Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Why kutwa unaanzisha thread kumuhusu Kama uwepo Wake si threat kwa ccm???Huyo lissu si aligombea Urais 2020? Aliambulia nini zaidi ya kuvuna Aibu?
Kwa hiyo unapongana na sera za mchungaji yule wa IringaMheshimiwa Mbowe amekuwa madarakani kwa kuchaguliwa na wanachama na siyo kung'ang'ania.na wala hakuna alipovunja katiba kwa yeye kuwepo madarakani kwa sababu yupo kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA
Kila mtu na mawazo yake na hakuna wa kubebea mwenzake akili au kuwaza kwa niaba ya MwingineKwa hiyo unapongana na sera za mchungaji yule wa Iringa
Wewe mawazo yako ni kukionea huruma CDM wakati huuKila mtu na mawazo yake na hakuna wa kubebea mwenzake akili au kuwaza kwa niaba ya Mwingine
Huyo Mke mdogo wa Amsterdam hafai hata kuwa na hiyo nafasi waliyompa sijui hawana watu? 🤣🤣Ndugu zangu Watanzania,
Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana.
Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi wakuu wake kuwepo Nchini muda wote ili kuweza kushuka chini huko kukijenga na kukiimarisha chama.kuwepo na uwepo wao katika Operation mbalimbali inaleta morali, Ushawishi,nguvu na matumaini kwa viongozi wa chini pamoja na wanachama.inasaidia sana kukiamsha chama kilipolala na kukipa uhai.
Sasa huyu lissu anayetaka uenyekiti wa CHADEMA Taifa nafasi ambayo kiuhalisia haiwezi kuimudu ni vipi ataiongoza CHADEMA? Ni vipi ataijenga CHADEMA? Ni vipi atashirikiana na viongozi na wanachama kukisimika chama mioyoni mwa watu?
Ikumbukwe ya Kuwa lissu amekuwa akitumia muda mwingi kuzunguka ulaya na Marekani kuchafua na kuongea maneno yenye kuchafua taswira ya nchi yetu,kujijenga yeye binafsi,kutangaza nia zake za kugombea Urais na kutanua tu Maisha .
Akija Nchini anakuwa amekuja kwa maslahi yake binafsi au kutimiza matakwa ya wanaomtumia kwa mlango wa nyuma kutoa matamko yenye kuchochea chuki,ubaguzi na kuchafua watu. Akija Nchini ni kuomba michango binafsi kwa ajili yake mwenyewe.baada ya hapo huondoka kimya kimya na kwenda zake ulaya kuendelea na Maisha yake.
Sasa mtu wa namna hii chama kitapata wapi msaada wake wakati muda mwingi yupo angani na ulaya?atakitumikia chama muda gani? Atajua vipi uhai wa chama na maendeleo yake? Atakiandaa chama muda gani kushiriki uchaguzi na chaguzi mbalimbali? Si mliona hapo majuzi tu ameshindwa hata kujiandikisha kupiga kura? Sasa mnafikiri kwa sasa ndio atapata muda wa kuitumikia CHADEMA?
Anachotaka na atakachokifanya lissu ni kuitumia CHADEMA kwa maslahi yake binafsi na kujineemesha yeye binafsi.ataitumia CHADEMA kutolea matamko yake ya kichochezi na kibaguzi kuligawa Taifa letu na watanzania kwa ujumla wake.ataitumia CHADEMA kuchochea machafuko na na vurugu tu hapa Nchini.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kazi yangu ni kusema ukweli tu.Wewe mawazo yako ni kukionea huruma CDM wakati huu
nimeona wenyeviti wa mikoa pia wakati wanatoa hotuba zao nyumbani kwa mbowe,Ndugu zangu Watanzania,

Ndugu zangu Watanzania,

Mapumbavu na majizi ya kura pamoja na utekaji ya ccm yamegeuka mashauri ya chadema, je chadema mtayasikiliza haya mapumbavu?Ndugu zangu Watanzania,

Nilifikiri alikuoa weweAliachana na mkewe akaoa mzungu
Wana CHADEMA hawampendi kabisa lissu hata kumsikia.wameshagundua ni Kirusi kinachotumiwa na mabeberu wa ulaya kutaka kuivuruga Amani ya Nchi yetunimeona wenyeviti wa mikoa pia wakati wanatoa hotuba zao nyumbani kwa mbowe,
wameeleza bayana kwamba hawatakubali kuongozwa na mtua anaeishi nje ya nchi yeye na familia yake,
so,
nahisi chadema pia wamemshtukia na kua na wasiwasi nae kwamba, huenda akawa ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi...
Mbowe ni Mpinzani wa kweli na Mwamba kwelikweliJinsi mbowe anavopiganiwa na wanaccm inatia shaka kama yule ni mpinzani......
Naona umepaniki na ujinga wako.Mbowe ndio chaguo la wana CHADEMA wenye akili Timamu na wanaojitambua.zingatie neno wenye akili Timamu na wanaojitambuaMapumbavu na majizi ya kura pamoja na utekaji ya ccm yamegeuka mashauri ya chadema, je chadema mtayasikiliza haya mapumbavu?
eti matumbo ya uzazi yanawachezaLucas Mwashambwa na CCM yote , mkisikia tu jina Tundu Lissu mnapatwa na tumbo la kuhara na hamna Namna ya kujizui, matokeo yake mnanuka muda wote
Mama anatosha kutuvushaMbowe ni Mpinzani wa kweli na Mwamba kwelikweli
Kwanzia Lini ww ukampenda mbowe na CHADEMA??Naona umepaniki na ujinga wako.Mbowe ndio chaguo la wana CHADEMA wenye akili Timamu na wanaojitambua.zingatie neno wenye akili Timamu na wanaojitambua