Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
HeheheAna akili kwa mambumbumbu lakini kwa watu werevu wanamuona kama kichaa fulani hivi.
We mwenyekiti wa CCM unaona zinamtosha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheAna akili kwa mambumbumbu lakini kwa watu werevu wanamuona kama kichaa fulani hivi.
Raha ya uchaguzi uwe na ushindani +Aisee bila huyu jamaa uchaguzi mwaka huu ungepwaya sana aisee!
Kweli, wamuache tu agombee.Lissu ana hofu kubwa sana ya uchaguzi.anajuta kwa nini alijitumbukiza kwenye ushindani ambao anajua kabisa hawezi shinda.watanzania wanampuuza kila uchwao.
Hujaona mambo yaliyofanywa na WAJUMBE.Magufuli anazidi kujiaibisha.
Aache atashinda tu Jpm atashinda anaogopa nini??
vip lowasa na slaa nao walikuwa nini?Hiki kichwa balaa!!
Wajumbe wamemwonesha kuwa wao ndio wenye chamaHujaona mambo yaliyofanywa na WAJUMBE.
Wewe ndio unamwelewa vizuri Lissu. Wengine ni Full kupanic tuMimi natoa ushauri.
Lisu kwa sasa,Sisi ambao Ni wapinzani wake,Tunatakiwa Kumu-Ignore,ndo uthibiti pekee unaofaa.Tukianza kumfuatafuata tutampaisha bure bila sababu.Kwa vyovyote vile,CCM iko juu,Magufuli yupo juu .Kwanini tupoteze muda wetu kwa Lisu wa kufanya Mambo mengine ya maana ? ILA UCHAGUZI WA 2025 NDO TUNATAKIWA UMAKINI WA KWELI KUHUSU WAPINZANI.Hata Lisu mwenyewe anajua kwa sasa hatashinda Ila anajitambulisha TU kwa WaTanzania kwa ajili ya kugombea rasmi 2025.Ni Kama Mzee kikwete alivyotia amsha amsha enzi zile 1995 Alipopambana na Mh Mkapa katika zile 3 Bora za CCM,Mkapa akaibuka kidedea na Miaka 10 baadaye,Kikwete aliporudi Tena Akaupata urais kwa urahisi na kwa kishindo.
Alisema ukishatia nia na kuchukua form ya kugombea uraisi wa JMT, huruhusiwi kuhutoa ama kupokea ama kujihusisha na vitendo vinavyoashiria rushwa.Huyu jamaa anashida kichwani maana alituambia Magu ameanza kutoa rushwa mapema leo anasemaje
Alisema ukishatia nia na kuchukua form ya kugombea uraisi wa JMT, huruhusiwi kuhutoa ama kupokea ama kujihusisha na vitendo vinavyoashiria rushwa.Huyu jamaa anashida kichwani maana alituambia Magu ameanza kutoa rushwa mapema leo anasemaje
Jamaa kichwa sanaHa ha jamaa ana akili sana..kweli unaanzaje kampeni wakati hujateuliwa?
Keyboard warrior.......hamna kura za huruma mwaka huuWajaribu, wathubutu, tutawafundisha adabu, watajuta!
Ukileta maoni ya kimatangatanga unafokewa tu.Yaani kumchagua lisu tumepotea sana wanachadema
Lisu ana akili nyingi sana lakini hana hekima kabisa
..afadhali ya nyarandu mara mia kuliko lisu
Naomba msinifokee maoni yangu tu..
Rekebisha hapo, siyo Watanzania sema baadhi ya sisi Matanga. Unajua kuwa kuna matanga wengine watapiga kura kwa Lisu?Lissu ana hofu kubwa sana ya uchaguzi.anajuta kwa nini alijitumbukiza kwenye ushindani ambao anajua kabisa hawezi shinda.watanzania wanampuuza kila uchwao.
Soma vizuri alichokisema mwanzo na sasa ndio utanieleweKuna tofauti ya kutoa rushwa ili uchaguliwe na kuanzia kampeni mapema. Ni sheria mbili tofauti. Ni jambo la kisheria hivyo mtu ambaye hana legal knowledge aweza changanya
Sema Lissu wetu na siyo wenu, unajua ndiye Rais ajayeAmeshaanza kupagawa huyo Lissu wenu
Akizungumza mbele ya umati wa wananchi huko Babati, Lissu amesema wamepata taarifa za vikao vya wakubwa na vibaraka wao wanaohofia kimbunga chake huko mikoani.
Lissu anasema mkakati huo wa kumuengua ulijenhwa juu ya hoja mbili.
1. Ya kwanza ni wao kutaka kupitia kichaka cha maadili, kwamba kwa kuwa alifutwa Ubunge na Ndugai kupitia hoja mfu za maadili basi asiruhusiwe kugombea urais. Lissu anasema hoja hiyo wameshaifuta kwa sababu sheria inataka mtu awe amefungwa ndo hilo takwa linakamilika.
2. Pili kuhusu nia yao ovu ya kumuengua kuhusu kuanza kampeni mapema Lissu kasema kuwa kisheria Mtu haanzi kampeni mapema mpaka awe tayari ameshapitishwa na tume huru ya uchaguzi kuwa mgombea na kisha tarehe ya kampeni iwe imetangazwa ndo unaweza kusema kuwa huyu kaanza kampeni mapema! Kama Tume haijapitisha wagombea basi kisheria hakuna cha suala la kuanza kampeni mapema.
Hoja kuntu za Lissu unaweza kuzisikiliza hapa chini:
Je jiwe yeye anaonekanaje sasa kama Lissu anaonekana kama kichaa?Ana akili kwa mambumbumbu lakini kwa watu werevu wanamuona kama kichaa fulani hivi.