Lissu hana masilahi mapana wala membamba ya Taifa zaidi ya masilahi yake binafsi.Nani kamtukana nani? Kumtukana mtu ni nini na unatofautishaje tusi na political speech iliyofanywa kwa maslahi mapana ya taifa?
Unataka kusema mtu akiokoa uhai wako hutakiwi kumsema vibaya maisha yako yote hata kama anaharibu mambo muhimu ya kitaifa?
Unafiki ni kutomwambia ukweli kisa mtu alikusaidia hasa kama wewe ni kiongozi wa umma na ndio maana bara la afrika haliendelei kwa sababu watawala wana mawazo kama yakoLissu ni mnafiki
unaloshindwa kuelewa kuwa TL anapigania utu na haki ya mtanganyikaLissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.
Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.
Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.
Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.
Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika. Hapo ndipo mnapokosea kujenga hoja kwa kutumia misingi ya uwongo. Tanganyika ili cease ku exist tarehe 26/ 04/ 1964.unaloshindwa kuelewa kuwa TL anapigania utu na haki ya mtanganyika
wewe jamaa walimu walipata shida sana kukufundisha. JMT inaundwa/ muungano wa nchi zipi?Hakuna nchi inaitwa Tanganyika. Hapo ndipo mnapokosea kujenga hoja kwa kutumia misingi ya uwongo. Tanganyika ili cease ku exist tarehe 26/ 04/ 1964.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, ni watanzania 3 millioni tu kati ya 61 millioni ndiyo walizaliwa kabla ya muungano. 95% ya Watanzania wamezaliwa baada ya 1964 and thus Tanganyika to them is IRRELEVANT
Onesha hayo matusi kwanza tuyaone mkuu .
?
Nakuona umetayarisha fimbo za kutosha🤣🤣🤣MTU akisema ukweli wanasema anawatukana inafikirisha Sana.
Hahaha sasa ndiyo mnagundua Mh. Lisu ana matatizo ya akili halafu Mh. Mbowe ni dikiteta? Hahaha CCM inogile!Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.
Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.
Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.
Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.
Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Umeenda mbali na kuandika mengi yeye utata bila ku address hoja ya msingi isiyo na utata mwingi.Lissu hana masilahi mapana wala membamba ya Taifa zaidi ya masilahi yake binafsi.
Muungano wa Tanzania umetengenezwa kabla hajazaliwa na kamwe hawezi kuuvunja. Kero za muungano ni kitu hakikwepeki na utatuzi wake ni kitu endelevu.
Wewe Kiranga unaishi huko ughaibuni, kwani unadhani Scotland au Wales wako hapi kuwa ndani ya United Kingdom? Au waambie leo USA kuwa Hawaii wanajitenga uone kama watakuchemea.
China pamoja na ukubwa ule bado inasema Taiwan ni sehemu yake
Ndomana nchii hii hatuendelei, penye kusema ukweli sema usiangalie mtu alikufanyia mazuri mangapiLissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.
Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.
Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.
Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.
Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Tatizo la Lissu hanaga diplomasia ya Lugha nzuri na tengefu hana elements za uongozi alivyo sawa na mwendazakeHoja zijibiwe kwa hoja
Kwani walikwenda kumuangalia ili kumpooza asiongee? Yale yalikuwa mahusiano binafsi, hapa Lisu anazungumzia maslahi ya nchi na wao wakiwemo
Lissu anahoja ila uwalishaji ndiyo tatizoWw Lissu unamuona ni mtu mwenye akili timamu
Msamehe bure.Duh
Mbowe alitoa hela zake kukodi Ndege?!!
We ni Tutusa haswa 🐼