Uchaguzi 2020 Lissu anaweza kuleta uchaguzi mgumu kuwahi tokea

Kila ukiwaza Magufuli atapambanaje na Lisu kwenye kampeni, unaona bora ujitoe muhanga. Na vile umelewa pombe mbovu, hapa ndio unaanika hofu na chuki yako wazi hadharani.
Tena bila hofu wala mashaka ya TCRA au POLISI kwa kutishia kuuwa!!
 
Wanaokuchochea uropokwe watakuruka yakishakuchachia.
Hivi hamjifunzi kwa waunga juhudi na wafia chama?
 
Wewe huna lolote, ni mpayukaji tu.

Tena mwendawazimu. Huwezi kuhusisha jina la Mwalimu Nyerere na ukichaa wa aina yako. Jaribu kumwekea staha Mwalimu, mtu ambaye Mungu alitupa bahati sana kuwa naye hapa kwetu kama kiongozi wetu.
 
Aah wapi! Mkwara wa Mende juu ya mkate!
 
Hawezi kuwa na chuki hii, halafu uniambie siyo huyu kiazi aliyetaka kumuuwa!
 
Kwa hiyo sio Lissu peke yake basi anayekusumbua!
 

LISSU, the Great.
 
Wewe mbona tumeshamtumia id yako pompeo. You have been watched Makonda.
 
Niliwai sema na nasema tena. Tundu Antipas Lissu ni moja ya watu wa kipekee sana ambao Tanzania tumebarikiwa na Mungu. No wonder Mungu alimuepusha na kifo kwenye risasi 38.

Ni maombi yangu October mwaka huu awe raisi wa Jamhuri ya Muungano. Nitamtetea na kumpigia kampeni kwa nguvu zangu zote.

Kwa Maendeleo ya kweli ya Watu, vitu na kiuchumi, Tanzania inahitaji Sera mbadala na watu mbadala nje ya sera za kijamaa za CCM na akili za watu wa CCM
 
Asante sana ndugu kwa kumwambia ukweli. CCM hawana namna mwaka huu zaidi ya kukabidhi ikulu kwa Tundu Antipas Lissu . Wamejaribu njia zote wamefeli saivi wamehamia kwenye vitisho. Na uzuri ni kuwa wanafuatiliwa zaidi ya wao wanavyodhani saivi
 
Wewe huna lolote, ni mpayukaji tu.

Tena mwendawazimu. Huwezi kuhusisha jina la Mwalimu Nyerere na ukichaa wa aina yako. Jaribu kumwekea staha Mwalimu, mtu ambaye Mungu alitupa bahati sana kuwa naye hapa kwetu kama kiongozi wetu.
Lisu alimtukana na Ndio napata hasira Sana Susi wengine tuna shukrani kwa Nyerere yet na wehu wake anadhani anaweza tukana Nyerere na akawa salama hakuna kitu Kama hicho
Anyway aje Tanzania atatukuta watetezi wa Nyerere .Kama yeye ambavyo hujitia jasiri haogopi kutukana Nyerere,kusaliti nchi na kuidhalilisha asidhani Ni yeye tu jasiri pekee nchi hi na sisi tupo na mmojawapo Mimi namweleza wazi simuogopi come what may tutapambana naye bila woga Wala chochote Hadi kieleweke .Heri mtu mmoja aangamie kuliko taiga liangamie .Taifa Ni zaidi ya Lisu awe tu prepared .He is fearless we are also fearless

Akifika nchini Ndio atajua kuwa hakuna ansyemuogopa
 
Uchaguzi uliotingisha nchi ulijuwa wa Lowasa tu.
Hiii ya 2020 sisiem wameshinda hata kwa kunyosha vidole.
Upinzani haupo sema ile methali inasema
"Mfa maji haachi kutapatapa"
 
Kwa maneno hayo,sijui kwa Nini mods wasikupe ban ya milele.
So maneno ya mtu mzima mwenye akili,upinzani katika siasa haufikii kuombeana kifo,Kama ukifikia hatua hiyo wewe imetoka kwenye kundi la upinzani uneingia kwenye unyama Tena.
 
Makonda mjinga sana, utoto mwingi. Ameshangazwa na ANGUKO lake, wazee wa ccm wamekuja kwa kasi vijana wametupwa nje kwenye kura za maoni.
 

Kapitishwa na chadema?

Dream zenu anayeziua ni mbowe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…