Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
😂😆😄Balile mmojawapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😆😄Balile mmojawapo
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Bahari ina laana 🤣Hii bandari vipi mbona inamambo mengi kama vip bahari ikauke tukose wote
Hawapingi ubinafsishaji. Kinachopigiwa kelele mkatabaMi nachomkubali Lissu ni kwamba jamaa huwa sio Mnafki Tofaut na wanasiasa wengne wa Tanzania,
Il Enewei nimeskia huku tena Lema anasema kubinafsishwa kwa bandari ni jambo zuri
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Chuki sasa hizi. Pole sana ila bandari haiuzwi ng'ooooo
Mzee haujapewa hata kamilioni tatu unigawie kidogo maana nina ukata kweli kweli?Duh...!.
P
Huyu anajifanyaga genius kumbe….Balile mmojawapo
Mungu mbariki Lissu.Lissu ni Shujaa !
P mbona kama mguno wa mnufaika huu!!Duh...!.
P
Hata Lissu ni mnafiki ukumbuki ujuo wa Lowassa Chadema Lissu alikuwa anamshambulia Sana Lowassa baada ya kuja maneno yake yakawaje? Nakusahihisha kijana wanasiasa wote ni wanafiki sema walichotofautiana ni level ya unafiki tuMi nachomkubali Lissu ni kwamba jamaa huwa sio Mnafki Tofaut na wanasiasa wengne wa Tanzania,
Il Enewei nimeskia huku tena Lema anasema kubinafsishwa kwa bandari ni jambo zuri
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
🤣🤣🤣Nnachofurahia kwa sasa habari za sukuma gang sizisikii tena kwenye hili swala la bandari. Wote tunaimba wimbo mmoja.
Huyo ni mdini ndio unaomsumbuaFaizaFoxy Sijui kapewa Bei gani! Alikua na njaa balaa
Ni maelezo marefu katoa..si hayo mafupiMi nachomkubali Lissu ni kwamba jamaa huwa sio Mnafki Tofaut na wanasiasa wengne wa Tanzania,
Il Enewei nimeskia huku tena Lema anasema kubinafsishwa kwa bandari ni jambo zuri
Hawa kama kuna mmoja wao atatoboa mpaka 2030 Mungu yupo