Uchaguzi 2020 Lissu aonya juu ya mkakati wa nia ovu ya kumuengua baada ya watawala kupagawa kwa kimbunga chake mikoani, asema hilo halitofanikiwa

Uchaguzi 2020 Lissu aonya juu ya mkakati wa nia ovu ya kumuengua baada ya watawala kupagawa kwa kimbunga chake mikoani, asema hilo halitofanikiwa

Lissu ana hofu kubwa sana ya uchaguzi.anajuta kwa nini alijitumbukiza kwenye ushindani ambao anajua kabisa hawezi shinda.watanzania wanampuuza kila uchwao.
Kweli, wamuache tu agombee.
Kwanza hajui kuongea,hajulikani hata kwa wananchi. Hawezi kuongoza wamuache tu.
Hakuna wa kumpa kura kiukweli.
 
Mimi natoa ushauri.
Lisu kwa sasa,Sisi ambao Ni wapinzani wake,Tunatakiwa Kumu-Ignore,ndo uthibiti pekee unaofaa.Tukianza kumfuatafuata tutampaisha bure bila sababu.Kwa vyovyote vile,CCM iko juu,Magufuli yupo juu .Kwanini tupoteze muda wetu kwa Lisu wa kufanya Mambo mengine ya maana ? ILA UCHAGUZI WA 2025 NDO TUNATAKIWA UMAKINI WA KWELI KUHUSU WAPINZANI.Hata Lisu mwenyewe anajua kwa sasa hatashinda Ila anajitambulisha TU kwa WaTanzania kwa ajili ya kugombea rasmi 2025.Ni Kama Mzee kikwete alivyotia amsha amsha enzi zile 1995 Alipopambana na Mh Mkapa katika zile 3 Bora za CCM,Mkapa akaibuka kidedea na Miaka 10 baadaye,Kikwete aliporudi Tena Akaupata urais kwa urahisi na kwa kishindo.
 
Wewe ndio unamwelewa vizuri Lissu. Wengine ni Full kupanic tu
 
Huyu jamaa anashida kichwani maana alituambia Magu ameanza kutoa rushwa mapema leo anasemaje
Alisema ukishatia nia na kuchukua form ya kugombea uraisi wa JMT, huruhusiwi kuhutoa ama kupokea ama kujihusisha na vitendo vinavyoashiria rushwa.
 
Watawala waache fujo, Lissu ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake ya kisiasa (Freeodom of speech), kujumuika na umma(Freedom of assembly) na kwenda nchini popote pale anapopataka (Freedom of movement) . Hizo haki hazikomi kipindi cha uchaguzi!

Kama Watawala wanadhani Lissu anavunja sheria za nchi basi wamshitaki mahakamani!
 
Yaani kumchagua lisu tumepotea sana wanachadema
Lisu ana akili nyingi sana lakini hana hekima kabisa
..afadhali ya nyarandu mara mia kuliko lisu
Naomba msinifokee maoni yangu tu..
Ukileta maoni ya kimatangatanga unafokewa tu.
 
Lissu ana hofu kubwa sana ya uchaguzi.anajuta kwa nini alijitumbukiza kwenye ushindani ambao anajua kabisa hawezi shinda.watanzania wanampuuza kila uchwao.
Rekebisha hapo, siyo Watanzania sema baadhi ya sisi Matanga. Unajua kuwa kuna matanga wengine watapiga kura kwa Lisu?
Tunza akilini hili.
 
Kuna tofauti ya kutoa rushwa ili uchaguliwe na kuanzia kampeni mapema. Ni sheria mbili tofauti. Ni jambo la kisheria hivyo mtu ambaye hana legal knowledge aweza changanya
Soma vizuri alichokisema mwanzo na sasa ndio utanielewe
 
Akizungumza mbele ya umati wa wananchi huko Babati, Lissu amesema wamepata taarifa za vikao vya wakubwa na vibaraka wao wanaohofia kimbunga chake huko mikoani.

Lissu anasema mkakati huo wa kumuengua ulijenhwa juu ya hoja mbili.

1. Ya kwanza ni wao kutaka kupitia kichaka cha maadili, kwamba kwa kuwa alifutwa Ubunge na Ndugai kupitia hoja mfu za maadili basi asiruhusiwe kugombea urais. Lissu anasema hoja hiyo wameshaifuta kwa sababu sheria inataka mtu awe amefungwa ndo hilo takwa linakamilika.

2. Pili kuhusu nia yao ovu ya kumuengua kuhusu kuanza kampeni mapema Lissu kasema kuwa kisheria Mtu haanzi kampeni mapema mpaka awe tayari ameshapitishwa na tume huru ya uchaguzi kuwa mgombea na kisha tarehe ya kampeni iwe imetangazwa ndo unaweza kusema kuwa huyu kaanza kampeni mapema! Kama Tume haijapitisha wagombea basi kisheria hakuna cha suala la kuanza kampeni mapema.

Hoja kuntu za Lissu unaweza kuzisikiliza hapa chini:

Huyu jamaa anajua kila kitu mpaka huwa natamani mwanangu yeyote aje awe kama huyu mwamba! Amen
 
Lissu alikuwa ameanza campaign mapema simple as that awezi jifananisha na raisi katika miaka 5 mtu aliekuwa anatimiza wajibu wake.

Kanuni za uchaguzi ziko wazi na chombo chenye mamlaka ya kuzitunga ni NEC kwa mujibu wa sheria, Lissu was wrong, mengine ni porojo.

Labda atumie mfano wa anachokiongea Magufuli muda huu kwenye mkutano wa TAG huku sasa ni kufanya political campaign na yeye.

Ukishaanza kuingiza mambo ya umefanya nini na kutoa ahadi za mbele utafanya ita ilo tukio kwa jina lolote sijui mwaliko au harakati za kutafuta wadhamini provided umeingiza maneno ya kujipigia debe that’s a campaign.
 
Back
Top Bottom