Lissu asipelekwe Mahakamani na badala yake kesi iendeshwe kwa Njia ya mtandao

Inaonyesha wewe ni mhamiaji haramu
 
Taarifa nilizopata,ushahidi bado haujakamilika
 
Aendelee kukaa ndani kwanza.
Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi.

1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili.
2. Angalia alivyoingilia mgogoro wa Feisal na Yanga.

Zanzibar kuna ujenzi wa miundombinu usioendana na pato la kisiwa hicho.
1. Ujenzi wa flyovers kwenye kila barabara.
2. Majengo yote ya skuli, zahanati na hospitali kubadilishwa kuwa maghorofa.
3. Ujenzi wa bandari kubwa kuliko zote Afrika Mashariki na kati...bandari ya Mangapwani.
4. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya ndege.
5. Ujenzi wa viwanja vikubwa vya michezo.

Kwa makusanyo yapi ya Zanzibar? Kwa shughuli ipi ya kiuchumi ya wazanzibari?

Huku Tanganyika, bandari, mbuga na migodi ya madini vinauzwa kwa waarabu lkn huko Zanzibar mama hajauza hata unyasi.

Ktk kipindi ambacho wazanzibari wamekuwa watulivu kuhusu muungano na wamekuwa wamoja ni kipindi hiki. Kwasabb waliyemtuma kuchuma anachuma kweli kweli. Husikii tena madai ya mamlaka kamili ya Zanzibar wala koti la muungano kubana.

Huku bara kuna utekaji, mauaji na vurugu za kisiasa, mama anachojali ni kuwa anachuma. Hana habari na maisha ya watanganyika. Mapadri wanapigwa, makanisa yanafungiwa na wapinzani wanafungiliwa kesi za kubumba yeye ndiyo kwanza anakejeli.
 
ushoga sana kumbe. Mnaogopa kila kitu wakati mmefanya miradi ya maendeleo nchi mzima.
 
Pumbavu wewe kenge wa Bwina
 
"Contempt of court ni miezi sita jela"
 
Viongozi gani hao unaowazungumzia?
Propaganda zinaendeshwa na Viongozi waoga na wasiotimilika kiutumishi, wanaotumia muda mwingi kudalalia maonyesho badala ya kutenda, kama upo mioyoni mwetu kiutendaji huna haja ya kusambaza sura yako kila njia na chochoro ya nchi...
Viongozi waoga nyakati zote wanawaza kupokwa madaraka maana hawana hakika na nafasi zao kwenye utimamu wa wananchi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…