Pre GE2025 Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Inawezekana ulikuwa sahihi lakini wakati haukuwa sahihi
 
Kwa maoni yangu ikiwa wataamua kupitisha ukomo wa madaraka basi iende hata kwenye ubunge wa majimbo ili asiwepo mwanachadema atakayekuwa mbunge wa kuchaguliwa wa jimbo kwa zaidi ya vipindi viwili ili hiyo haki itendeke vizuri.

Lingine hata kama katiba itaweka ukomo wa vipindi viwili bado haizuii mtu mwingine kugombea nafasi katika kipindi cha kwanza cha anayeshikilia nafasi hiyo na anaweza kupigwa chini hata kabla hajanaliza vipindi viwili.

Ila Lissu aelewe katika mazingira haya kuweka ukomo wa uongozi kunaweza kusababisha l dola kupitia msajili wa vyama na mahakama vinaweza kusababisha mapandikizi yakaichukua CHADEMA kupitia uchaguzi kama vyana vingine mfano DP ya marehemu Mtikiila leo hii hata sera yake ya Tanganyika wameacha au Nccra.

IKutoweka ukomo ilisaidia kuzuia mapandikizi, eg akumbuke ya Mwami na Sumaye baada ya kushindwa uchaguzi walitimkia CCM nyumbani.
 
Lisu ameendeleza matusi yake Kwa Bwana Mbowe ambapo awamu hii amemuita Chawa Kwa madai kwamba kutokuwa na ukomo wa madaraka ni Kugeuka chawa.

Ikumbukwe Tundu Lisu alimdhihaki Mbowe baada ya Kukamatwa na Polisi Songwe na Sasa ameendeleza tabia yake ya kukosa Heshima,hekima na adabu Kwa wakubwa wake.👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DDeYsPptWDd/?igsh=dnJsNnVxdW81YmM5
My Take
Chadema ya Tundu Lisu inaweza kufutika kwenye ramani ya siasa kama ataendelea na siasa za uhasama ,dhihaka na kudhalilisha utu wa wengine
 
Si wote waliotizama hotuba hawana akili. Hakuna mahali kamtukana mtu bali amestate the fact, ccm ina chawa, chadema ina chawa, na vyama vingine. TL anataka kumaliza hilo
 
Kumbe Mbowe ni Chawa 😂😂😂
 
Mleta mada umepindisha mambo. Lisu hajamuita Mbowe chawa.

Hebu watu wa mitandaoni tujenge hoja kuntu kwa mustakabali mwema wa taifa letu. Tusilete uzushi na uzandiki isiyokuwa na faida.
 
Hujui kitu, Shut Up! Boniyai ni Mwenyekiti wa Kanda, Maranja ni Ofisa wa Juu wa Chadema official, Erythrocyte ni Mfadhili wa Chama, Hakuna Tajiri awezaye kuwa Chawa
Kwamba ww ni mfadhili wa chadema? Yaani tajiri uje ushinde hapa jf?
 
Hivi kwa sababu wewe ni mjinga basi unadhani watu wa jf ni Wajinga!
Hivi nyinyi wafuasi wa chadomo kwanini mnakimbilia kumhukumu mtu bila kujibu hoja zake?..haiwezekani TAJIRI aje ashinde hapa jf..hivi ww mfadhili wa chadema unawezaje?
 
Hivi nyinyi wafuasi wa chadomo kwanini mnakimbilia kumhukumu mtu bila kujibu hoja zake?..haiwezekani TAJIRI aje ashinde hapa jf..hivi ww mfadhili wa chadema unawezaje?
Kwa kadri ya uelewa wako, ni yapi Majukumu ya Tajiri? Utajiri ni Baraka za Mungu siyo Utumwa, ndio maana huwezi kumuona Abood kwenye Mabasi yake akikusanya nauli, yuko Dodoma anagonga meza tu bungeni
 
Kwa kadri ya uelewa wako, ni yapi Majukumu ya Tajiri? Utajiri ni Baraka za Mungu siyo Utumwa, ndio maana huwezi kumuona Abood kwenye Mabasi yake akikusanya nauli, yuko Dodoma anagonga meza tu bungeni
Kwahiyo ww ni Mzee mtei?
 
Naiunga mkono Chadema, Kuna Mengi yanakuja ya kushangaza sana ambayo wadau mtaendelea kushangaa
Yupi kati ya Lissu na Mbowe anafaa zaidi kuwa mwenyekiti, naomba jibu lako kama mdau anayeiunga mkono CHADEMA ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…