa nimo lol ๐๐
Nenda taratibu na mumeo,sina mazowea na nyie machoko,hapa utapelekewa moto tu,huna marinda,so huna issue yeyote hapa,kajadili na machoko wenzako mlioshindwa kulinda migongo yenu.Twende taratibu Mimi nataka nikupe habari za Afya ya akili ili taifa letu lisipotee maana dalili zote unaonyesha kuna aina 2
organic psychotic na non organic psychotic
Tuanze na ipi
Sio kwa wabongo, hili la dudu baya litatrend hadi walio lipanga wakamilishe jambo lao.Bila kupinga maelezo yako yote, suala la dudubaya linatrend siku 2 hizi, baada ya hapo watu watahamia kwenye jingine. Bado watu wana muamko mkubwa sana na anachosimamia Lisu kuliko hili suala la dudubaya. Anchosimamia Lisu ni issue marathon, wakati hili la dudubaya nia mbio fupi.
Lissu huyo huyo ndiye aliyepigania haki ya mashoga akasema ni faragha yao hawapaswi kuingiliwa, au habari huna??Kwa akili yako ndogo unafikiri Tundu Lissu angekuwa shoga angeweza kufanya anayofanya!? YBWB!
Ko kumbe watu wanakimbilia huko km kipozeo cha kuogopa siasa kupotezwa??Laana ya ushoga ni kubwa.watu wanakimbilia huko sababu hakuna. Mtu anayetekwa.ila ukigusa siasa unapotezwa
Pumzika sasa mkuu..ushindi ni wenu๐Uongo! Kwahiyo lissu ni fake kuliko dudubaya? Wee kweli Dr manyau nyau.
๐๐๐
sioni ndani ya wiki 2 likitrend.Sio kwa wabongo, hili la dudu baya litatrend hadi walio lipanga wakamilishe jambo lao.
Au watekwe, wauawe, wanyimwe haki zao za msingi? Au aio?Hauhitaji mkuu, watu wafirane na kusagana tu.
๐๐๐Pumzika sasa mkuu..ushindi ni wenu๐
Ukiacha kuogopa kupotezwa hyo michezo haikubaliki kijamii Wala kidini.Ko kumbe watu wanakimbilia huko km kipozeo cha kuogopa siasa kupotezwa??
Wee utaona subirii.sioni ndani ya wiki 2 likitrend.
Hii yako yote haina mashiko, kuna mashoga hawana dini, na kunao ambao jamii sio suala lao. Labda km una hoja nyingine mkuu, ruksa kuiweka.Ukiacha kuogopa kupotezwa hyo michezo haikubaliki kijamii Wala kidini.
Sawa watu wanakwepa siasa wanakemea ushoga sababu ni jambo baya.
Kwa mfano wewe umejiweka wazi kwamba ni shoga. Tunahitaji ushahdi upi tena zaidi ya huo mzee wangu?Hao mafisadi ushahidi ulikuweoo, vipi mashoga ushahidi upo??