Lissu asema CHADEMA itaigawa Tanzania kwa Majimbo. Kila jimbo litakula kwa urefu wa kamba yake

Lissu asema CHADEMA itaigawa Tanzania kwa Majimbo. Kila jimbo litakula kwa urefu wa kamba yake

Naunga mkono hoja ya Lissu kwa sababu anaweza kutekeleza ndoto zangu!!

Kwenye laptop yangu kuna unpublished manuscript niliyoandika 11 years ago! The title is Tanzania's Economic Development Bible!

Among other things ni kuunda Majimbo ya Kiuchumi with full autonomy ya kuendesha majimbo yao kiuchumi!
Na jeshi lako uliandika utali fund vipi?
Maswala ya National security kama TISS na tactical infrastructure nani alipie cost zake?
Who’s to be in control of the banking sector, monetary and fiscal policies, role of central bank?

Ebu tuelezee hiyo paper yako inasemaje kuhusu maeneo hayo? Uchumi wa jimbo uki collapse what your bailout plan and who’s to fund that.
 
Wasalaam wana jamvi

Leo Lissu kaendelea na kampeni lakini jambo la kushitua zaidi ni mpango wa chadema wa kuigawa Tanzania kwa majimbo kwa kisingizio kuwa majimbo ndio chanzo cha maendeleo!

Lissu ameendelea kusema kuwa nchi ikagawiwa kwa majimbo ndio watu watapata maendeleo na kila mtanzania atakula kwa urefu wa kamba zake!

Wasalaam wana jamvi

Nini cha kushangaza? Huo ndio mfumo ambao upo katika nchi nyingi duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Selfish oriented policy...maana baada ya hapo kila mtu ataenda kwenye Kanda yke kufanya maendeleo..mwisho utaskia wachaga wote,mwanza, kahama ,dar na other places warudi kwao..wakinga nao the like..
Kutakuwa na wasomi nao watataka wafanye kazi kwenye Kanda/Jimbo lao..and the story goes on..
Mawazo yangekuwa yanagandishwa kama maziwa haya ya kwako yangeitwa "Mawazo mgando". Tazama nchi zenye utawala wa majimbo bado suala la ajira kuna waajiriwa wa serikali kuu na wa serikali za majimbo. Kama ilivyokuwa Tanzania kabla ya awamu hii iliyokumbatia fedha zote mikononi mwa mtu mmoja, Hlmashauri zilikuwa na boti za ajira ambako watendaji wa vijiji/kata na baadhi ya watumishi wa halmashauri wa ngazi Fulani waliajiriwa na bodi hizi. Hata rasmu ya Warioba ilipoweka wabunge wa mikoa muundo wa utawala katika mkoa ulijijengea mamlaka Fulani ya kikanda. Mnataka kuwa wanasiasa halafu hamsomi historia?
 
Na: Mh Tundu Lissu

Pesa za mifuko ya hifadhi ya jamii hazitajenga kiwanda chochote. Ni siasa tu. Pesa za mifuko ya hifadhi ya umma sio pesa za serikali, ni pesa za wafanyakazi. Zinatokana na makato yao ya mishahara.

Serikali imekuwa inatumia pesa hizi kama zake, wakati sio zake. Pesa hizo zimetumika kujenga UDOM kwa makubaliano kwamba serikali hii ingerudisha pesa hizo kwa mifuko hiyo.

Haijarudisha hata senti moja. Pesa hizo zimejenga jengo la Usalama wa Taifa OysterBay Dar. Serikali haijarudisha hata senti moja kwa mifuko ilikochota pesa hizo.

Pesa za mifuko zimejenga jengo la Machinga Complex Ilala Dar na nyumba za polisi Kurasini Dar. Serikali haijarudisha hata senti moja. Ndizo zilizojenga Daraja la Mwalimu Nyerere Kigamboni.

You can rest assured haitarudi hata senti moja. Ukweli, kama alivyosema CAG kwenye mojawapo ya taarifa zake za mwaka, mifuko ya hifadhi ya jamii ina hali mbaya ya kifedha.

Hii ndio sababu wenye mamlaka wanataka kuondoa fao la kujitoa. Wameigeuza mifuko ya hifadhi ya jamii kuwa shamba la bibi mpaka mifuko inakaribia kufilisika. Sasa wanataka kuficha uchafu huu kwa blangeti la uzalendo uchwara.

Wafanyakazi wa Tanzania wakikubali udanganyifu huu wataliwa kama ambavyo pesa zao zimeliwa kwenye miradi niliyoitaja. Suala sio tuache siasa. Hatuwezi kuacha siasa.

Suala ni tuache siasa za aina gani. Hawa wanasiasa wanaojivika uzalendo uchwara kuhusu hela za wafanyakazi wao wenyewe wametengenezewa utaratibu maalum ambapo wanakatwa na NSSF halafu baada ya kumaliza ubunge wanarudishiwa pesa zao.

Hawasubiri wafikishe miaka sitini ndipo wapate mafao yao ya kujitoa. Halafu wanawahubiria wafanyakazi wasubiri miaka sitini ndipo wapate mafao yao. Wana ndimi mbili kama za nyoka. Wafanyakazi wa Tanzania amkeni, hamna chochote cha kupoteza isipokuwa minyororo yenu.
 
~naiona Arusha kama Carlifornia
~Mtwara kama Texas
~Kilimanjaro kama New York
~Dar kama Chicago
~na Zanzibar kama Jimbo la Hawaii kama laiti Lissu akishinda
~Tabora kama jimbo la Nevada
Future impossible action
 
Constitution law yenyewe hajui tofauti ya unitary na federal constitution ni kwamba kwenye federal (majimbo) Mkuu wa mkoa na serikali ya mkoa wanaamua budget yao ya mkoa wanatumia vipi katika fungu lao watakalopewa kutoka central government na kukusanya yale yale wanayoruhusiwa kama ilivyo leo kwenye mapato ya halmashauri.

Lakini mambo ya natural resources, corporate taxes, laws na kila kitu kinabaki serikali kuu kwenye federal wanaachiwa mambo machache sana.

Hivi huyu kiazi mbona mna mkuza sana, yeye ameishi sehemu na kujionea mambo fulani hata hajui how those systems work anajiropokea tu na kuna mijitu inashangilia.
Acha kukariri!

Unazungumzia Federal Law ipi wakati Tanzanai ni unitary government?!

Tangu kuanzishwa kwao CHADEMA wana sera ya majimbo! Which means, wakiingia madarakani wanaweza ku-opt sera ya majimbo na hatimae kuwa na federal government!

Wakifanya hivyo ina maana kutakuwa na federal constitution in place of unitary constitution!

So, it's all about Federal Constitution itasema nini about various issues including taxes, and tax income allocations, resource distribution, etc.
 
Na jeshi lako uliandika utali fund vipi?
Maswala ya National security kama TISS na tactical infrastructure nani alipie cost zake?
Who’s to be in control of the banking sector, monetary and fiscal policies, role of central bank?

Ebu tuelezee hiyo paper yako inasemaje kuhusu maeneo hayo? Uchumi wa jimbo uki collapse what your bailout plan and who’s to fund that.
Are you serious?! Ina maana kwako hayo ndo umeona maswali magumu?! Tangu lini ugumu ukawa on how to use money?!

Nilitarajia ungehoji umependekeza nini kwa mikoa/majimbo ambayo haina raslimali za kutosha, lakini unahoji how to run and fund some entities?!
 
Chadema wanatumia nguvu nyingi kuficha hii sera, hujawai kusikia kiongozi yoyote wa Chadema ana simama jukwaani na kusema nia ni kuigawa Tanzania kwa vipande. Hata kama iko kwenye sera lakini hainadiwi ki wazi-wazi. Lissu pekee ndio mwenye uwezo wa kumwaga mboga na ugali hadharani.

Kugawa majimbo, sio kugawa nchi. Huwezi kugawa nchi bila kubadili katiba. Na Chadema bila wabunge itabadili nini? Je vile vyama ambavyo Chadema inataka kushirikina navyo, na wao wanakubaliana kuimega Tanzania kwa vipande?
Ukisikia Sera ya majimbo wenzako wanakwambia nchi wanaigawa alafu wewe unakubali tu kwa sababu wewe ni zuri. Katika dunia ya sasa hakuna sera makini katika kuchochea maendeleo ya kweli ya watu kama sera za majimbo kwa sababu inachchea maendeleo kila sehemu sio kama sasa nyie mnakusanya kodi kutoka kwa watanzania wote alafu mnagawa maendeleo kibaguzi hasa mkinyima maendeleo sehemu za wapinzani
 
So, it's all about Federal Constitution itasema nini about various issues including taxes, and tax income allocations, resource distribution, etc.
☝️Above ndio swali nililokuuliza hilo kuhusiana na paper yako ya decentralised economy unao promote, how would it work in those fronts?

Kuniambia Tanzania ni unitary constitution everyone knows that, isipokuwa Lissu kwa jinsi anavyoelezea hajui how things work. Yeye mfano wake mkubwa ni system ya afya Belgium jinsi local authorities and GP (doctors) wanavyoweza nunua huduma ya mteja bila ya central government.

Kumsaidia tu ata NHS wana mfumo huo huo na yenyewe ni unitary constitution local authorities in partnership with CCG (madokta wa eneo husika, ndio wanapanga matumizi yao ya afya).

Ndio nikakuuliza na wewe ina maana unapendekeza namna ya kufanya jambo bila ya kuelezea implementation zake kiuchumi. Tuelezee hiyo decentralise economy yako itafanya kazi vipi? Na zile areas of concerns nilizo kuuliza umezi address vipi.

Tusiige mifumo tu misingi ya federal states asili yake ni nchi kubwa sana au historical background zilizofanya kuungana. Sio kila kitu lazima tuige duniani bila ya kuelewa sababu za wenzetu kufanya ivyo.

Hivi tunafahamu ata role ya US central bank na mtindo wa ‘fractional reserve banking’, kuna mtu anaweza iga mfumo wao wa federal banking kweli especially nchi inayotegemea importation?

Sasa how do you control money supply kwenye federal yetu inayopendekezwa na Lissu na maswali mengine niliyokuuliza kwenye post yangu iliyopita?
 
☝Above ndio swali nililokuuliza hilo kuhusiana na paper yako ya decentralised economy unao promote, how would it work in those fronts?

Kuniambia Tanzania ni unitary constitution everyone knows that, isipokuwa Lissu kwa jinsi anavyoelezea hajui how things work. Yeye mfano wake mkubwa ni system ya afya Belgium jinsi local authorities and GP (doctors) wanavyoweza nunua huduma ya mteja bila ya central government.

Kumsaidia tu ata NHS wana mfumo huo huo na yenyewe ni unitary constitution local authorities in partnership with CCG (madokta wa eneo husika, ndio wanapanga matumizi yao ya afya).

Ndio nikakuuliza na wewe ina maana unapendekeza namna ya kufanya jambo bila ya kuelezea implementation zake kiuchumi. Tuelezee hiyo decentralise economy yako itafanya kazi vipi? Na zile areas of concerns nilizo kuuliza umezi address vipi.

Tusiige mifumo tu misingi ya federal states asili yake ni nchi kubwa sana au historical background zilizofanya kuungana. Sio kila kitu lazima tuige duniani bila ya kuelewa sababu za wenzetu kufanya ivyo.

Hivi tunafahamu ata role ya US central bank na mtindo wa ‘fractional reserve banking’, kuna mtu anaweza iga mfumo wao wa federal banking kweli especially nchi inayotegemea importation?

Sasa how do you control money supply kwenye federal yetu inayopendekezwa na Lissu na maswali mengine niliyokuuliza kwenye post yangu iliyopita?

Kama unataka kusikia utekelezaji wake andaeni mdahalo mumuulize Lissu hayo maswali atakujibu. Unataka akwambie utekelezaji wale kwenye kampeni?

kwani kuna shida gani kwenye money supply tukitekeleza mfumo wa majimbo???? Kama sehemu zingine wamefanikiwa Kwa nini Tanzania tushindwe?

Kwani mfumo wa majimbo umefanikiwa Marekani tu? Mbona nchi nyingi duniani zinafanya huu mfumo na zinaendelea?
 
Are you serious?! Ina maana kwako hayo ndo umeona maswali magumu?! Tangu lini ugumu ukawa on how to use money?!

Nilitarajia ungehoji umependekeza nini kwa mikoa/majimbo ambayo haina raslimali za kutosha, lakini unahoji how to run and fund some entities?!
Uchumi unategemea banking and banks need either capital from savers or borrow from the central bank so they can lend to investors.

Therefore someone has to control national monetary and fiscal policies; if that’s the case how does a federal region promotes its economic growth without monetary and fiscal policy tools at hand.

Mambo mengine bwana mnayoongeaga yanafurahisha sana, very simple bila ya kuangalia uhalisia wake.
 
Kwani hapa inashindikana??? Au mnavyodiscourage investos na uchumi unaoendeshwa na private sector ndo mnafikiri kuwa kila Chama kina Sera Kama za kwenu CCM????

Kama kwa Sera na mfumo wa CCM inashindikana hiyo ni kutokana na Sera zenu na mifumo yenu ya kijamaa. Kwa Chadema lazima itawezekana kwa sababu wana mfumo wa sera za kiuchumi tofauti kabisa na wa kwenu.
 
Kama unataka kusikia utekelezaji wake andaeni mdahalo mumuulize Lissu hayo maswali atakujibu. Unataka akwambie utekelezaji wale kwenye kampeni????

kwani kuna shida gani kwenye money supply tukitekeleza mfumo wa majimbo???? Kama sehemu zingine wamefanikiwa Kwa nini Tanzania tushindwe?????

Kwani mfumo wa majimbo umefanikiwa Marekani tu???? Mbona nchi nyingi duniani zinafanya huu mfumo na zinaendelea????
Unafahamu kwenye hizo nchi ni mambo yapi ambayo ni decentralised? Lissu yeye anajiropokea tu federal without explaining which matters will be devolved and it will work.

Wewe unajua ata mambo ambayo yatakuwa devolved kwenye federal ya Lissu so far?

Acheni kuendekeza upuuzi wa huyo, yeye kaona mambo tu huko alikotoka hajui hata complexities za system yenyewe anaongea generally tu, tena kwa uelewa mdogo mno halafu anapata wapuuzi kushangilia upuuzi wake bila ya kufahamu wanacho shangilia.
 
Kwani hapa inashindikana??? Au mnavyodiscourage investos na uchumi unaoendeshwa na private sector ndo mnafikiri kuwa kila Chama kina Sera Kama za kwenu CCM????

Kama kwa Sera na mfumo wa CCM inashindikana hiyo ni kutokana na Sera zenu na mifumo yenu ya kijamaa. Kwa Chadema lazima itawezekana kwa sababu wana mfumo wa sera za kiuchumi tofauti kabisa na wa kwenu.
We na huyo Lissu kwa kujiropokea hamna tofauti. Sasa ndio umeandika nini hapo.
 
Wasalaam wana jamvi

Leo Lissu kaendelea na kampeni lakini jambo la kushitua zaidi ni mpango wa chadema wa kuigawa Tanzania kwa majimbo kwa kisingizio kuwa majimbo ndio chanzo cha maendeleo!

Lissu ameendelea kusema kuwa nchi ikagawiwa kwa majimbo ndio watu watapata maendeleo na kila mtanzania atakula kwa urefu wa kamba zake.

Wasalaam wana jamvi
Majimbo ni muhimu sana na kama itakuwa hivyo itakuwa rahisi kupeleka maendeleo kuliko sasa. Kwa misingi kuwa Mkuu wa jimbo achaguliwe na wananchi, Wakuu wa wilaya na mikoa wote wawe ni wawakilishi wa wananchi. Haipandi kichwani ati mtu atoke Mwanza aje Mbeya atuongoze alete maendeleo hiyo haiwezekani. Uzalendo unakuja pamoja na kuwa unalipa kipa umbele cha kulipenda hilo jimbo kulko kufuata amri za Rais.
 
Constitution law yenyewe hajui tofauti ya unitary na federal constitution ni kwamba kwenye federal (majimbo) Mkuu wa mkoa na serikali ya mkoa wanaamua budget yao ya mkoa wanatumia vipi katika fungu lao watakalopewa kutoka central government na kukusanya yale yale wanayoruhusiwa kama ilivyo leo kwenye mapato ya halmashauri.

Lakini mambo ya natural resources, corporate taxes, laws na kila kitu kinabaki serikali kuu kwenye federal wanaachiwa mambo machache sana.

Hivi huyu kiazi mbona mna mkuza sana, yeye ameishi sehemu na kujionea mambo fulani hata hajui how those systems work anajiropokea tu na kuna mijitu inashangilia.
Hivi hujui serikali ya magufuli wanezinyang’anya Mapato halmashauri??? Hujui pesa zote za halmashauri sasaivi zinaenda kwanza serikali kuu ndo wao wanaomba??? Tena kama ni miradi wanaifanya kimkakati Kwa ubaguziili kukibeba Chama cha mapinduzi??? Hao wakuu wa mikoa watapata hela wapi???
 
Hivi we kilaza hujui serikali ya magufuli wanezinyang’anya Mapato halmashauri??? Hujui pesa zote za halmashauri sasaivi zinaenda kwanza serikali kuu ndo wao wanaomba??? Tena kama ni miradi wanaifanya kimkakati Kwa ubaguziili kukibeba Chama cha mapinduzi??? Hao wakuu wa mikoa watapata hela wapi???
You are all over the place, sasa ata kukiwa na federal state chini ya CCM kama wakiamua kukomba huko chini what will stop them. Tatizo hapo sio federal system it’s something else, you figure what it is.
 
Unafahamu kwenye hizo nchi ni mambo yapi ambayo ni decentralised? Lissu yeye anajiropokea tu federal without explaining which matters will be devolved and it will work.

Wewe unajua ata mambo ambayo yatakuwa devolved kwenye federal ya Lissu so far?

Acheni kuendekeza upuuzi wa huyo kiazi yeye kaona mambo tu huko alikotoka hajui hata complexities za system yenyewe anaongea generally tu, tena kwa uelewa mdogo mno halafu anapata wapuuzi kushangilia upuuzi wake bila ya kufahamu wanacho shangilia.
Kwani shida ni nini??? Suala ni mambo ya kuwa decentralized au hakuna mambo ya kuwa decentralized????

Kwani wapi Lissu amesema hakuna mambo ya kuwa decentralized????

Wewe hujamsikiliza Lissu akifafanua alafu unakuja kusema hapa haiwezekani???? Haiwezekani kivipi wakati mtu hajaelezea how????

Kama issue yako ni Lissu kuelezea basi andaeni mdahalo alafu mwambieni afafanue then ndo uje hapa uzembe haiwezekani kutokana na huo ufafanuzi wake!! Sio unakuja kupiga ramli hapa!!
 
You are all over the place, sasa ata kukiwa na federal state chini ya CCM kama wakiamua kukomba huko chini what will stop them. Tatizo hapo sio federal system it’s something else, you figure what it is.
What is that something else??? CCM kama mmefeli ni nye msiseme watu wamefeli wakati hata hamjui watafanya nini!!
 
Tunaunga mkono majimbo, mbona Kenya wameanzisha

Majimbo yatatugawa kikabila angalia Kenya wanavyotaabika kwa siasa za ukabila. Tatizo la sehemu nyingine kutoendelea litatuliwe kwa kuchagua wawakilishi wenye maslahi mapana ya utaifa, uzalendo. Angalia hivi sasa Msukuma anaweza kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha na Mchaga akawa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ambapo kwenye majimbo hii itakuwa shida sana.

Mwalimu Nyerere alitokomeza ukabila kwanza kwa Kiswahili; pili JKT; tatu Mhaya kwenda kusoma sekondari Tanga; na nne kuondoa utawala wa Machifu; n.k. Hivi sasa sisi wote ni Watanzania tukileta majimbo tutabaguana.

Tatizo analosema TL ni kwamba sehemu zingine hazijaendelea ni kweli lakini suluhu yake siyo kuleta majimbo. Kwa maoni yangu tunatakiwa kuwa na wawakilishi ambao hawapingi miradi ya maendeleo k.m. SGR; Umeme wa kutosha wa Bwawa la Mwl Nyerere; Ndege za ATCL; barabara, meli, n.k ambayo ndiyo itawakomboa waishio sehemu ambazo hazijaendelea
 
Back
Top Bottom