Sidhani ata kama ushasikiliza perspective za Lissu on his federation ideas.
Kenya, Switzerland na USA ni federal states je wote hawa mfumo wao wa decentralisation unafanana? If yes how and if not what’s the reason?
Hilo swali ilibidi ujiulize mwenyewe kwa sababu inaelekea kwamba umekariri a particular federal system na kisha kuona kwa CHADEMA haiwezekani kwa sababu unaangalia hiyo federal system unayoijua wewe!!
Federal state ya Lissu anayopendekeza yepi yanabaki federal matters (central) na yepi yatakuwa regional matters?
And you expected yote hayo hayaongee kwenye mikutano?!
Na nilishakuambia kabla kwamba endapo Lissu ataingia madarakani, na CHADEMA waka-opt kuendelea na lengo lao la Serikali za Majimbo, kuanzia hapo itabidi wabadili katiba itakayoendana na mfumo mpya wa utawala! It's not Tundu Lissu issue bali itakuwa suala la kitaifa!
Ni hivi uwezi kuamka asubuhi kupendekeza kitu very radical wakati hata hujui how the government mechanism would work, halafu ukiulizwa useme utaita wataalamu? wepi wakati yeye mwenyewe ni mwanasheria (si ndio wataalamu wenyewe) na mwanasiasa hapo hapo. The mere fact unakubali hayupo clear itabidi asaidiwe na wataalamu in other words kwa sasa anajiropokea tu.
Huwezi kuamka tu kivipi wakati tangu kuanzishwa kwake CHADEMA wanayo hiyo sera?!
The mere fact unakubali hayupo clear itabidi asaidiwe na wataalamu in other words kwa sasa anajiropokea tu.
Duh! We jamaa bhana!! Hivi hapa napo inabidi ukumbushwe kwamba hilo ni suala la kikatiba?!
Hivi suala la kikatiba ni suala mtu mmoja hadi useme nimekubali kwamba hayupo clear na itabidi asaidiwe?! Man, kwenye siasa unatoa chambo, ngoma ikikubali ndo mnakaa kuangalia mtafanya fanya vipi!
Vitu vingine mtu anaposema kuna historia yake lazima utambue US kuungana kwao hakukuwa kwa utashi wa states, ili walazimu kuungana kumfukuza colonial master wao, baadae kuhakikisha wanabaki na nguvu ikawa utake usitake utaungana na wakapigana kisa kuungana.
Kumbe nilikuwa right niliposema unavyofanya mambo kuwa magumu ni kama unachanganya kati ya Federation na Confederation!
Man, unachanganya madesa!!!
Serikali ya "US" ambayo ilipigana na British ni Confederation Government... anyway, kabla ya kuunda Confederation Govt through Articles of Confederation hizo states were just colonies!
Hadi US inapata uhuru through American Revolution War, bado walikuwa confederacy.
Lakini kama nilivyosema awali ku-run confederacy ni pasua kichwa, ndipo yakajitokeza yale unayohoji wewe... gharama ya hiki na kile, kile ata-fund nani, deni lile lilipwe na nani, and so on.
Hayo yalitokea wakati wa confederacy ambayo wewe unataka kuyafanya ni issue ya federal state!
Kufuatia huo ugumu, ndipo wakakutana tena wakati vita vimeshaisha kitambo... wakakutana through what's known Philadelphia Convention.
Lengo kuu la Philadelphia Convention ilikuwa ni kupitia Articles of Confederation kutokana na ugumu uliokuwa umejitokeza! Kwa bahati mzuri, wakapiga hatua kubwa zaidi na hatimae kuzalisha US Constitution under the federal government.
Kwa ivyo aspect za autonomy ya federal zao kwenye states zingine ilikuwa kuacha value za sehemu husika ili wasilete fujo za kujitoa mbeleni wakati bado taifa changa na ndivyo ilivyo mpaka leo.
Hayo yalifanyika wakati wa transformation from Confederacy... kuna states zingine, hususani zile ndogo, zilitaka ziachiwe baadhi ya mamlaka!
Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, walishindwa kwenye kura!!
Federal ya Kenya ni baada ya migogoro ya uchaguzi constitution yao imelenga kuachia some aspects of decision making locally (not similar to US) ili wananchi waone wana control ya maeneo yao kutokana na hisia za ukabila. Ni hivi sio federal zote sawa,ni lazima ujue what is behind it and what does the central government controls.
Nani alikudanganya federal government inazuia civil war?! You seriously believe KE waliingia kwenye machafuko kwa sababu walikuwa na unitary system?
Au hapa tena ukumbushwe kwamba pamoja na back in 1789 (or close to that) US kuwa federal state lakini hiyo haikuzuia kutokea kwa Civil War in 1861 huku Lower Southern States zikitaka kurudisha confederation?! And if that's case, how come uamini KE wali-adapt Federal Governance kwa sababu ya machafuko yaliyokuwa yametokea?
All in all, ni kwamba yamenipita yanayoendelea East Africa, au? Ni lini Kenya imeachana na unitary system?! Au kwavile unaona US kuna Maseneta na Magavana, na Kenya hivi sasa kuna Maseneta na Magavana, ndo tayari unataka ku-conclude kwamba KE ni federal state?
Anyway, labda hili la Kenya limenipita, kwahiyo nimuombe ndugu yangu
MK254 aje anitoe matongotongo!!
UK na Scotland ni kama federal tu, be it katiba yao ni unitary muungano wao una sehemu sita kuu ambazo zimebaki kwenye ya westminister, wakati North Ireland hawana privilege hizo why? again the answer is history.
Why UK na Scotland ni KAMA federal tu?! Are they federal or not?!
The point is dunia ya leo there is a thin line between federal and unitary unachohitaju ku investigate what remains in the central control kwenye kila nchi.
Lakini bado unahoji hoja ya Tundu Lissu na kuona ni kitu ambacho ni KIGUMU KWELI KWELI na wakati huo huo unadai "...
unachohitaju ku investigate what remains in the central control"
Na hakuna federal state yoyote uchumi ukawa jambo la state hilo halipo ata US it’s impossible to practice japo wana NY central bank na nyingine sijui wapi (imenitoka), lakini federal reserve bank remain the controller of their money supply and the government controls national fiscal and monetary policies pamoja na natural resources za nchi.
You're very funny! Hivi unavyosema haiwezekani jambo la uchumi kuwa a state issue unamaanisha nini hasa?!
Sidhani kama you ppl fully comprehend how those systems of government you champion for work.
The problem ukiulizwa maswali huwa hujibu na badala yake unaleta hoja zingine! Kwa mfano nilikuuliza kuhusu nchi za Austria, Malaysia, UAE na zingine, wewe ukaniletea habari za Kenya!!!