Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Ni wapi na lini uliomba ufafanuzi kutoka kwa Lissu na haukupata???We kweli siasa fani yako?
Yaani unatoa ahadi kwa wananchi ukiambiwa uelezee unadai mpaka uandiliwe mdahalo.
Tukisema wafuasi wa Lissu ni blind supporter kazi yenu kushabikia porojo zake mnakuja juu.