Lisu kachacha hata suti haja mechisha koti kivyake,suruali kivyake kasuruali ka mtumba halafu ona viatu hata kiwi hajapiga kwa kuchacha
Ona hadi anatembea na chaja ya simu kawaomba hiyo hapo ukutani aweke simu yake ichaji ajipige hii selfie picha aliyopost
View attachment 1505613
Utoto wa kuvaa nguo zinafanana umebaki kwako na familia yako....
Kingine selfie ni picha ya namna gan na hiyo ni ipi