Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umenuaje mambo ya ndani. Wambea wa CCM [emoji1787]
Bajeti ya nchi imekushinda umebaki kufuatilia bajeti ya CHADEMA. Acha unafikiInaweza kuwa uongo au ukweli Ila Kuna maswali ya kujiuliza.
Lissu kafanya ziara nyingi nyingine akiwa anapanda bodaboda lakini Mbowe anafanya ziara kwa kutumia gharama kubwa Cha kujiuliza chama kina bajeti ya viongozi wake au mwenyekiti ndiye pekee mwenye bajeti ya mikutabo.
Huwezi kuwa mchawi bila kuwa chawaHeri ya mchawi kuliko chawa
Leta ushahidi wa maelezo yakoLissu ni ngumu sana kuelewana naye,ni mtata by nature,nasikia hata mkewe siku hizi hawaelewani,pia kaka yake tumbo moja hawapatani kabisa,sijui huyu mtu ana shida gani kwa bichwa lake
Maelezo yako Yana ukakasi!! Huwezi kujua kila kitu mpaka hisia za mtu!! Unless wewe ni mke wa mmoja wapo wa Wana Delegation ya LissuKwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ambayo ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.
Ziara ambayo ilitangazwa itakuwa ni ya siku 21 katika majimbo 35 tayari imeshaingia dosari siku ya pili tu tokea kuanza kwa ziara Makamu Mwenyekiti Tundu Lisu ameisusia ziara hiyo kwa madai kuwa Mwenyekiti amejipanga kwa bajeti kubwa ikiwa yeye ametoka kwenye ziara katika mkoa wa Singida bila ya kuwa na bajeti iweje Mbowe afanye kufuru.?
Siku ya jana baada ya kumalizika kwa mikutano ilibidi yeye na delegation yake ikiongozwa na Askofu Mwanamapinduzi wajigharamie Chakula na Malazi kitu ambacho Lissu alikipinga na hakikuwa katika ratiba yake.
Hali hiyo ilimlazimu Tundu Lissu achukue sehemu ya michango aliyochangiwa na wanaharakati pamoja na diaspora kununulia gari kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni 2 kulipia malazi tu hali ambayo imemkasirisha Makamu Mwenyekiti na kupelekea kususia ziara hiyo kwa madai kuwa yeye hana pesa na alikwenda kwenye hiyo ziara kwa mualiko wa Mwenyekiti wake.
Tundu Lissu anasema kuwa Mbowe alipaswa kumuhudumia kama Kiongozi yeye pamoja na delegation yake lakini ilipofika jioni baada ya kumaliza mikutano kila mtu anashika njia yake kitu ambacho kimemfanya Tundu Lissu aingie mitini kuendelea na ziara.
Tunaposema Lissu na Mbowe hawapikiki tena chungu kimoja ni wazi sasa hivi imebakia kugawana magwanda tu na kila mmoja kushika njia yake.
Kwaheri Lissu.
SeenKwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ambayo ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.
Ziara ambayo ilitangazwa itakuwa ni ya siku 21 katika majimbo 35 tayari imeshaingia dosari siku ya pili tu tokea kuanza kwa ziara Makamu Mwenyekiti Tundu Lisu ameisusia ziara hiyo kwa madai kuwa Mwenyekiti amejipanga kwa bajeti kubwa ikiwa yeye ametoka kwenye ziara katika mkoa wa Singida bila ya kuwa na bajeti iweje Mbowe afanye kufuru.?
Siku ya jana baada ya kumalizika kwa mikutano ilibidi yeye na delegation yake ikiongozwa na Askofu Mwanamapinduzi wajigharamie Chakula na Malazi kitu ambacho Lissu alikipinga na hakikuwa katika ratiba yake.
Hali hiyo ilimlazimu Tundu Lissu achukue sehemu ya michango aliyochangiwa na wanaharakati pamoja na diaspora kununulia gari kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni 2 kulipia malazi tu hali ambayo imemkasirisha Makamu Mwenyekiti na kupelekea kususia ziara hiyo kwa madai kuwa yeye hana pesa na alikwenda kwenye hiyo ziara kwa mualiko wa Mwenyekiti wake.
Tundu Lissu anasema kuwa Mbowe alipaswa kumuhudumia kama Kiongozi yeye pamoja na delegation yake lakini ilipofika jioni baada ya kumaliza mikutano kila mtu anashika njia yake kitu ambacho kimemfanya Tundu Lissu aingie mitini kuendelea na ziara.
Tunaposema Lissu na Mbowe hawapikiki tena chungu kimoja ni wazi sasa hivi imebakia kugawana magwanda tu na kila mmoja kushika njia yake.
Kwaheri Lissu.
Mmmmmm.....duh!Kwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ambayo ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.
Ziara ambayo ilitangazwa itakuwa ni ya siku 21 katika majimbo 35 tayari imeshaingia dosari siku ya pili tu tokea kuanza kwa ziara Makamu Mwenyekiti Tundu Lisu ameisusia ziara hiyo kwa madai kuwa Mwenyekiti amejipanga kwa bajeti kubwa ikiwa yeye ametoka kwenye ziara katika mkoa wa Singida bila ya kuwa na bajeti iweje Mbowe afanye kufuru.?
Siku ya jana baada ya kumalizika kwa mikutano ilibidi yeye na delegation yake ikiongozwa na Askofu Mwanamapinduzi wajigharamie Chakula na Malazi kitu ambacho Lissu alikipinga na hakikuwa katika ratiba yake.
Hali hiyo ilimlazimu Tundu Lissu achukue sehemu ya michango aliyochangiwa na wanaharakati pamoja na diaspora kununulia gari kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni 2 kulipia malazi tu hali ambayo imemkasirisha Makamu Mwenyekiti na kupelekea kususia ziara hiyo kwa madai kuwa yeye hana pesa na alikwenda kwenye hiyo ziara kwa mualiko wa Mwenyekiti wake.
Tundu Lissu anasema kuwa Mbowe alipaswa kumuhudumia kama Kiongozi yeye pamoja na delegation yake lakini ilipofika jioni baada ya kumaliza mikutano kila mtu anashika njia yake kitu ambacho kimemfanya Tundu Lissu aingie mitini kuendelea na ziara.
Tunaposema Lissu na Mbowe hawapikiki tena chungu kimoja ni wazi sasa hivi imebakia kugawana magwanda tu na kila mmoja kushika njia yake.
Kwaheri Lissu.
Jamaa kapuliza dawa kwenye mashimo nguchiro wote wametoka kwa wasi wasi!Unatia aibu ukiwa wapi?
Wengi ni hoyahoya hawataki kusikia tofauti na wanachoaminiBadala ya kumtukana aliyeleta hoja,- nilitegemea wote mlioguswa na hoja yake mngejikita katika kuelezea ukweli mnaoufahamu ili uongo wake uwe dhahiri. Kujibu hoja kwa jazba na matusi ni dalili ya udhaifu wa kifikra.
Hivi moderators huyu mapessa anawapa kiasi gani hadi mnavumilia stori zake za uzushi hapa JF? Siku zote analeta uzushi ambao mwisho wa siku unadhihirika kuwa ni uongo lakini nyie mnamkumbatia tu? Mbona watu wakileta stori za uzushi kwa CCM mnawapiga ban au kuzifuta nyuzi zao?Kwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ambayo ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.
Ziara ambayo ilitangazwa itakuwa ni ya siku 21 katika majimbo 35 tayari imeshaingia dosari siku ya pili tu tokea kuanza kwa ziara Makamu Mwenyekiti Tundu Lisu ameisusia ziara hiyo kwa madai kuwa Mwenyekiti amejipanga kwa bajeti kubwa ikiwa yeye ametoka kwenye ziara katika mkoa wa Singida bila ya kuwa na bajeti iweje Mbowe afanye kufuru.?
Siku ya jana baada ya kumalizika kwa mikutano ilibidi yeye na delegation yake ikiongozwa na Askofu Mwanamapinduzi wajigharamie Chakula na Malazi kitu ambacho Lissu alikipinga na hakikuwa katika ratiba yake.
Hali hiyo ilimlazimu Tundu Lissu achukue sehemu ya michango aliyochangiwa na wanaharakati pamoja na diaspora kununulia gari kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni 2 kulipia malazi tu hali ambayo imemkasirisha Makamu Mwenyekiti na kupelekea kususia ziara hiyo kwa madai kuwa yeye hana pesa na alikwenda kwenye hiyo ziara kwa mualiko wa Mwenyekiti wake.
Tundu Lissu anasema kuwa Mbowe alipaswa kumuhudumia kama Kiongozi yeye pamoja na delegation yake lakini ilipofika jioni baada ya kumaliza mikutano kila mtu anashika njia yake kitu ambacho kimemfanya Tundu Lissu aingie mitini kuendelea na ziara.
Tunaposema Lissu na Mbowe hawapikiki tena chungu kimoja ni wazi sasa hivi imebakia kugawana magwanda tu na kila mmoja kushika njia yake.
Kwaheri Lissu.
Nilikuwa nawasikia wambeya tu lakini sasa nimejionea kwako . Unajua kwamba mgomo wa kariakoo unaanza. Unaacha kuzungumza vitu vya msingi kama hivyo unakuja na ujinga huu. Wewe ni mjinga katika wajinga wa nchi hii . Wewe ni mzigo kwa Tanzania Inabidi mungu akuchukue leo nchi ipate nafuuKwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ambayo ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.
Ziara ambayo ilitangazwa itakuwa ni ya siku 21 katika majimbo 35 tayari imeshaingia dosari siku ya pili tu tokea kuanza kwa ziara Makamu Mwenyekiti Tundu Lisu ameisusia ziara hiyo kwa madai kuwa Mwenyekiti amejipanga kwa bajeti kubwa ikiwa yeye ametoka kwenye ziara katika mkoa wa Singida bila ya kuwa na bajeti iweje Mbowe afanye kufuru.?
Siku ya jana baada ya kumalizika kwa mikutano ilibidi yeye na delegation yake ikiongozwa na Askofu Mwanamapinduzi wajigharamie Chakula na Malazi kitu ambacho Lissu alikipinga na hakikuwa katika ratiba yake.
Hali hiyo ilimlazimu Tundu Lissu achukue sehemu ya michango aliyochangiwa na wanaharakati pamoja na diaspora kununulia gari kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni 2 kulipia malazi tu hali ambayo imemkasirisha Makamu Mwenyekiti na kupelekea kususia ziara hiyo kwa madai kuwa yeye hana pesa na alikwenda kwenye hiyo ziara kwa mualiko wa Mwenyekiti wake.
Tundu Lissu anasema kuwa Mbowe alipaswa kumuhudumia kama Kiongozi yeye pamoja na delegation yake lakini ilipofika jioni baada ya kumaliza mikutano kila mtu anashika njia yake kitu ambacho kimemfanya Tundu Lissu aingie mitini kuendelea na ziara.
Tunaposema Lissu na Mbowe hawapikiki tena chungu kimoja ni wazi sasa hivi imebakia kugawana magwanda tu na kila mmoja kushika njia yake.
Kwaheri Lissu.
Lisu kapata Hela Kwa wafadhili kufanya mikutano mbona hajamshirikisha mboweKwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ambayo ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.
Ziara ambayo ilitangazwa itakuwa ni ya siku 21 katika majimbo 35 tayari imeshaingia dosari siku ya pili tu tokea kuanza kwa ziara Makamu Mwenyekiti Tundu Lisu ameisusia ziara hiyo kwa madai kuwa Mwenyekiti amejipanga kwa bajeti kubwa ikiwa yeye ametoka kwenye ziara katika mkoa wa Singida bila ya kuwa na bajeti iweje Mbowe afanye kufuru.?
Siku ya jana baada ya kumalizika kwa mikutano ilibidi yeye na delegation yake ikiongozwa na Askofu Mwanamapinduzi wajigharamie Chakula na Malazi kitu ambacho Lissu alikipinga na hakikuwa katika ratiba yake.
Hali hiyo ilimlazimu Tundu Lissu achukue sehemu ya michango aliyochangiwa na wanaharakati pamoja na diaspora kununulia gari kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni 2 kulipia malazi tu hali ambayo imemkasirisha Makamu Mwenyekiti na kupelekea kususia ziara hiyo kwa madai kuwa yeye hana pesa na alikwenda kwenye hiyo ziara kwa mualiko wa Mwenyekiti wake.
Tundu Lissu anasema kuwa Mbowe alipaswa kumuhudumia kama Kiongozi yeye pamoja na delegation yake lakini ilipofika jioni baada ya kumaliza mikutano kila mtu anashika njia yake kitu ambacho kimemfanya Tundu Lissu aingie mitini kuendelea na ziara.
Tunaposema Lissu na Mbowe hawapikiki tena chungu kimoja ni wazi sasa hivi imebakia kugawana magwanda tu na kila mmoja kushika njia yake.
Kwaheri Lissu.
Hii ni issue ndogo tuu ya internal communications break down, Mbowe alipomwalika TL, anagharimiwa na chama kama kiongozi mwandamizi wa chama, alipaswa aje mwenyewe na sio kuja na team ya wapambe wake..
Tunaposema Lissu na Mbowe hawapikiki tena chungu kimoja ni wazi sasa hivi imebakia kugawana magwanda tu na kila mmoja kushika njia yake.
Uongo ni rahisi sana kuandikaKwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ambayo ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.
Ziara ambayo ilitangazwa itakuwa ni ya siku 21 katika majimbo 35 tayari imeshaingia dosari siku ya pili tu tokea kuanza kwa ziara Makamu Mwenyekiti Tundu Lisu ameisusia ziara hiyo kwa madai kuwa Mwenyekiti amejipanga kwa bajeti kubwa ikiwa yeye ametoka kwenye ziara katika mkoa wa Singida bila ya kuwa na bajeti iweje Mbowe afanye kufuru.?
Siku ya jana baada ya kumalizika kwa mikutano ilibidi yeye na delegation yake ikiongozwa na Askofu Mwanamapinduzi wajigharamie Chakula na Malazi kitu ambacho Lissu alikipinga na hakikuwa katika ratiba yake.
Hali hiyo ilimlazimu Tundu Lissu achukue sehemu ya michango aliyochangiwa na wanaharakati pamoja na diaspora kununulia gari kwa kutoa kiasi cha shilingi milioni 2 kulipia malazi tu hali ambayo imemkasirisha Makamu Mwenyekiti na kupelekea kususia ziara hiyo kwa madai kuwa yeye hana pesa na alikwenda kwenye hiyo ziara kwa mualiko wa Mwenyekiti wake.
Tundu Lissu anasema kuwa Mbowe alipaswa kumuhudumia kama Kiongozi yeye pamoja na delegation yake lakini ilipofika jioni baada ya kumaliza mikutano kila mtu anashika njia yake kitu ambacho kimemfanya Tundu Lissu aingie mitini kuendelea na ziara.
Tunaposema Lissu na Mbowe hawapikiki tena chungu kimoja ni wazi sasa hivi imebakia kugawana magwanda tu na kila mmoja kushika njia yake.
Kwaheri Lissu.
Kwa Mara nyingine tena Mbowe na Tundu Lissu wameingia kwenye mzozo mwingine ikiwa ni siku moja tu tokea Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kutangaza ziara katika kanda ya Kaskazini ambayo ililengwa kuwa na mikutano zaidi ya 104 katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha,Tanga na Manyara.

Kwaheri