mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Mimi sio kamanda, mwanaCCM mwenzakoKamanda huo ni ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio kamanda, mwanaCCM mwenzakoKamanda huo ni ushauri
We mgombea wako anaeleza sera gani?? Anajimwambafy tu, kwanza haaminiki, anajisifu kutumbua lakini tumejionae wenyewe akitumbua watu huwa anawqrudisha badae, mf mwigulu...Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za Chadema na hasikii raha na Janeiro wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting...
Kuna kipofu mmoja aliwahi tembelewa na malaika ghafla macho yake yakafunguka mbele kulikuwa na tembo Ndie alimuona alipofunguka macho malaika alipoondoka akawa kipofu tenaNdugu zangu,
Anachokifanya Tundu Lissu kwenye jukwaa la kampeni ni "kangaroo court"; anatuhumu,anajaribu kutoa vifungu vya sheria hata kama si sawa kisha anatoa hukumu akifikiri wananchi wanamuelewa..
Mzee kule Singida baada ya mgombea wake kukataliwa hadharani akaona isiwe shida akaanza kugonga Singeli. Sasa karudi tena na style ya PUSHUPS maana hana mvuto tena jukwaani na kesha kata pumzi wiki ya kwanza tuu ya kampeni.Ni uchaguzi au ni fiesta?
Tuanzie hapo kwanza.
Kila haki ina mipaka, sasa twambieni hizo haki tutakazo nufaika Nazo ni zipi? Kwa sababu mpaka sasa hamjatwambia ni haki gani imepokonywa kwa wananchi.TATIZO N KUTOKUJUA SERA NI NIN, KAULI MBIU YAO N HAKI, AMANI NA MAENDELEO. SASA BILA SHERIA IMARA UTAPATAJE HIVYO VITU? UNAJUA KABISA AWAMU HII YA 5 SHERIA, NA BUNGE VIMEZIKWA RASMI LASMA VIFUFULIWE.
Unateseka bure kumpigania MTU wako aliyechoka. Hakuna hizo class kwa sasa, watu wanaelewa nini kinasemwa kuliko nyie mnaowadharau hao mnaoita low class. Kauli kama hizi ndio mnamdanganya kuwa watu wanakaa juani ili wasikie? Mnampoteza PhD holder wenu.Lisu kampeni anaongea kama anaongea na Elites ,middle class na high class people ambao mahitaji yao makubwa wanayohitaji ni freedom of expression, new constitution na medical insurance!
Lissu kajiweka kwenye high class speaking to high class audience!..
Na kumalizia kura ChademaMwaka huu burudani ukitoka kula ubwabwa kwa Mzee Rungwe unakwenda fiesta CCM.
hatueleweki kama tunataka fiesta au sera??Hamueleweki!
Mliosoma sheria mnazikumbuka nondo za mwaka wa kwanza? Mna uhakika ndiyo zinazochomekwa sometimes? Mh. Lissu awe anaangalia mazingira ya watu anaaoongea nao. Jana tu nimesmikia akitaja neno liquidity. Msukuma wa Shinyanga mkulima wa Pamba anaweza kuwa anajua maana ya neno hilo kweli?Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za Chadema na hasikii raha na Janeiro wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting...
I bet 70% of them "ccm wasanii" are not registered.Wale wasanii ni wa Uganda? Watampigia kura Museveni?
Kuna upumbavu muwe mnajaribu kuuficha
Nilikuwa najiuliza nani tena huyu?ah kumbe ni wewe!Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za Chadema na hasikii raha na Janeiro wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting...
Jpm ni mcheza singeli mashuhuri kwa sasa.So far naona JPM ni kituko.
Hakuna cha kuwaambia wananchi zaidi ya kuwabeba wasanii na kwenda nao ili kuvutia umati.
Unataka kumaanisha maswala ya sheria ni kwa ajili ya middle class?ikiwa ndicho unachomaanisha basi una safari ndefu sana ya kifikra.Lisu kampeni anaongea kama anaongea na Elites ,middle class na high class people ambao mahitaji yao makubwa wanayohitaji ni freedom of expression, new constitution na medical insurance!...
Hatuko kwenye matamasha ya fiesta hapa au sera zenu zimebebwa na wasanii!Wale wasanii ni wa Uganda? Watampigia kura Museveni?
Kuna upumbavu muwe mnajaribu kuuficha
Usijifunge kifikra katika kufikiri maswala mapana;That’s advocacy my friend!Ndugu zangu,
Anachokifanya Tundu Lissu kwenye jukwaa la kampeni ni "kangaroo court"; anatuhumu,anajaribu kutoa vifungu vya sheria hata kama si sawa kisha anatoa hukumu akifikiri wananchi wanamuelewa...
Halafu ana tone ya kukata tamaaSo far naona JPM ni kituko.
Hakuna cha kuwaambia wananchi zaidi ya kuwabeba wasanii na kwenda nao ili kuvutia umati.
advocacy uifanye kwenye political campain ambako hata swali huulizwi? very poor approach .Lisu ni mwanaharakati ndio maana anashindwa kumudu kunadi sera anarudi kwenye advocacy kila dakika!Usijifunge kifikra katika kufikiri maswala mapana;That’s advocacy my friend!
[emoji115][emoji23][emoji23][emoji23]ZAENI MATITI MNAYO-JPM