Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kama hujaona Tatizo basi uwe na siku njema ndugutatizo lipo wapi hapo?
Kama hujaona Tatizo basi uwe na siku njema ndugutatizo lipo wapi hapo?
Duh! We jamaa bhana!! Sasa uliambiwa huyo Lissu mapendekezo yake ni kutokuwa na ANY Cental Entity?Uchumi unategemea banking and banks need either capital from savers or borrow from the central bank so they can lend to investors.
Therefore someone has to control national monetary and fiscal policies; if that’s the case how does a federal region promotes its economic growth without monetary and fiscal policy tools at hand.
Mambo mengine bwana mnayoongeaga yanafurahisha sana, very simple bila ya kuangalia uhalisia wake.
HAPO NDIYO AMEKOSEA KABISA HAJUI KUWA KUNA MJIMBO MENGINE YATAKUWA MASKINI MAISHA YOTE? TZ TUNAISHI KWA KUTEGEMEANAWasalaam wana jamvi
Leo Lissu kaendelea na kampeni lakini jambo la kushtua zaidi ni mpango wa CHADEMA wa kuigawa Tanzania kwa majimbo kwa kisingizio kuwa majimbo ndio chanzo cha maendeleo!
Lissu ameendelea kusema kuwa nchi ikagawiwa kwa majimbo ndio watu watapata maendeleo na kila mtanzania atakula kwa urefu wa kamba zake.
Wasalaam wana jamvi
Yaani taifa lina kiongozi wa ajabu sana! Na anavyoongea unaweza kusema raslimali za nchi hii ni za CCM na zingine ni urithi kutoka kwa wazazi wake!Anaeigawa nchi ni huyu hapa mbaguzi👇
View attachment 1570195
HAPO NDIYO AMEKOSEA KABISA HAJUI KUWA KUNA MJIMBO MENGINE YATAKUWA MASKINI MAISHA YOTE? TZ TUNAISHI KWA KUTEGEMEANA
Sidhani ata kama ushasikiliza perspective za Lissu on his federation ideas.Duh! We jamaa bhana!! Sasa uliambiwa huyo Lissu mapendekezo yake ni kutokuwa na ANY Cental Entity?
Let me try to understand you: Yaani uliposikia Lissu kasema kila jimbo litakula kwa jasho lake ndo unadhani, let's say kwavile mathalani Jimbo la Kusini limegundua gas, ndo basi tena kama Jimbo litaingiza TZS 500 Trillion kwa mwaka ndo ZOOOOOOOOOTE hizo zitatumika Lindi na Mtwara... na kama kila kitu wanacho, basi watajenga hata madaraja ya dhahabu coz' they've surplus revenues with no use?!
INdivyo unavyofikiria na ndo maana umeendelea kung'ang'ania hiyo hoja ambayo mara zote nimesema concern yako ni very minor issue?!
Hujui singida Kuna migodi??? Hujui singida Kuna mapori ya akiba???Serikali ya majimbo ikianzishwa Mikoa tajiri itakuwa
Wa kwanza utakuwa Ni Morogoro sababu unazalisha umeme unaotumika nchi mzima mikoa yote pesa ya umeme italipa kidatu Morogoro
Mkoa wa pili kwa utajiri utakuwa Dar es kwa sababu ya kumiliki bandari
Mikoa ya Kanda ya ziwa itafuatiwa kwa utajiri sababu ya dhahabu samaki na pamba
Mikoa iliyobaki ikiwemo kwa Lisu Singida kunakotegemea kuuza alizeti watakula jeuri yao kutakuwa na umaskini uliokithiri
Kwa nini unajaribu sana kupotosha hoja ya Lissu wakati hajaelezea kiundani mfumo wake utakuwaje???Sidhani ata kama ushasikiliza perspective za Lissu on his federation ideas.
Kenya, Switzerland na USA ni federal states je wote hawa mfumo wao decentralisation unafanana?
Federal state ya Lissu anayopendekeza yepi yanabaki federal matters ( central) na yepi yatakuwa regional matters?
Ni hivi uwezi kuamka asubuhi kupendekeza kitu very radical wakati hata hujui how the government mechanism would work, halafu ukiulizwa useme utaita wataalamu wepi wakati yeye mwenyewe mwanasheria (ndio wataalamu wenyewe) na mwanasiasa hapo hapo. The mere fact unakubali hayupo clear itabidi asaidiwe na wataalamu in other words kwa sasa anajiropokea.
Vitu vingine mtu anaposema kuna historia yake lazima utambue US kuungana kwao hakukuwa kwa utashi wa states, ili walazimu kuungana kumfukuza colonial master wao, baadae kuhakikisha wanabaki na nguvu ikawa utake usitake utaungana na wakapigana kisa kuungana.
Kwa ivyo aspect za autonomy ya federal yao kwenye states zingine ilikuwa kuacha value za sehemu husika ili wasilete fujo za kujitoa mbeleni wakati bado taifa changa, federal ya Kenya ni baada ya migogoro ya uchaguzi constitution yao imelenga kuachia some aspects of decision making (not similar to US) ili wananchi waone wana control ya maeneo yao kutokana na hisia za ukabila.
Ni hivi sio federal zote sawa, hata UK na Scotland ni kama federal tu be it katiba yao ni unitary muungano wao una sehemu sita kuu ambazo westminister ina control. The point his dunia ya leo there is a thin line between federal and unitary unachohutaji ku investigate what remains in the central control.
Na hakuna federal state yoyote uchumi ukawa jambo la state hilo halipo ata US it’s impossible to practice japo wana NY central bank na nyingine sijui wapi; lakini federal reserve remain the controller of their money supply and the government control fiscal and monetary pamoja na natural resources za nchi.
Sidhani kama you ppl fully comprehend how those systems of government you champion work.
Sasa uoni tatizo lenyewe ndio linapoanzia hapo. Muhimu ya yote ni maelezo how will it work na so far hakuna ufafanuzi.Kwa nini unajaribu sana kupotosha hoja ya Lissu wakati hajaelezea kiundani mfumo wake utakuwaje???
Wewe jamaa Uko sawa kichwani kweli???
Kwa wajanja majimbo yale ambayo hayajaendelea ni fursa; mfano wachagga wengi walihamia KAHAMA ndio maendeleo yanaonekana. Miji inayochomoza ni kutokana na wageni waliohamia pale mfano ni Haydom, Babati, Boma Ngombe nk.Yuko sahihi kwa mfano Shinyanga una majimbo ambayo yanatoa madini ya mabilioni lakini Wananchi maskini wa kutupwa. Wakati Dar es salaam hamna rasilimali yoyote ujanja ujanja na utapeli kama wakina Gwajima.
Halafu ndio kuna maendeleo hakuna vumbi barabara zote ziko vizuri.borea kila mtu ale cake alipo...kama uko Jimbo ambalo halizalishi basi hamia lile lenye shughuli za uchumi kubwa.imeisha hiyo
Sasa shida ni ya Lissu au ya kwako??? How comes unapinga na kuchallenge kitu ambacho hakijatolewa ufafanuzi????Sasa uoni tatizo lenyewe ndio linapoanzia hapo. Muhimu ya yote ni maelezo how will it work na so far hakuna ufafanuzi.
Sasa jiulize wanaoshangilia wanajua ata wanashangilia nini?
Nielewanyo INDIRECT TAXES hubaki kwenye Serikali ndogo na DIRECT TAX huenda serikali kuu. Kwa maana hiyo VAT, Service Levy, Hotel Development Levy, Cess Levy, Property Tax, land reent, Royalty nk. zitabaki huko huko zinako kusanywa. Serikali kuu itabaki na mapato ya KODI YA MAPATONa jeshi lako uliandika utali fund vipi?
Maswala ya National security kama TISS na tactical infrastructure nani alipie cost zake?
Who’s to be in control of the banking sector, monetary and fiscal policies, role of central bank?
Ebu tuelezee hiyo paper yako inasemaje kuhusu maeneo hayo? Uchumi wa jimbo uki collapse what your bailout plan and who’s to fund that.
We kweli siasa fani yako?Sasa shida ni ya Lissu au ya kwako??? How comes unapinga na kuchallenge kitu ambacho hakijatolewa ufafanuzi????
Mmeambiwa andaeni mdahalo then mtamwambia afafanue na atafafanua. Shida iko wapi?
Ambako walichagua upinzani kwa mujibu wa "...mlichagua vibaya... msinichanganyie gongo na bia!!"wapi kumebaguliwa bwashee?
Usichofahamu ni kwamba mafaili ya kodi ya makampuni yote makubwa yako DSM, wanaposema DSM inaongoza kwa makusanyo ni pamoja na kodi zilizolipwa na Ngorongoro, TANAPA, Makampuni ya Utalii Arusha, GGM, nk ambayo shughuli zao haziko DSMNi Sera nzuri ya majimbo pia,ila sikweli kama dsm hakuna kitu....Bandari kama dsm inaweza kuwa jimbo inatosha kabisa kulibeba jimbo
Kwanza gesi ya Mtwara haina kazi kubwa zaidi ya Kuwasha umeme Kinyerezi, gesi ya majumbani ni LPG tunainunua toka Arabuni.Wazo zuri sana hili. Hakuna jimbo masikini kila mtu akijiamulia mambo yake ndipo tutaweza kuendelea.
Sio leo mtu kakurupuka tu huko anachukua hela za gas Mtwara anaenda kujenga International Airpot Kijijini kwake Chato ilihali huko kwa wenye gas hakuna hata barabara la lami.
Safi sana CHADEMA TUMAINI LA PEKEE LA WATANGANYIKA NA WAZANZIBAR