Katika historia ya Tanzania mwaka huu tunaenda kuona uchaguzi wa aina yake na uenda Mh Lissu akawa Rais wa Sita wa Tanzania kuna viashiria kadhaa
1. Alishinda urais wa TLS huku serikali ikiwa imetumia nguvu kubwa sana kumzuia
2. Amefinguliwa kesi nyingi sana kuliko MTU yoyote Tanzania
3. Ameshinda ubunge huku rais wa Awamu ya NNE akisema ni bora slaa ashinde kuliko Lissu kushinda lakini jamaa alitoboa
4. Ameshinda mauti awamu ya kwanza nani ataweza kuondoa uhai wake?
Huyu MTU sio wa kawaida kuna kusudi la Mungu katika huyu jamaaa