Kwakweli zimeanza kupoteza maana yaaaani huyu boss wao anaonekana kupwayaaMahakama imeanza kuzaraulika tangu ile kesi ya akwelina na kabendera
We Lissu wallah mama yangu marehemu ole wako ukose Dodoma tarehe 26 nitalala na wewe mbele,fanya yote please uende Dodoma,nenda hata leo usiku,rudi hata kwa ndege ya kukodi hiyo 26 huku Dar,but hell no usikose Dodoma!Akiongea na waandishi wa habari, leo ndugu Tundu Lissu ameelezea kirefu taarifa za njama za kumuengua kugombea kupitia kumfungulia mashitaka mapya ya papo kwa papo pindi akienda kusikiliza mashauri yake ya zamani.
Lissu amesema taarifa za uhakika walizo nazo kutoka katika vyanzo vya taarifa ndani ya serikali ni kuwa, mpango uliosukwa ni kuwa tarehe 26 imechaguliwa makusudi kwa sababu tarehe hiyo ndiyo tarehe pia ambayo kama kuna mapingamizi huko NEC ya kugombea, basi mgombeaji anapaswa awepo kuyajibu. Hata hivyo kwa upande wa Lissu tarehe hiyohiyo amepangiwa awepo mahakamani kuendelea na mashauri yake. Lissu amesema taarifa walizonazo ni kuwa akifika mahakamani atasomewa mashitaka mengine mapya ya papo kwa papo, kunyimwa kisha kesi kuahirishwa tarehe ya kutajwa na kisha kunyimwa dhamana ili asiweze kwenda NEC kujibu mapingamizi yoyote yatakayoibuliwa na hivyo kuwa kuondolewa katika kugombea!
Lissu amesema, kuwa kesi za jinai ni kesi za hadhara ambapo umma unaruhusiwa kwenda kuzisikiliza, hivyo anawataka wananchi wa Dar na mikoa ya jirani wahudurie mahakamani siku hiyo!
Pamoja na shauri lake kutajwa tarehe hiyo, Lissu hajawwka wazi msimamo wake kuwa Je atakwenda yeye binafsi au hatakwenda, lakini kwa jibu alilolitoa kwa mwandishi wa habari ameonyesha kuwa Jambo la kugombea ambayo ni haki yake ya kikatiba analipa kipaumbele zaidi.
Kwa habari zaidi tazama video hii:
Huko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. Hawatarusha
au kuandikwa habarii ya mgombea yeyote anayetukana au kuleta uchochezi
Mkuu umesoma lkn ile barua ya Amsterdam nakuruhusu kaipitie tenaHuko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. Hawatarusha
au kuandikwa habarii ya mgombea yeyote anayetukana au kuleta uchochezi
Kaka bado tu unazungumzia tu vyombo na majukwaa yaliyonunuliwa na Lumumba!pole saana. Wananchi hawadangayiki tena kwa taarifa yakoHuko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. Hawatarusha
au kuandikwa habarii ya mgombea yeyote anayetukana au kuleta uchochezi
Mwambieni Lissu tuko tayari kumchangia pesa akodi ndege au helikopta,aende akalale Dodoma kesho,tarehe 26 akisha kamilisha taratibu zote pale NEC fasta imrudishe Dar kuhandle maswala ya kesi zakeAkili kubwa hii!!
Anyway,ili waanguke,ni lazima wawe na viburi na wayatende haya kabla ya wao kuanguka.
Hata Yesu ilimpasa kupita katika kipindi kigumu kabla ya kukamilisha kazi aliyokuwa ametumwa.
Tusisahau Mungu ni yule yule,na bado anatenda yale yale hata kwa wanadamu wa leo.
Muda utathibitisha.
Kesi Ni yake wanaohitajika Ni yeye,mawakili na Hakimu mbona anahaha kualika watu like eneo dogo Ni kujaza watu Bila sababu
Ni dada huyo na ana stress hajaingia to the moon tangu Lissu arudiKaka bado tu unazungumzia tu vyombo na majukwaa yaliyonunuliwa na Lumumba!pole saana. Wananchi hawadangayiki tena kwa taarifa yako
Utafanya nini?.Ole wao wamuengue Tundu Lissu nasema ole wao
Msakatonge huyu akwende zake. Anaganga njaa. Nyambafukulumekenge huyu!kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania
Huyo Amsterdam bwege tu .Kuandika barua ndio Nini hata Mimi naweza andika kwenda umoja wa mataifa hata kwa Trump nikitaka nanunua tu stamp na bahasha nwangalia anuani Yao naiandika nawapa nakala vyombo vya habari na kuanza kutamba nimepeleka barua umoja wa mataifa au kwa Trump!!! so what shit!!! Halafu naipost posta iende Umoja wa Mataifa au kwa Trump.Kule yaweza hata tupwa kwenye dustbin!!!Mkuu umesoma lkn ile barua ya Amsterdam nakuruhusu kaipitie tena
Haraka sana fanyeni hivyo.Chadema i am goddamn serious.!
Fanyeni yote ila msilete ujinga Lissu akakosa kwenda Dom tarehe 26 tutalala na nyie mbele.!
Mkitaka mbaki kama chama kikuu cha upinzani na tuwasamehe kwa ile record breaking blunder ya 2015 basi fanyeni yote afike Dom iyo 26!
Wekeni akaunti,
Wekeni namba za mpesa,tigo pesa et al.
Enough is enough.!
We waache walete ujinga,wasije wakajilaumuNaunga mkono hoja
Kesi za kijinga na kipuuzi ndiyo huwa zinaitiwa umma kama hivi. Msikilize mwanzo mwisho utamuelewa.Aende tu akasikilize shauri lake na akaendelee na utaratibu wa maisha kesi ni yake Aiseee.