Pre GE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumtendea mtu fadhila hakuondoi haki yake kukusema pale ambapo unafanya yasiyopendeza!
Kwa mfano nimekuona unaiba siwezi kukuacha kukusema eti kwa sababu ulinitendea fadhila fulani.
Vinginevyo hiyo fadhila inageuka kuwa rushwa!
 
Nani kamtukana nani? Kumtukana mtu ni nini na unatofautishaje tusi na political speech iliyofanywa kwa maslahi mapana ya taifa?

Unataka kusema mtu akiokoa uhai wako hutakiwi kumsema vibaya maisha yako yote hata kama anaharibu mambo muhimu ya kitaifa?
Lissu hana masilahi mapana wala membamba ya Taifa zaidi ya masilahi yake binafsi.

Muungano wa Tanzania umetengenezwa kabla hajazaliwa na kamwe hawezi kuuvunja. Kero za muungano ni kitu hakikwepeki na utatuzi wake ni kitu endelevu.

Wewe Kiranga unaishi huko ughaibuni, kwani unadhani Scotland au Wales wako hapi kuwa ndani ya United Kingdom? Au waambie leo USA kuwa Hawaii wanajitenga uone kama watakuchemea.

China pamoja na ukubwa ule bado inasema Taiwan ni sehemu yake
 
Lissu ni mnafiki
Unafiki ni kutomwambia ukweli kisa mtu alikusaidia hasa kama wewe ni kiongozi wa umma na ndio maana bara la afrika haliendelei kwa sababu watawala wana mawazo kama yako
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
unaloshindwa kuelewa kuwa TL anapigania utu na haki ya mtanganyika
 
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika. Hapo ndipo mnapokosea kujenga hoja kwa kutumia misingi ya uwongo. Tanganyika ili cease ku exist tarehe 26/ 04/ 1964.

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, ni watanzania 3 millioni tu kati ya 61 millioni ndiyo walizaliwa kabla ya muungano. 95% ya Watanzania wamezaliwa baada ya 1964 and thus Tanganyika to them is IRRELEVANT
 
wewe jamaa walimu walipata shida sana kukufundisha. JMT inaundwa/ muungano wa nchi zipi?
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Hahaha sasa ndiyo mnagundua Mh. Lisu ana matatizo ya akili halafu Mh. Mbowe ni dikiteta? Hahaha CCM inogile!
 
Lissu hana masilahi mapana wala membamba ya Taifa zaidi ya masilahi yake binafsi.

Muungano wa Tanzania umetengenezwa kabla hajazaliwa na kamwe hawezi kuuvunja. Kero za muungano ni kitu hakikwepeki na utatuzi wake ni kitu endelevu.

Wewe Kiranga unaishi huko ughaibuni, kwani unadhani Scotland au Wales wako hapi kuwa ndani ya United Kingdom? Au waambie leo USA kuwa Hawaii wanajitenga uone kama watakuchemea.

China pamoja na ukubwa ule bado inasema Taiwan ni sehemu yake
Umeenda mbali na kuandika mengi yeye utata bila ku address hoja ya msingi isiyo na utata mwingi.

Mtu akiokoa maisha yako leo huruhusiwi kumpinga tena maisha yako yote kwa sababu kaokoa maisha yako leo?
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Ndomana nchii hii hatuendelei, penye kusema ukweli sema usiangalie mtu alikufanyia mazuri mangapi
 
Kwa kipindi hiki, mama angempa Lissu ubalozi uko USA angetulia..hawa wajenga hoja wa mama wamechemka
 
Wewe unalalama kumbe Mh samia ndo anamtuma afunguke

Kingine ,Samia sio wa dar ni zanzibar inawezekana anajua nafanya nini na lisu kuliko ccm engine

Chamana,ccm jipangeni 2025 mama hana mpango
 
We jamaa jinalako ulilo badili lilikuwa lina reflect akilizako, sijui kwanini Mds wamekuambia ubadilishe.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Musa alilelewa na Farao na akasomeshwa hapo, lakini Mungu akamtumia kumueleza Farao ukweli mchungu sana, pamoja na kwamba Musa alifaidi maziwa na asali ya kifalme.

Lissu ni kama Musa, na ndivyo Mungu atumiavyo watu wake
 
Hoja zijibiwe kwa hoja
Kwani walikwenda kumuangalia ili kumpooza asiongee? Yale yalikuwa mahusiano binafsi, hapa Lisu anazungumzia maslahi ya nchi na wao wakiwemo
Tatizo la Lissu hanaga diplomasia ya Lugha nzuri na tengefu hana elements za uongozi alivyo sawa na mwendazake
 
Back
Top Bottom