Lissu asema CHADEMA itaigawa Tanzania kwa Majimbo. Kila jimbo litakula kwa urefu wa kamba yake

Lissu asema CHADEMA itaigawa Tanzania kwa Majimbo. Kila jimbo litakula kwa urefu wa kamba yake

Lissu ameendelea kusema kuwa nchi ikagawiwa kwa majimbo ndio watu watapata maendeleo na kila mtanzania atakula kwa urefu wa kamba zake.
Huyu anataka kuja kusambaratisha nchi
Uchaguzi huu ni mwepesi sana kwa ccm,upinzani umetoa mgombea mbovu kuliko wote tokea mfumo wa vyama vingi uanzishwe
 
What is that something else??? CCM kama mmefeli ni nye msiseme watu wamefeli wakati hata hamjui watafanya nini!!
hatuwezi kuwapa watu nchi kwa majaribio, yaani hatujui kama watatuuza kwa mabeberu tuwape tu nchi?
 
Yuko sahihi kwa mfano Shinyanga una majimbo ambayo yanatoa madini ya mabilioni lakini Wananchi maskini wa kutupwa. Wakati Dar es salaam hamna rasilimali yoyote ujanja ujanja na utapeli kama wakina Gwajima.

Halafu ndio kuna maendeleo hakuna vumbi barabara zote ziko vizuri.borea kila mtu ale cake alipo...kama uko Jimbo ambalo halizalishi basi hamia lile lenye shughuli za uchumi kubwa.imeisha hiyo
Ni Sera nzuri ya majimbo pia,ila sikweli kama dsm hakuna kitu....Bandari kama dsm inaweza kuwa jimbo inatosha kabisa kulibeba jimbo
 
hatuwezi kuwapa watu nchi kwa majaribio,yaani hatujui kama watatuuza kwa mabeberu tuwape tu nchi?
Ila tuwape nchi watu wanaopeleka maendeleo kwa ubaguzi wa kichama na kikanda sio??!
lumumba mnashida sana
 
Kwani shida ni nini??? Suala ni mambo ya kuwa decentralized au hakuna mambo ya kuwa decentralized????

Kwani wapi Lissu amesema hakuna mambo ya kuwa decentralized????

Wewe hujamsikiliza Lissu akifafanua alafu unakuja kusema hapa haiwezekani???? Haiwezekani kivipi wakati mtu hajaelezea how????

Kama issue yako ni Lissu kuelezea basi andaeni mdahalo alafu mwambieni afafanue then ndo uje hapa uzembe haiwezekani kutokana na huo ufafanuzi wake!! Sio unakuja kupiga ramli hapa wewe kilaza!!
Ukimsikiliza tu unaona hajui sasa mdahalo na mtu kama huyo si kwenda kusikiliza povu tu na kumu entertain kama wafuasi wa CDM walivyozoea.

Raisi Magufuli has better things to zaidi ya kusikiliza upuuzi wa Lissu if anything wana kazi kubwa ya kujenga umoja wa kitaifa baada ya uchaguzi kutokana na hizi sumu anazosambaza huyu mgonjwa wenu wa akili kipindi hiki in the name of campaign.

Asubuhi njema.
 
Ni Sera nzuri ya majimbo pia,ila sikweli kama dsm hakuna kitu....Bandari kama dsm inaweza kuwa jimbo inatosha kabisa kulibeba jimbo
Sera ya majimbo itachochea sana watu kuumiza akili zao kuwa wabunifu na kufanya shughuli za maendeleo kwa sababu watajua bila kupambana hawatakusanya kodi kwa maendeleo yao.

Sehemu zinazotegemea biashara kama Mkoa wa Dar es Salaam watakuwa wabunifu kweli kufanya biashara vizuri na kukusanya Mapato, Sehemu za kilimo watakuwa wabunifu kweli kulima vizuri na kuuza vizuri ili wapate mapato ya kufanya shughuli za maendeleo, sehemu za teknolojia pia hazitabaki nyuma.

Kubwa zaidi watu watapata maendeleo bila ubaguzi, sio sasaivi mtu anasema mchana kweupe kabisa mwambieni huyo bwege awajengee stendi wala hajali kuwa na kule Kuna walipe kodi na wamelipa kodi kweli!
 
Ukimsikiliza tu unaona hajui sasa mdahalo na mtu kama huyo si kwenda kusikiliza povu tu na kumu entertain kama wafuasi wa CDM walivyozoea.

Raisi Magufuli has better things to zaidi ya kusikiliza upuuzi wa Lissu if anything wana kazi kubwa ya kujenga umoja wa kitaifa baada ya uchaguzi kutokana na hizi sumu anazosambaza huyu mgonjwa wenu wa akili kipindi hiki in the name of campaign.

Asubuhi njema.
Kwa hiyo kwa akili yako kabisa ya kuzaliwa na kwenda shule unaona Magufuli ana mambo mengi ya kusikilizwa kuliko Tundu Lissu???

Kweli unastahili kusema asubuhi njema!!!! Unatakiwa kuelimishwa kweli!!!
 
Lissu ameendelea kusema kuwa nchi ikagawiwa kwa majimbo ndio watu watapata maendeleo na kila mtanzania atakula kwa urefu wa kamba zake.

Wasalaam wana jamvi
Wale waliokuwa wanadanganywa kuwa watapata maisha bora kila kitu bure kuanzia elimu, bima ya afya nyumba bora sasa wazinduke.

Tuliishasema kipato chako ndicho kitaamua aina ya maisha utakayoishi.
 
Wasalaam wana jamvi

Leo Lissu kaendelea na kampeni lakini jambo la kushtua zaidi ni mpango wa CHADEMA wa kuigawa Tanzania kwa majimbo kwa kisingizio kuwa majimbo ndio chanzo cha maendeleo!

Lissu ameendelea kusema kuwa nchi ikagawiwa kwa majimbo ndio watu watapata maendeleo na kila mtanzania atakula kwa urefu wa kamba zake.

Wasalaam wana jamvi
[emoji23][emoji23][emoji23]ulitegemea watu wata kusapoti
 
Huyu anataka kuja kusambaratisha nchi
Uchaguzi huu ni mwepesi sana kwa ccm,upinzani umetoa mgombea mbovu kuliko wote tokea mfumo wa vyama vingi uanzishwe
Ni kweli kabisa hivi mahitaji ya wananchi Ni majimbo? Lisu anajiongelea vitu anavyovijua mwenyewe
 
Wasalaam wana jamvi

Leo Lissu kaendelea na kampeni lakini jambo la kushtua zaidi ni mpango wa CHADEMA wa kuigawa Tanzania kwa majimbo kwa kisingizio kuwa majimbo ndio chanzo cha maendeleo!

Lissu ameendelea kusema kuwa nchi ikagawiwa kwa majimbo ndio watu watapata maendeleo na kila mtanzania atakula kwa urefu wa kamba zake.

Wasalaam wana jamvi
Korosho, ufuta, mbaazi na gesi vimewafaidisha nini Mtwara na Lindi?
Serengeti na mgodi wa North Mara vimesaidia nini mkoa wa Mara?
Hebu jiongeze Mkuu ili tusihoji msiyoyapenda
 
Ni kweli kabisa hivi mahitaji ya wananchi Ni majimbo? Lisu anajiongelea vitu anavyovijua mwenyewe
Tatizo hana sera,anavyoamka ndio hivyo hivyo,anafikiri hoja ya kuigawa nchi itampeleka ikulu
 
☝Above ndio swali nililokuuliza hilo kuhusiana na paper yako ya decentralised economy unao promote, how would it work in those fronts?

Kuniambia Tanzania ni unitary constitution everyone knows that, isipokuwa Lissu kwa jinsi anavyoelezea hajui how things work. Yeye mfano wake mkubwa ni system ya afya Belgium jinsi local authorities and GP (doctors) wanavyoweza nunua huduma ya mteja bila ya central government.

Kumsaidia tu ata NHS wana mfumo huo huo na yenyewe ni unitary constitution local authorities in partnership with CCG (madokta wa eneo husika, ndio wanapanga matumizi yao ya afya).

Ndio nikakuuliza na wewe ina maana unapendekeza namna ya kufanya jambo bila ya kuelezea implementation zake kiuchumi. Tuelezee hiyo decentralise economy yako itafanya kazi vipi? Na zile areas of concerns nilizo kuuliza umezi address vipi.

Tusiige mifumo tu misingi ya federal states asili yake ni nchi kubwa sana au historical background zilizofanya kuungana. Sio kila kitu lazima tuige duniani bila ya kuelewa sababu za wenzetu kufanya ivyo.

Hivi tunafahamu ata role ya US central bank na mtindo wa ‘fractional reserve banking’, kuna mtu anaweza iga mfumo wao wa federal banking kweli especially nchi inayotegemea importation?

Sasa how do you control money supply kwenye federal yetu inayopendekezwa na Lissu na maswali mengine niliyokuuliza kwenye post yangu iliyopita?
Unadai "Lissue hajui how things work"!

Magufuli anajua how things work?!

Narudia, for the time being tuna unitary government lakini CHADEMA wana dream ya federal government!

Tuseme Tundu Lissu hajui how things work, FINE lakini wakisha-opt kuwa na federal government kutakuwa na federal constitution ambayo pia itakuwa na mchango wa watalaamu!

Kama Tundu Lissu hajui how things work, atajuzwa na federal constitution how things work kama ambavyo Magu anavyojuzwa hivi sasa!!!

Kwa mara nyingine unanidai niseme how things will work kutokana na mapendekezo ya paper yangu!!!

AGAIN, hizo concerns zako ni NDOGO sana but don't expect me to say anything here wakati nimeshakuambia ni manuscript!
Naweka vipi unpublished manuscript hadharani?!

And guess what! Couple of years ago niliweka a small portion ya hiyo manuscript hapa JF! Siku ya siku Kigwangwalla akaruka na ile content bungeni akijifanya kuishauri serikali! Hata kui-credit JF kwamba ndiko alikotoa pendekezo lake; hakufanya hivyo!!

Ni kutokana na hilo, ndo maana manuscript itabaki kuwa manuscript as a personal property hadi pale itakapokuwa published na kwenda public, kinyume chake, labda niamue kuachana na issue ya kuichapa!!!

Halafu mbona hili jambo ni dogo sana?! Mbona unanifanya nihisi unachanganya Federation and Confederation ambayo kutokana na ugumu wa kuendesha confederation governments, no wonder the system is currently almost dead!!!

Kwamba tusiige tu, coz hizo federation ni kwa nchi kubwa SANA or historical background! Unavyosema nchi kubwa sana unamaanisha ukubwa wa nini?! Area or economy?!

UAE (yenye Dubai ndani yake) ni federal state... suala la kuwa federal state linatokana na ukubwa wake sana au linatokana na historical background yake?

What about Malaysia?! Federal kwa sababu ya ukubwa wake sana au historical background?! Vipi kuhusu Austria?
 
Wasalaam wana jamvi

Leo Lissu kaendelea na kampeni lakini jambo la kushtua zaidi ni mpango wa CHADEMA wa kuigawa Tanzania kwa majimbo kwa kisingizio kuwa majimbo ndio chanzo cha maendeleo!

Lissu ameendelea kusema kuwa nchi ikagawiwa kwa majimbo ndio watu watapata maendeleo na kila mtanzania atakula kwa urefu wa kamba zake.

Wasalaam wana jamvi

Labda afafanue maendeleo ya vitu au maendeleo gani!?.
 
wapi kumebaguliwa bwashee?
376653D3-28B2-4084-B8C2-29BA2925D099.jpeg
AB8237A0-7BA4-448A-AC5E-85AA06676AA8.jpeg
 
Ungeanza na Mwalimu Nyerere alianzisha madaraka mikoani japo hayakudumu kutokana na kutokuwa na ufuatiliaji. Tatizo ni kukurupuka na kutojaribu kuuelewa utawala wa majimbo ni nini na unafanyaje kazi. Mleta mada uliposikia hilo mara moja ukakimbilia kuandika bila kujenga hoja zaidi ya kubwabwaja.

Kwa kifupi utawala wa majimbo unarahishisha maamuzi ya matatizo kwenye eneo husika badala ya kupeleka kwa Rais ambaye atajibu kaeni na Bwege wenu si mlimchagua wenyewe! Tutaona kama atawaletea maendeleo.

Ungeisikiliza hotuba yake yote huko Mufindi ungeelewa kwani alikuwa akihutubia anawauliza anaowahutubia kisha anatoa mifano, hakuwa anafoka kama bwana yule.
Kwamba Nyerere aliposema madaraka mikoani alimaanisha Maendeleo ya Kijimbo kama mgombea Lisu asemacho?
Basi Nyerere aliji contradict
1. Alichimba Almasi Mwadui akaweka kuikata Iringa

2. Tumbaku wakalima Tabora ajira ya kuchakata tumbaku ikawa Morogoro.

3. Walime Pamba shinyanga kiwanda cha nguo kiwe Urafiki Dar

4. Ng'ombe wafuge wasukuma halafu kiwanda cha nyama kiwe hapo Kawe Dar.

Madaraka mkoani haikuwa ya uelewa huu
 
Back
Top Bottom