Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.

Pusi wewe
 
Mbowe anafaa lisu ni psy case .. milembe inmuhusu wanachadema msikubali kuongozwa na kichaa
 
Kwa vile umezungumzia shilingi kuimarika, hebu tuambie hasa kilichochangia.

Maana kama ni kuuza bidhaa nje bado tunasua sua; na tunaagiza sana bidhaa kutoka nje.
 
Naona Wafuasi wa lissu wameanza kunielewa sasa na kuanza kulalamika tabia ya lissu kuzurura nje ya Nchi.Robert mtibeli ameanza kupiga makelele na kulalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…