Uchaguzi 2020 Lissu atua Ujerumani katika maandalizi ya mwisho kutua Tanzania

Acha ushamba kuvaa Rangi tofauti ni fashion siyo lazima zifanane, mbona nyinyi mnaovaa zinazofanana ndiyo mlimpiga risasi? Kuweka chaji kwenye ukuta na kuchaji simu ni kuchacha? hii mifano yako imejaa chuki kubwa inaelekea wewe ni mmoja wa watu walikwenda Dodoma kumpiga risasi maana una chuki na Tundu lisu mpaka umepitiliza zaidi sana, chuki ikizidi hujikuta mtu anaandika chochote ili mradi kujifariji
 
Kakifunze kuandika kwanza, kisha kunywa glasi ya maji ya baridi kabisa, halafu ndo uje kuni “quote”
 
Kwahiyo asirudi home
 
Nilitambua sana yamkini nini utasema,siku zote hua mnajifanya wajanja na wasomi na kumbe ni wapumbavu wakubwa,mnaowaita kama hivi kajifunze kuandika hua ndiyo wanaojua uhalisia na maisha halisi ya mTanzania nje na akili za kutengenezewa darasani na haisaidii kitu hapa Afrika, jf hii ikiendelea na tukawa hai na hzi ID zetu miaka ijayo ntakukumbusha upumbavu wako ulipokua,sasa hv hata uelezwe nini hutaelewa maana umenyeshwa sumu
Kakifunze kuandika kwanza, kisha kunywa glasi ya maji ya baridi kabisa, halafu ndo uje kuni “quote”
 
Hata wao wanajua kuwa siku mh Lissu akiingia hapa nchini vyombo vyote vya kiulinzi vya kimataifa macho yao ni kwa Lissu.
Kila nchi Duniani kuna changamoto kibao, hapo hatujaongelea mega-election US. Hayo mawazo kuwa watu huko kwingine Duniani wako busy kutuwaza sisi mnajua wenyewe mnakoyatoa!
 
Mnamuweka gerezani,wananchi tunachangua akiwa huko huko gerezani na JIWE almaarufu JPM anatoroka nchini.
Ninyi vibaraka wake sijui mtafanyaje?
 
Inauma sana jitihada zote hizo za matibabu alafu anakuja kurudi anaishia lupango dhamana inazuiwa hadi uchaguzi upite
Hoja yako haina mashiko hata kidogo! Fikra kama hizi ni aina mojawapo ya ulemavu wa kichwa!
 
Kila nchi Duniani kuna changamoto kibao, hapo hatujaongelea mega-election US. Hayo mawazo kuwa watu huko kwingine Duniani wako busy kutuwaza sisi mnajua wenyewe mnakoyatoa!
Tulia dawa iwaingie vyema kusudi mtende haki kwa wanao wakosoa
 
Kesi huwa hazifutwi kisa eti mtu katangaza nia ya kugombea udiwani ,ubunge au uraisi!!!! sheria haziko hivyo!!! Kesi Zake Lisu hazijafutwa na anatakiwa kukamatwa apelekwe segerea.COURT ORDER ZIPO
Siku hizi JIWE anajadili na wahalifu,wakilipa fedha wanatoka.

Sasa ana shida gani na Lisu mpaka atake kumfunga?

Natambua siku hizi mahakama iko likizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…