Pre GE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni mbunge?
Ndio maana nimesema mchukulieni hatua za kisheria. Hana kinga yoyote.

Sasa mtu ‘anatukana’ badala ya kushitakiwa anaimbiwa taarabu za mipasho hapa JF? Not fair at all.
 
Kwa sababu alimsalimia pale NBI mdo imfanye lissu anyamaze? Yaani ardhi yetu wanapewa waarabu akae kimya?

Kamuulize Abduli kilichompata baada ya kumpelekea FUKO ili kumyamazisha.
 
Hili lijamaa halina shukrani🙂
 
Mtu aliyeokoa maisha yako akijikojolea hadharani hutamwambia hapa umejikojolea hadharani ni kitu kibaya? Kwa sababu ameokoa maisha yako tu?
Utamuambia kwa staha lakini siyo kama anavyoropoka Lissu
 
Acha ujinga....mama Abdul anauza kila kitu Tanganyika unafikiri sisi bado malofa?
Wewe ndiwe mjinga kwa kuwa wssema nchi imeuzwa na huwezi kuonyesha mahali palipouzwa. Lofa kutoka Kantalamba
 
Tumia jicho la Tatu...! Waweza kujua kwa nini dereva aliyeshudia tukio alifichwa. Amegundua siri!
Jicho la tatu labda matako. Kujua waliompiga risasi Lissu wala huhitaji macho bali akili ya kawaida tu.

Hata mwenye D mbili anajuwa. Ni nani aliyeondoa askari wa doria pale kwenye makazi ya maafisa wa juu wa serikali na ni nani alitoa CCTV Camera za kwenye nyumba ya Kalemani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…