Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Tena bila hofu wala mashaka ya TCRA au POLISI kwa kutishia kuuwa!!Kila ukiwaza Magufuli atapambanaje na Lisu kwenye kampeni, unaona bora ujitoe muhanga. Na vile umelewa pombe mbovu, hapa ndio unaanika hofu na chuki yako wazi hadharani.