Pre GE2025 Lissu atamtikisa Rais Samia, CHADEMA mpeni kijiti tena Lissu

Pre GE2025 Lissu atamtikisa Rais Samia, CHADEMA mpeni kijiti tena Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dr Slaa awe kampeni Meneja wake,akiungana na timu ya Mwakibusi,Mbowe na Heche.
 
Kwa nature ilivyo kwa vyama vya upinzani hakuna mtu wakuitikisa CCM isipo kuwa Antipas Mungwai Lissu. Vinginevyo CCM watashinda kwa % 98.
 
Kwa nature ilivyo kwa vyama vya upinzani hakuna mtu wakuitikisa CCM isipo kuwa Antipas Mungwai Lissu. Vinginevyo CCM watashinda kwa % 98.
ACT hakuna candidate wa kumtikisa Samia! Vilivyobaki vyote ni macho kumchuzi!
 
Ukiangalia upepo unavyokwenda wa kisiasa watu walio wasafi na wanakubalika kwenye jamii upande wa upinzani ni.Dr Slaa au Lissu mnaweza kuipelekesha CCM. Vinginevyo, tafuteni kampuni ya utafiti iwafanyie kazi kisayansi na nani anafaa kisha mfanye maamuzi.
 
Haya ni maoni yangu na upepo ninavyouona unavyovuma! Lisu is the right presidential candidate from Chadema! Give him a second chance. ATAMTIKISA SAMIA, TENA SANA!
Aya mambo hayaitaji shinikizo tafiti zifanyike kama ile kipindi cha 2015 ,safari hii sio ccm kutikiswa bali inaondoka pamoja na katiba hii , na tume hii
 
Samia atapigwa mbali sana na Jemadari Tunda Lissu kwenye Box la Kura.
 
ACT hakuna candidate wa kumtikisa Samia! Vilivyobaki vyote ni macho kumchuzi!
Tuwe wa kweli kuna anguko la vyama vya upinzani nchini nakwa kipindi iki we are running out of potential opponents political figures so out of Tundu lissu I see no one.
 
Back
Top Bottom