Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Achukuliwe hatua za kisheria. Haongelei Bungeni, sio?Mbona anaongea mambo ya uongo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achukuliwe hatua za kisheria. Haongelei Bungeni, sio?Mbona anaongea mambo ya uongo tu
Ndio maana nimesema mchukulieni hatua za kisheria. Hana kinga yoyote.Ni mbunge?
Hili lijamaa halina shukrani🙂Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.
Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.
Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.
Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.
Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.
Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.
Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Utamuambia kwa staha lakini siyo kama anavyoropoka LissuMtu aliyeokoa maisha yako akijikojolea hadharani hutamwambia hapa umejikojolea hadharani ni kitu kibaya? Kwa sababu ameokoa maisha yako tu?
Ni sehemu gani ya ardhi yetu kapewa waarabu?Kwa sababu alimsalimia pale NBI mdo imfanye lissu anyamaze? Yaani ardhi yetu wanapewa waarabu akae kimya?
Hiyo staha ndiyo chanzo cha umasikini, watu hawaambiani ukweli, wana nidhamu ya woga na unafiki.Utamuambia kwa staha lakini siyo kama anavyoropoka Lissu
Acha ujinga....mama Abdul anauza kila kitu Tanganyika unafikiri sisi bado malofa?Ni sehemu gani ya ardhi yetu kapewa waarabu?
Wewe ndiwe mjinga kwa kuwa wssema nchi imeuzwa na huwezi kuonyesha mahali palipouzwa. Lofa kutoka KantalambaAcha ujinga....mama Abdul anauza kila kitu Tanganyika unafikiri sisi bado malofa?
Amegundua siri!...kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa....
Tumia jicho la Tatu...! Waweza kujua kwa nini dereva aliyeshudia tukio alifichwa. Amegundua siri!
Jicho la tatu labda matako. Kujua waliompiga risasi Lissu wala huhitaji macho bali akili ya kawaida tu.Tumia jicho la Tatu...! Waweza kujua kwa nini dereva aliyeshudia tukio alifichwa. Amegundua siri!
Huyo unayemkingia kifua unadhani ni "adisa Mdogo"? Karai la Fundi utalijua tu...!maadisa wa juu
Waulize wahusika ...!Alifichwa na nani?
Karai la fundi ni TUJITEGEMEE mbona inafahamikaHuyo unayemkingia kifua unadhani ni "adisa Mdogo"? Karai la Fundi utalijua tu...!
Ha ha hah ha 🤣Karai la fundi