Hii ni issue ndogo tuu ya internal communications break down, Mbowe alipomwalika TL, anagharimiwa na chama kama kiongozi mwandamizi wa chama, alipaswa aje mwenyewe na sio kuja na team ya wapambe wake.
Zinapotokea tofauti kubwa za kiitikadi kati ya viongozi, kama hii,
Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability? ndio tatizo, na sio hii issue ndogo ya malazi, kesho utamshuhudia yupo kwenye ziara ila akiendelea kuwahitaji na wapambe wake, itambidi awagharimie, chama kinagharimia viongozi tuu na sio viongozi na wapambe wao.
Hata Mwenyekiti, enzi zile anaandamana na mpambe huyu,
Ujio wa Wema Sepetu CHADEMA: Is She an Asset or a Liability? Mmeishaumwa na Nyoka, Hamjifunzi tu?! ni Mwenyekiti mwenyewe alikuwa anamgharimia kwa kumlipia tiketi ya ndege, kushare nae gari yake, na kumlaza pale Aeshi kwa gharama za Mwenyekiti na sio kugharimiwa na chama.
P