Pre GE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ccm wote wamechanganyikiwa kwa ajili ya Lissu mmoja
madaktari walieleza kinagaubaga athari za kisaikolijia na afya ya akili havitamuepuka muungwana kutokana na madhila aliyoyapitia huko nyuma. sio kwa ubaya lakini ndio ukweli ulivyo, msimsifie mwenye matatizo, you never know šŸ’
 
Hapa unaongea na first class degree
Nishapoteza muda wa kutosha na mtu asiyekuwa na kitu kichwani. Hiyo 'first class degree' kama unayo itakuwa ni kwenye mambo ya kijingajinga tu yanayofundishwa huko vyuoni siku hizi. Unaweza kuiba mitihani ukapata 'first class' huku kichwani hakuna kilichoingia.
Imetosha na huu upuuzi.
 
Hao unaowaamkia shikamoo asubuhi ili mkono uende kinywani mimi ndio bosi wao
 
Ww Lissu unamuona ni mtu mwenye akili timamu
LISSU ana First Class with Honours ya Chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Best Student wa mwaka wao.
Hii itoshe kukuthibitishia kuwa Jamaa sio tu ana akili ni Gineous!
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.

Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389

Mbona hujatuma hayo matusi tuyaone
 
Kwa hiyo mtu aliyewahi kukusaidia hata kumfumania na mwenzi wako wa ndoa utampongeza?
 
wewe jamaa walimu walipata shida sana kukufundisha. JMT inaundwa/ muungano wa nchi zipi?
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukaleta Tanzania yenye serikali 2 ndani ya nchi moja. Serikali ya 2 ya Zanzibar ina special autonomy lakini siyo sovereign state. Haina jeshi wala kiti cha UN.

Usinibishie kwa vile tu umelishwa pumba na Tundu Lissu. Miungano duniani haina formula moja. Kachunguze mfumo wa USA uone kama unafanana na UK
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.

Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Huyu mutu kuna fiuzi haziko sawa
 
Umeenda mbali na kuandika mengi yeye utata bila ku address hoja ya msingi isiyo na utata mwingi.

Mtu akiokoa maisha yako leo huruhusiwi kumpinga tena maisha yako yote kwa sababu kaokoa maisha yako leo?
Kwa binadamu mwenye akili sawasawa hawezi kufanya kama Tundu Lissu. Ni mwehu tu ndiyo anaweza kufanya anayofanya Tundu Lissu dhidi ya huyu mama
 
LISSU ana First Class with Honours ya Chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Best Student wa mwaka wao.
Hii itoshe kukuthibitishia kuwa Jamaa sio tu ana akili ni Gineous!
Weka vyeti hapa, vidigrii vya kukremisha hivyo
 
Ila wewe unachuki sana na yule anko ila hutofanikiwa kuyachafua mazuri yake.
4c6aaecccfca682ga52_800C450.jpg
 
Katiba ya Zanzibar inasema ZanzIbar ni moja ya nchi zinazounda Jumuhuri ya muungano wa Tanzania kwa hiyo nchi hiyo nyingine ambayo ni Tanganyika haipo?
Na Huu sasa ni muungano au ni nini?
Ilipoundwa Tanzania kutokana na Zanzibar ikabakia Serikali ya Muungano na serikali ya Zanzibar yenye special autonomy. Ndiyo maana ZNZ haina Jeshi, Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Uhamiji, Polisi.

Above all haina kiti United Nations. Utaifa wa nchi unaanza na kutambukiwa Umoja wa Mataifa.

Hakuna single formula ya Muungano duniani
 
Katiba ya Zanzibar inasema ZanzIbar ni moja ya nchi zinazounda Jumuhuri ya muungano wa Tanzania kwa hiyo nchi hiyo nyingine ambayo ni Tanganyika haipo?
Na Huu sasa ni muungano au ni nini?
Ilipoundwa Tanzania kutokana na Zanzibar ikabakia Serikali ya Muungano na serikali ya Zanzibar yenye special autonomy. Ndiyo maana ZNZ haina Jeshi, Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Uhamiji, Polisi.

Above all haina kiti United Nations. Utaifa wa nchi unaanza na kutambukiwa Umoja wa Mataifa.

Hakuna single formula ya Muungano duniani
 
Kwa binadamu mwenye akili sawasawa hawezi kufanya kama Tundu Lissu. Ni mwehu tu ndiyo anaweza kufanya anayofanya Tundu Lissu dhidi ya huyu mama
Hujajibu swali nililouliza.

Mimi nishatoka kwa Lissu, nauliza swali general na abstract tu.

Umeenda mbali na kuandika mengi yeye utata bila ku address hoja ya msingi isiyo na utata mwingi.

Mtu akiokoa maisha yako leo huruhusiwi kumpinga tena maisha yako yote kwa sababu kaokoa maisha yako leo?
 
Lissu ni mnafiki
Mnafiki ni yule ambaye anahisi kumwambia ukweli mtu aliyekusaidia ni kufanya vibaya. Kwa hiyo kisa ulinipambania ukikosea niendelee kukusifu tu? Ina maana msaada ulikuwa hongo kwangi ya kukaa kimya?
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.

Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Mimi ni mwanaccm haswaaaa!!

Sijaona matusi ya Lisu Kwa Mbowe Wala Mama samiah!!

Ni kweli. Samiah ni Raia was nchi mbili na anaingia mikataba ya Bandari za Tanganyika ambayo sio nchi kabisa,pia amefukuza wamasai wanaoishi Tanganyika !!kwani ni uongo!!?

Tujibu hoja za Lisu tuache majungu na uchawa!!
 
Lissu mi kama kachanganyikiwa au kuna mtu anamfanyia vitendo vya ushirikina akosane na watu waliombeba akiwa hoi kwa risasi.

Mbowe hakulala akipinga Lissu asipelekwe Muhimbili, akatoa hela mfukoni akakodi ndege akampeleka Nairobi, akamuombea na ulinzi kutoka serikali ya kenya ili zimwi mla watu (R.I.H) asimmalizie.

Kiongozi pekee aliyeenda kumuona Lissu katikati ya vitisho na makundi ya chinja chinja ya yule jamaa ni Samia. Mpaka leo Mabeeyo anaulizwa kwa nini taarifa ya kwanza hakumpa mama, badala yake.

Akamfuata huko ubeleji alikokuwa anaishi pekee akampa nauli akarudi Tanzania.

Inasemwa kwamba baada ya SSH kutoka Nairobi, yule jamaa na kundi lake, rasmi walimtenga SSH kwa kila jambo ndani ya serikali, hata kumsalimia ilikuwa kosa la jinai, ukimsalimia kesho huna kazi.

Leo Lissu kaandaa ritani ya matusi dhidi ya watu waliomfanyia wema, kasahau hata kuwatukana waliompiga risasi, anashambulia waliomuokoa.

Bhojo kaziro!
View attachment 2981389
Kwa tunaomjua, Lissu ana matatizo ya akili.
 
Back
Top Bottom