Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.

Hata Ajuza unayemtumikia anamhara Lissu balaa...jiandaeni kisaikolojia ndio tunayewaletea huyo!!.
 
 
Naona wana ccm mamboleo mmepiga kambi viunga vya chadema kufuatilia uchaguzi wao. Wengine mnampambisha lissu na wengine mbowe kwa matarajio kwamba wavurugane na hatimaye wafarakane ili ccm yenu ipate mawanda mapana kushinda kwa ulaini uchaguzi mkuu ujao. Cuf wanafanya uchaguzi na wao ila huko hamuendi kuweka kambi kwa kuwa si tishio kwa siasa zenu
 
Na wewe andikaga habari za cuf kama unataka.
 
Wew Lucas Mwashambwa aka chawaPro max wa ccm mambo ya cdm yanakuhusu nini?!! Lisu ni mpango wa Mungu alietaka kumuua lisu akatangulia yeye motoni
 
Kama haupo interested na habari za cuf unaweza kutueleza how siasa za chedema (uchaguzi wa mwenyekiti wao) unavyo athiri (positive and negative) siasa za CCM na nchi kwa ujumla??
Habari za lipumba nimewaachia Ninyi .
 


Hivi unajua Prof Lipumba Anagombea Tena?
 
Mazezeta wa CCM mnamuogopa sana Lissu
 
hata angekuwa anaishi kisiwa cha Taiwan
 
Nilikuwa nakuheshimu Sana mkuu,Ila kwa haya uliyosema imeniuma Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…