Lissu awaalika Wananchi wa Dar na mikoa ya jirani kufika Mahakamani Kisutu kwa wingi tarehe 26 kusikiliza shauri lake

Tupo popote ulipo
 
Umechoka kufanya nini?

Na CHADEMA wasilete mchezo gani?

Hujaeleweka. Ukipenda unaweza kufafanua...
Nimechoka kusikia vilio vya chadema kuonewa kila siku wakati nguvu ya umma hata kama siyo kama ya kipindi cha 2015 kurudi nyuma,inaweza kuwasaidia ipo!

Umma upo na nipo tayari na wengine wakiwa tayari tuwachangie pesa wakodi helikopta wasije wakasingizia mahakama au tume
 

Woga wa nini, kesi hii ina vutia wadau kutoka kambi mbalimbali ndani ya nchi yetu, kikanda na kimataifa.

Kusubiri hawa waandishi wa kiTanzania watupe mrejesho ni sawa na kusubiri garimoshi ukiwa katikati ya bahari kuu ya Pasifiki (Pacific Ocean).
 
Mkuu umesoma lkn ile barua ya Amsterdam nakuruhusu kaipitie tena
Serikali haiendeshwi na barua za amsterdam..punguzeni kiwango cha ujinga.

Miaka ya nyuma mliliwa na kampuni za kwenye mikoba hivyo hivyo.
 
We jinga unaumia roho Lissu kunywa juice ulaya? na wewe si ununue yako hapo dukani kwa mangi!
Mimi nakula chungwa sio juisi...juisi muachie beberu ambaye hana sehemu ya kulima
 
Lissu si awalete hao wanasheria wake wa uingereza hapo kisutu wamtete hiyo tarehe 26.

Kwa nini yule mdhamini wa Lissu alitaka kujitoa.?Hii Lissu hakuiongelea, kaipotezea.
 
Ushoga ni utawala binafsi! Hata wewe huenda ni shoga chumbani kwako lakini hujatutangazia!
Iweje mgombea wenu ameshirikiana na watetea ushoga kusaka kiki duniani?
 
Huko Ni kuingilia Uhuru wa kisheria ndio maana vyombo vya habari vimemsusa na Leo kiongozi wa jukwaa la wahariri Tanzania katamka wazi kuwa. Hawatarusha
au kuandikwa habarii ya mgombea yeyote anayetukana au kuleta uchochezi
Hata wasipoandika, Lisu habari ya mjini tu. Hazuiliki kwa hizi mbinu za kitoto
 
Unaelewa sababu ya mahakama kulazimika kuwa na kumbi za hadhara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…