Lissu atuhumu wabunge kuhongwa, waandishi walipewa 6m na DP World

Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema

DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"

Formula 1 World Championship ya Zanzibar yupo nyuma mfalme wa Dubai?
Mradi wa Matrilioni.
Ni kweli? Neema tupu inakuja
 
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema

DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"

Watanzania yatupasa tukatae Kwa njia yeyote ikibidi tuingie barabarani kulikataa hili limkataba.
 
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema

DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"

20230619_212217.jpg
 
Mi nachomkubali Lissu ni kwamba jamaa huwa sio Mnafki Tofaut na wanasiasa wengne wa Tanzania,

Il Enewei nimeskia huku tena Lema anasema kubinafsishwa kwa bandari ni jambo zuri
Hata Lissu ni mnafiki ukumbuki ujuo wa Lowassa Chadema Lissu alikuwa anamshambulia Sana Lowassa baada ya kuja maneno yake yakawaje? Nakusahihisha kijana wanasiasa wote ni wanafiki sema walichotofautiana ni level ya unafiki tu
 
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema

DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"

FaizaFoxy Sijui kapewa Bei gani! Alikua na njaa balaa
 
Back
Top Bottom