Uchaguzi 2020 Lissu anaweza kuleta uchaguzi mgumu kuwahi tokea

Uchaguzi 2020 Lissu anaweza kuleta uchaguzi mgumu kuwahi tokea

Serious Lisu asichezee nchi innyimwe misaada or whatever tuko wazalendo watetea nchi wajukuu wa Nyerere aliyemtukana Lisu bungeni .

Lisu be prepared ukitua Tanzania mimi Ni mmojawapo sijali come what may may msalit I was nchi wewe shingo yako halali yangu
Misaada ya nini huku mkiwananga
 
Siasa ni upepo na sio hesabu,waunga juhudi walipiga hesabu ya kurudi kunufaika kusaza Kodi zetu walidanganywa eti upinzani utakufa wakaamini wakawahi siti za mbele wakaliwa vichwa, wengine wanaomba msamaha warudi walipotoka.
 
Huyu Mbona tumeshamgundua, ni muda tu! Tunasubiri H. E Tundu Antipas Lissu aapishwe hapo November 2020. Watu wa kwanza kuwawajibisha kwa uovu wao atakuwa huyu Yehodaya na washirika wake wote.

Gambia juzijuzi waliohusika na mauaji ya mwandishi aliyekuwa akimpinga raisi Jammeh takribani miaka 10 iliyopita wamejitokeza na kukiri hadharani mbele ya umma. Next watakuwa hawa kina Yehodaya hapa Tanzania

Gambia wasiojulikana wote walishakamatwa wapo ndani wanajibu maovu yao pale walipomuona Jameh ni mungu wao sababu alikuwa akiwashibisha matumbo yao,majuzi jumba la Yahya Jameih limetaifishwa USA.
So wasiojulikana na wote waliodhulumu haki za watu wajiandae.
Wengine wanakufa kwa Presha sababu mioyo yao imelemewa,imeshindwa kubeba mazito waliyofanyia wenzao ili kushibisha matumbo yao.
Unamuuwa mwenzako sababu ya tumbo utapata vipi amani.
 
Hivi mtu anatoa comments za aina hii, ni kwanini Jeshi letu la Polisi lisimsake na kumfungulia mashitaka ya kujiapiza kutaka kuua?

Lazima ifahamike pia wale watu waliofanya jaribio la kutaka kumwua Lissu, hadi hivi sasa Jeshi letu la Polisi linatwambia ni watu wasiojulikana, ingawa kwa wajibu wa Jeshi la Polisi watakuwa "wanawafahamu"

Ni vyema Jeshi letu la Polisi likamkamata huyu mtu anayeitwa YEHODAYA likaanza naye uchunguzi wa tukio la kumiminiwa risasi Lissu

Watu kama hao ndo wanafanya Maxence Melo ashinde mahakamani kwa kesi za kijinga. Wampe Ban kabisa huyo jamaa
 
Serious Lisu asichezee nchi innyimwe misaada or whatever tuko wazalendo watetea nchi wajukuu wa Nyerere aliyemtukana Lisu bungeni .

Lisu be prepared ukitua Tanzania mimi Ni mmojawapo sijali come what may may msalit I was nchi wewe shingo yako halali yangu
Wewe umepagawa na pepo la kifo hakika ukijaribu ujinga huo jumatatu ndio utakuwa mwisho wako
 
Serious Lisu asichezee nchi innyimwe misaada or whatever tuko wazalendo watetea nchi wajukuu wa Nyerere aliyemtukana Lisu bungeni .

Lisu be prepared ukitua Tanzania mimi Ni mmojawapo sijali come what may may msalit I was nchi wewe shingo yako halali yangu
Kama ingekuwa ile JF niliyoijua wewe ungeisha pata ban zamani kwa kauli zako hizi,ila itoshe tu kusema wewe hujitambui,na bahati mbaya sana wewe sio mnufaika na mfumo ni mbwa anaebweka tu asie na madhara yoyote.
 
Back
Top Bottom