Hahaa kushindwa kwa Chadema hauwezi kuwa ushindi wa ACT braza. Unaitakia mabaya chama wewe sio kwanza. Wamepita akina magu na vyombo vyao lakini bado Chadema ndio kwanzaaaaaa!! Kila kona inaota kama uyoga.Aliyejiandaa kushika nchi ni Lazaro Nyalandu. Akitoswa huyoooo anarudi CCM.
Lissu asubiri kupewe uwaziri wa mambo ya nje.
Akirudi atakamatwa kwa makosa mengine ya jinai yanayomkabili.
ACT Wanatafuta ongezeko la wabunge wao tu, mpango wa kuungana na CHADEMA haupo na hautakuwepo na ningependa usiwepo, mibunge ya CHADEMA na madiwani wao wengi wamekisaliti chama. Twende na ACT kama kilivyo.