Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 939
- 1,460
Daaah! jamaa amechoka kukaa Ulaya, Sasa anataka akapumzike Segerea. Nafurahi kuona Lissu ni mzima lakini naumia nikikumbuka kuwa anakuja Sello.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri rais atue, wathubutu kutumia nguvu ama zetu ama zao, iwe mchana au ambush za usiku, salamu zetu watazipataSatellites zote zitaelekezwa Tanzania! Mwambieni Sirro huu si wakati wa kuwapiga watanzania kama “mbwa koko”! Haya!
Naona beberu yuko kwa mabeberu wenzie.
Tanzania ni kwa Watanzania.
Lisu kachacha hata suti haja mechisha koti kivyake,suruali kivyake kasuruali ka mtumba halafu ona viatu hata kiwi hajapiga kwa kuchacha
Ona hadi anatembea na chaja ya simu kawaomba hiyo hapo ukutani aweke simu yake ichaji ajipige hii selfie picha aliyopost
View attachment 1505613
Rais ajaye! Tunashukuru kwa ushirikiano tunaopata kwa marafiki zetu waliopo polic, usalama, na jw.
mhalifu hahitaji brain ni kukamata tuHuu ndio muda wa Jeshi la Police kutumia Brain haswa mistakes ndogo zinaweza Haribu kila kitu
Hahahaaa
Nyalandu yuko serious focused na anaheshimikaLisu anajihangaisha bure, apumzike ajiuguze, atumie muda wake mwingi na familia yake. Hizi siasa za tz ni upuuzi mtu. BTW chaguo la Mbowe anajulikana, ndio maana anaachiwa atambe anavyotaka na hamna anayemgusa ndani ya ChamaView attachment 1505649
Utakua bwabwa ww sio bureLisu kachacha hata suti haja mechisha koti kivyake,suruali kivyake kasuruali ka mtumba halafu ona viatu hata kiwi hajapiga kwa kuchacha
Ona hadi anatembea na chaja ya simu kawaomba hiyo hapo ukutani aweke simu yake ichaji ajipige hii selfie picha aliyopost
View attachment 1505613
Mpango uliopo jikoni ndio huo kumkomesha kwanza
Joh unabonga shit sanaHivyo viatu vinaitwa laizoni huku Africa tulishaacha kuvivaa atakuwa kanunua kwenye mitumba enzi hizo vilikuwa vikivaliwa na suruali pana yeye ndie kakumbuka leo!!!! unavaa hivi unaonekana cheki bob wa kienzi hizo huyo mwenye miwani ni baba yangu mdogo akienda kumchumbia mama mdogo na kulia kwake ni mshenga wake!!!!
View attachment 1505636
Sasa mnaenda na Lisu au Membe?.
Kaeni chini mfanye assessment mihemko inaweza kuamsha mambo ambayo yatawaletea chalenge ku neutralize Mmesha spark International communities attention hakuna sababu za kudeal na TAL kwa sasa mana hata mkimuacha azulule nchi nzima hawezi kushida hata kidogo sasa ya nini kuhangaika naemhalifu hahitaji brain ni kukamata tu
Hapo mmetokota..Nyalandu yuko serious focused na anaheshimika
speech aliyotoa ni mgombea pekee aliyetoa shukrani kwa Mbowe hana matusi hatukani chadema wala CCM anajikita kwenye hoja tu
Pesa anayo ya kampeni hatasumbua wana chadema anazunguka na mabasi yake kutafuta wadhamini cheki lingine hili
View attachment 1505660