Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

Akiongea na waandishi wa habari, leo ndugu Tundu Lissu ameelezea kirefu taarifa za njama za kumuengua kugombea kupitia kumfungulia mashitaka mapya ya papo kwa papo pindi akienda kusikiliza mashauri yake ya zamani.
Lissu amesema taarifa za uhakika walizo nazo kutoka katika vyanzo vya taarifa ndani ya serikali ni kuwa, mpango uliosukwa ni kuwa tarehe 26 imechaguliwa makusudi kwa sababu tarehe hiyo ndiyo tarehe pia ambayo kama kuna mapingamizi huko NEC ya kugombea, basi mgombeaji anapaswa awepo kuyajibu. Hata hivyo kwa upande wa Lissu tarehe hiyohiyo amepangiwa awepo mahakamani kuendelea na mashauri yake. Lissu amesema taarifa walizonazo ni kuwa akifika mahakamani atasomewa mashitaka mengine mapya ya papo kwa papo, kunyimwa kisha kesi kuahirishwa tarehe ya kutajwa na kisha kunyimwa dhamana ili asiweze kwenda NEC kujibu mapingamizi yoyote yatakayoibuliwa na hivyo kuwa kuondolewa katika kugombea!

Lissu amesema, kuwa kesi za jinai ni kesi za hadhara ambapo umma unaruhusiwa kwenda kuzisikiliza, hivyo anawataka wananchi wa Dar na mikoa ya jirani wahudurie mahakamani siku hiyo!

Pamoja na shauri lake kutajwa tarehe hiyo, Lissu hajawwka wazi msimamo wake kuwa Je atakwenda yeye binafsi au hatakwenda, lakini kwa jibu alilolitoa kwa mwandishi wa habari ameonyesha kuwa Jambo la kugombea ambayo ni haki yake ya kikatiba analipa kipaumbele zaidi.

Kwa habari zaidi tazama video hii:


We Lissu wallah mama yangu marehemu ole wako ukose Dodoma tarehe 26 nitalala na wewe mbele,fanya yote please uende Dodoma,nenda hata leo usiku,rudi hata kwa ndege ya kukodi hiyo 26 huku Dar,but hell no usikose Dodoma!
 
Huko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. Hawatarusha
au kuandikwa habarii ya mgombea yeyote anayetukana au kuleta uchochezi

Haisaidii, waende wakarushe stori za Jiwe za kudhalilisha wanawake.

At the end of the day consumer ni wananchi, tukiona magazeti yenye habari tusizotaka hatununui

Tukisikia propaganda za jiwe tunabadirisha chaneli.

Mteja ni mfalme!
 
Huko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. Hawatarusha
au kuandikwa habarii ya mgombea yeyote anayetukana au kuleta uchochezi
Mkuu umesoma lkn ile barua ya Amsterdam nakuruhusu kaipitie tena
 
Huko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. Hawatarusha
au kuandikwa habarii ya mgombea yeyote anayetukana au kuleta uchochezi
Kaka bado tu unazungumzia tu vyombo na majukwaa yaliyonunuliwa na Lumumba!pole saana. Wananchi hawadangayiki tena kwa taarifa yako
 
Akili kubwa hii!!

Anyway,ili waanguke,ni lazima wawe na viburi na wayatende haya kabla ya wao kuanguka.

Hata Yesu ilimpasa kupita katika kipindi kigumu kabla ya kukamilisha kazi aliyokuwa ametumwa.

Tusisahau Mungu ni yule yule,na bado anatenda yale yale hata kwa wanadamu wa leo.

Muda utathibitisha.
Mwambieni Lissu tuko tayari kumchangia pesa akodi ndege au helikopta,aende akalale Dodoma kesho,tarehe 26 akisha kamilisha taratibu zote pale NEC fasta imrudishe Dar kuhandle maswala ya kesi zake
 
Kesi Ni yake wanaohitajika Ni yeye,mawakili na Hakimu mbona anahaha kualika watu like eneo dogo Ni kujaza watu Bila sababu
Kaka bado tu unazungumzia tu vyombo na majukwaa yaliyonunuliwa na Lumumba!pole saana. Wananchi hawadangayiki tena kwa taarifa yako
Ni dada huyo na ana stress hajaingia to the moon tangu Lissu arudi
 
Wale wanaLumumba ndiyo wadau wakubwa wa kutaka Tundu Lissu awekewe viunzi hivyo wajitokeze kwa wingi ili wajue hatma ya mgombea wao wa CCM maana wanamsaidia kwa kujaribu kuwawekea wapinzani wa mgombea wa CCM vikwazo mbalimbali ili apata ushindi wa mezani.
 
Labda mie ni mgeni ktk ufahamu juu ya hizi mahakama na utendaji qa kazi zake. Hivi kesi ni ya Lissu wanaotakiwa ni upande wa mshtakiwa na pia upande wa mshitaki sasa sababu ni Lissu kwa Status yake kwa siasa yetu lazima kuwepo waandishi wa habari kufiatilia kesi yake na kutoa habari kwa umma pia kuna wale ndugu wa watuhumiwa wenye kesi zao. Kwa maelezo hayo sioni umuhimu wa jamii ya watu pwani wawepo pale kwa wingi kwa maana Polisi na Askari magereza ukiweka na wananchi kunakuaga na mihemko hususani kuwepo na wafuasi wa Lissu hapo ndo tafsiri mbaya hutokea haijalishi nani atasemwa kwa ubaya. Aende tu akasikilize shauri lake na akaendelee na utaratibu wa maisha kesi ni yake Aiseee.
 
Chadema i am goddamn serious.!
Fanyeni yote ila msilete ujinga Lissu akakosa kwenda Dom tarehe 26 tutalala na nyie mbele.!

Mkitaka mbaki kama chama kikuu cha upinzani na tuwasamehe kwa ile record breaking blunder ya 2015 basi fanyeni yote afike Dom iyo 26!

Wekeni akaunti,

Wekeni namba za mpesa,tigo pesa et al.
Enough is enough.!
 
Mkuu umesoma lkn ile barua ya Amsterdam nakuruhusu kaipitie tena
Huyo Amsterdam bwege tu .Kuandika barua ndio Nini hata Mimi naweza andika kwenda umoja wa mataifa hata kwa Trump nikitaka nanunua tu stamp na bahasha nwangalia anuani Yao naiandika nawapa nakala vyombo vya habari na kuanza kutamba nimepeleka barua umoja wa mataifa au kwa Trump!!! so what shit!!! Halafu naipost posta iende Umoja wa Mataifa au kwa Trump.Kule yaweza hata tupwa kwenye dustbin!!!

Umeona hizo barua za huyo bwege Amsterdam umeona Kuna yeyote kajibu huko alikopeleka sijui umoja wa mataifa sijui wapi ?
Ni limbukeni bwege Fulani lenye kichwa finyu

Hiyo mibarua yenyewe Lisu ndie anaandikana kumpa tu Amsterdam asaini na kukifanya apeleka bila hata kuonyesha ushahidi wowote wa kupeleka Wala kuonyesha despatch ya hizo barua kupokelewa huko zilikoenda
Kifupi Lisu na Amsterdam ni matapeli wawili waliokutana

Hili tapeli bwege Amsterdam lilitaka kumtapeli Bob wine wa Uganda akalistukia akalibwaga na kukaa mbali nalo

Amsterdam Ni tapeli Kama matapeli wengine ila lenyewe Lina ngozi nyeupe zungu

Hamna kitu Hapo Ni ubwege mtupu
 
Chadema i am goddamn serious.!
Fanyeni yote ila msilete ujinga Lissu akakosa kwenda Dom tarehe 26 tutalala na nyie mbele.!


Mkitaka mbaki kama chama kikuu cha upinzani na tuwasamehe kwa ile record breaking blunder ya 2015 basi fanyeni yote afike Dom iyo 26!
Wekeni akaunti,


Wekeni namba za mpesa,tigo pesa et al.
Enough is enough.!
Haraka sana fanyeni hivyo.
 
Aende tu akasikilize shauri lake na akaendelee na utaratibu wa maisha kesi ni yake Aiseee.
Kesi za kijinga na kipuuzi ndiyo huwa zinaitiwa umma kama hivi. Msikilize mwanzo mwisho utamuelewa.
 
Back
Top Bottom