Uchaguzi 2020 Lissu anaweza kuleta uchaguzi mgumu kuwahi tokea

Hakuna Kafiri mwenye ujasiri wa kukata shingo ya mtu. Hayo ni makelele kama yale mengine tu. Ova
 
Mkuu, hv huyu YEHODAYA ni nani hasa? Kama anatishia kuua ni vzr akafahamika wazi wazi. Tuwekee jina lake hapa, pls
 
Mods waweke wazi identity ya huyu muuaji
 
Lissu ni zawadi ya Mungu kuja kuwakomboa watanzania.
 
Mods waweke wazi identity ya huyu muuaji
Huyu Mbona tumeshamgundua, ni muda tu! Tunasubiri H. E Tundu Antipas Lissu aapishwe hapo November 2020. Watu wa kwanza kuwawajibisha kwa uovu wao atakuwa huyu Yehodaya na washirika wake wote.

Gambia juzijuzi waliohusika na mauaji ya mwandishi aliyekuwa akimpinga raisi Jammeh takribani miaka 10 iliyopita wamejitokeza na kukiri hadharani mbele ya umma. Next watakuwa hawa kina Yehodaya hapa Tanzania
 
Shindwa na ulegee,unaombea kifo cha Mtanzania mwenzako?Hiyo chuki yote ni kumlinda Jiwe?
 
Utakufa wewe na ukoo wako wote hadharani. Manina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…