Pre GE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

Pre GE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni mbunge?
Ndio maana nimesema mchukulieni hatua za kisheria. Hana kinga yoyote.

Sasa mtu ‘anatukana’ badala ya kushitakiwa anaimbiwa taarabu za mipasho hapa JF? Not fair at all.
 
Kwa sababu alimsalimia pale NBI mdo imfanye lissu anyamaze? Yaani ardhi yetu wanapewa waarabu akae kimya?

Kamuulize Abduli kilichompata baada ya kumpelekea FUKO ili kumyamazisha.
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.

Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Hili lijamaa halina shukrani🙂
 
Mtu aliyeokoa maisha yako akijikojolea hadharani hutamwambia hapa umejikojolea hadharani ni kitu kibaya? Kwa sababu ameokoa maisha yako tu?
Utamuambia kwa staha lakini siyo kama anavyoropoka Lissu
 
Acha ujinga....mama Abdul anauza kila kitu Tanganyika unafikiri sisi bado malofa?
Wewe ndiwe mjinga kwa kuwa wssema nchi imeuzwa na huwezi kuonyesha mahali palipouzwa. Lofa kutoka Kantalamba
 
!
Screenshot_20240505-150845.jpg
Tumia jicho la Tatu...! Waweza kujua kwa nini dereva aliyeshudia tukio alifichwa. Amegundua siri!
 
Tumia jicho la Tatu...! Waweza kujua kwa nini dereva aliyeshudia tukio alifichwa. Amegundua siri!
Jicho la tatu labda matako. Kujua waliompiga risasi Lissu wala huhitaji macho bali akili ya kawaida tu.

Hata mwenye D mbili anajuwa. Ni nani aliyeondoa askari wa doria pale kwenye makazi ya maafisa wa juu wa serikali na ni nani alitoa CCTV Camera za kwenye nyumba ya Kalemani
 
Back
Top Bottom