Pre GE2025 Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'

Pre GE2025 Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
BILA KUPEPESA MACHO MBOWE KAA PEMBENI KWA SASA,
#Asante kwa mpaka ulipo kifikisha chama.
HONGERA
N. B, mbowe atakapoondoka wengi watarejea chadema na itakuwa hai tena.

::::::::::
Ni heshima kwa mbowe kusema sigombei tena nangatuka napisha wengine!
Wewe ni mbogamboga halafu eti leo unakuwa msemaji wa CDM!!!
 
Si wote waliotizama hotuba hawana akili. Hakuna mahali kamtukana mtu bali amestate the fact, ccm ina chawa, chadema ina chawa, na vyama vingine. TL anataka kumaliza hilo
Hata yeye ana chawa wanaomuunga mkono blindly kiasi cha kuona ana haki ya kupishwa uongozi
 
Sasa tusubiri Mbowe naye atangaze basi
1000017188.jpg
 
Hoja za Lissu mi naona ziko sawa na ana nia njema tu. Kwa kweli Mbowe amekitumikia chama kwa muda mrefu na kwa uaminifu mkubwa. Inatakiwa ifike hatua na yeye aachie wanachama wengine wakitumikie chama katika ngazi ya uenyekiti na yeye abaki kama mshauri mkuu.

Asimuone Lissu kama ni adui na ingependeza hata asigombee kabisa. Ccm kwa mbinu za Mbowe si rahisi kuiondoa madarakani ila tukiingiza watu wenye fikira tofauti huenda wakabuni na kuleta mbinu nyingine za kushughulika na hili li ccm.
 
Sasa ni wakati wa Mbowe kuachia madaraka na kuruhusu damu mpya kuongoza Chadema," alisema Tundu Lissu leo, Alhamisi, 12 Desemba 2024, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika Mlimani City.

Lissu alisisitiza kuwa uongozi wa muda mrefu wa Freeman Mbowe umefikia kikomo na kwamba chama kinahitaji mwelekeo mpya ili kukabiliana na changamoto za kisiasa na kuhakikisha ushindi katika uchaguzi mkuu wa 2025. "Huu si wakati wa kugawanyika, lakini ni lazima tukubali kuwa mabadiliko ni muhimu kwa ukuaji wa chama chetu," alisema Lissu.

Aidha, aliongeza kuwa Chadema haiwezi kuendelea kwa utaratibu wa sasa na kwamba chama kinahitaji uongozi unaoendana na mahitaji ya sasa ya kisiasa na kiuongozi nchini. "Mabadiliko haya si dhidi ya mtu binafsi, bali ni kwa ajili ya mustakabali wa Chadema na Tanzania kwa ujumla," alihitimisha Lissu.
 
Attachments

  • IMG-20241212-WA0057.jpg
    IMG-20241212-WA0057.jpg
    144.3 KB · Views: 2

Chama kitafia mikononi mwake........hana uvumilivu kabisa 😀 😀 😀
 
Ningefanya divination ,utabiri.
System ya Pythagoras.
Aisee,it is very interesting.

Kwanza unatafuta birth date ya mtu,kwa mfano Lissu,29 January.

Halafu jina lake,the first letter of his Christian name.

Sasa huyu Pythagoras was not a Christian how could he have asked for a Christian name?

Kwa hiyo sasa the first letter is A.

Huyu ni Antipas, amezaliwa January 20

Halafu the day that the question is being asked. That is today, Thursday.

Halafu the planet which rules this particular day. It is Jupiter for Thursday.

Now we are ready to do the divination.

Ipo namba attached to A.
In this case A is number 4.

Add to that the date of birth 20

Add to that the number for Thursday.,which in this case is 31

Add to that the number for the planet which is controlling Thursday,that is 78

Add them up you get 133.

You divide this by 30.

The remainder is 13. That is your answer.

And now there is chart which will tell you what 13 means.

In this case inasema mizengwe inamsubiri jamaa.

Sasa sijui kama Lissu adventures au misadventures.
Isipokuwa naona this system is making my mind very peaceful. Siyo kama Ile ramli chonganishi ya jana.

Kwa huu utabiri wenyewe,kwamba mizengwe inamsubiri Tundu Lissu.

Jambo ambalo nadhani chawa wote watakubaliana na mimi. ( Or rather, watakubaliana na Pythagoras)
 
Sasa ni wakati wa Mbowe kuachia madaraka na kuruhusu damu mpya kuongoza Chadema," alisema Tundu Lissu leo, Alhamisi, 12 Desemba 2024, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika Mlimani City.

Lissu alisisitiza kuwa uongozi wa muda mrefu wa Freeman Mbowe umefikia kikomo na kwamba chama kinahitaji mwelekeo mpya ili kukabiliana na changamoto za kisiasa na kuhakikisha ushindi katika uchaguzi mkuu wa 2025. "Huu si wakati wa kugawanyika, lakini ni lazima tukubali kuwa mabadiliko ni muhimu kwa ukuaji wa chama chetu," alisema Lissu.

Aidha, aliongeza kuwa Chadema haiwezi kuendelea kwa utaratibu wa sasa na kwamba chama kinahitaji uongozi unaoendana na mahitaji ya sasa ya kisiasa na kiuongozi nchini. "Mabadiliko haya si dhidi ya mtu binafsi, bali ni kwa ajili ya mustakabali wa Chadema na Tanzania kwa ujumla," alihitimisha Lissu.
Sina shida kabisa no both of them

Akipata Tundu Lissu ni sawa kabisa,he has proven himself ni Chadema na mpinzani halisi sio Zitto Kabwe zile takataka zingine

Akipata Mbowe ni sawa,kwa his experience and business savviness and street smarts

Either of the two ni sawa kabisa

Sina shida na yeyote hapo

Lissu has proven himself beyond anything kua yeye ni true Chadema and not mamluki
 
Naiunga mkono Chadema, Kuna Mengi yanakuja ya kushangaza sana ambayo wadau mtaendelea kushangaa
Waache utaona watakavyo ng'aa macho kwa mshangao ya kijacho ndani ya Chadema.
Nawahurumia sana wanaodandia huu mchezo wa kisiasa wanaofanyiwa na Chadema bila kujua yanayopikwa na Mbowe na Lissu. Hao ni wajuzi wa siasa za mapambano dhidi ya CCM na 2025 maccm yatajua kuwa Lissu na Mbowe ni kiatu na soksi, havitenganishwi
 
Kwa maoni yangu ikiwa wataamua kupitisha ukomo wa madaraka basi iende hata kwenye ubunge wa majimbo ili asiwepo mwanachadema atakayekuwa mbunge wa kuchaguliwa wa jimbo kwa zaidi ya vipindi viwili ili hiyo haki itendeke vizuri.

Lingine hata kama katiba itaweka ukomo wa vipindi viwili bado haizuii mtu mwingine kugombea nafasi katika kipindi cha kwanza cha anayeshikilia nafasi hiyo na anaweza kupigwa chini hata kabla hajanaliza vipindi viwili.

Ila Lissu aelewe katika mazingira haya kuweka ukomo wa uongozi kunaweza kusababisha l dola kupitia msajili wa vyama na mahakama vinaweza kusababisha mapandikizi yakaichukua CHADEMA kupitia uchaguzi kama vyana vingine mfano DP ya marehemu Mtikiila leo hii hata sera yake ya Tanganyika wameacha au Nccra.

IKutoweka ukomo ilisaidia kuzuia mapandikizi, eg akumbuke ya Mwami na Sumaye baada ya kushindwa uchaguzi walitimkia CCM nyumbani.
Kwa mazingira yasio na ushindani wa haki kama wakati huu ukiwekwa ukomo huku inaweza kuathiri chama,iangaliwe kukubalika kwa mgombea katika mazingira ya haki na usawa ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom