Uchaguzi 2020 Lissu anazidi kuumbuka, kila hoja anayoanzisha inaonekana haina mashiko kwa Watanzania

Hii n kwa waalimu tu,hausiani na uzi wako,mfano mwanafunz anaeshika namba ya mwisho akidiskasi na yule anaemfuatia huwa waalimu kwa tathimini yenu mnatarajia kuvuna nini kwa hawa watoto wa bottom three or two?
 
Hii n kwa waalimu tu,haisiani na uzi wako,mfano mwanafunz anaeshika namba ya mwisho akisiskasi na yule anaemfuatia huwa waalimu kwa tathimini yenu mnatarajia kuvuna nini kwa hawa watoto wa bottom three or two?
We umeandika nini? Au una logic gani?
 
Tukoa tunywe wote na wewe sijanywa tena lakini uteuzi hupati tena kwani mtukufu mwenyekiti wa CCM bado hajakubali utetezi wako dhidi yake
Kwani mimi natafuta uteuzi? Mimi nasema kweli tu. Hoja ya Lissu kuhusu diplomasia kuharibika ni uongo na uzandiki.
 
Nakubaliana na wewe, Rais wa Burundi kumtembelea Mrundi mwenzie ni Mahusiano mazuri si tu ya kidiplomasia Bali ya kindugu kabisa. Hata yeye mwenyewe amesema Magufuli ni baba yake.
Nonsense,kwa hiyo Kenyatta akisema ana undugu na watanzania tayari JPM ni mkenya!
 
Acha hasira,Lissu anasema JPM ameharibu uhusiano wa kidiplomasia kitu ambacho si kweli, hafai.


Huyo Rais wa Burundi AMEITWA na GHARAMA ZA SAFARI ZIMELIPWA NA TANZANIA.

ILI MRADI TU IONEKANE AMEKUJA.

NI HADAA.
 
Hii n kwa waalimu tu,hausiani na uzi wako,mfano mwanafunz anaeshika namba ya mwisho akidiskasi na yule anaemfuatia huwa waalimu kwa tathimini yenu mnatarajia kuvuna nini kwa hawa watoto wa bottom three or two?
Hausiani na uzi umeiweka hapa ili iweje?
 
Nmejua kuna average mind kama wewe ndo maana nikasema wenye average mind kam wewe mtaanza kuuliza maswali wkt wapo wanao catch up fast
Kama wewe ni mwalimu basi ni wale ambao mlipata div four ya 28. Hufai kuwa mwalimu.
 
Kama Magufuli ataweza kuchimba na kuchenjua madini nickel yanayopatikana kwa wingi Kabanga mpakani mwa Burundi na Tanzania atakuwa ameshinda mtihani wa kwanza wa uwekezaji mkubwa wenye tija.
Madini ya Nikel yana thamani kubwa na yana matumizi mengi mno duniani.
Tatizo mmoja kubwa kuchenjua Nikel kunahitaji umeme mwingi,hivyo basi ujenzi wa Bwawa la Nyerere ujengwe kwa haraka sana na Kigoma iunganishwe kwenye grid ya taifa.
Tatizo jingine usafirishaji ni tatizo,labda ijengwe reli ya kutokea Kabanga iunganishwe na Uvinza as soon as possible.
Mwisho nchi irudi kwenye road map ya NDC ya kuyeyusha chuma cha Liganga kitakavyotumika kuunda vitu mbali mbali nchini hapa nchini tukiongezea na madini ya Nikel.
 
Mradi wa JNHPP unakamilika mwakani mwezi wa sita,hizo njia za kusafirisha nickel zitajengwa fasta. Pia bwawa la umeme Rusumo litakuwa limekamilika. Kwa hiyo usihofu.
 
Mahusiano ya kidiplomasia yapo vizuri. Hii ziara ya rais wa Burundi ni ishara tosha.
Sasa huyo ana msaada gani kwa chama na nchi? Au kamuahidi kuwasombelea kwa malori warundi waje kumpigia kura?
Hana impact yoyote huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…