Uchaguzi 2020 Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa Darasa la Sheria akitumia daftari zake za Mwaka wa Kwanza Chuo Kikuu

Uchaguzi 2020 Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa Darasa la Sheria akitumia daftari zake za Mwaka wa Kwanza Chuo Kikuu

Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.

Anapata shida mno kueleza sera za Chadema na hasikii raha na Janeiro wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting...
We mgombea wako anaeleza sera gani?? Anajimwambafy tu, kwanza haaminiki, anajisifu kutumbua lakini tumejionae wenyewe akitumbua watu huwa anawqrudisha badae, mf mwigulu...

Muongo anasema sera zake 2015 zimetekelezwa 100%, ishu nyingi tu hewa, alisema katiba mpya hamna kitu, milion 50 kila kijiji....nk

Yuko radhi kuua uchumi wa mtu mmoja mmoja kununua mandege na kujenga fly over, angalia ethiopia wana ndege zaidi ya 60 lakin kila siku wanazamia nchi za jirani, w mafly over ya kutosha lakini hamna amani ya mtu mmoja mmoja

Kaja kuminya uhuru wa vyombo vya habari na wananchi kupata habari, uhuru wa siasa, alivyoingia akaua bunge live, akazuia siasa eti muda wa siasa umepita, anashindwa kutofautisha kati ya siasa na kampeni, siasa haina ukomo wa muda

Ajira, inajulikana kabisa ajira zimekuwa ngumu, na ongezeko la mshahara kisheria hakuna

Alitesti mitambo kutunga sheria itakayombana mfanyakazi akiacha kazi asipate nssf zake mpaka afike miaka 60, na asilipwe zote bali alipwe 30‰ nyingine alipwe kidogo kidogo mpaka siku ya kufa, kweli unipangievpesa zangu nlozochangia kwa jasho???
Kahairisha sheria ile mpaka mwaka 2023 lakini trust me, mkimpitisha mwakani tu anairudisha

Biashara....,hamna kitu majanga tu

Wakulima, mazao yameshuka bei, kuliko miaka ya mitano kabla hajaingia, kaaribu sanaaa, si mchele, si ufuta, si pamba, si korosho majanga tu.....tunaokaa vijijini tunajua inayltuuma sana

Kabla bunge kuisha ndugai alisema atake asitake lazma aongezeweee miakaa ya kutawala, wamejiwekea kinga ya kutoshtakiwa.....na magufuli akati anatoka kuchukua fomu alisema ndugai lazma arudi kuwa spika...haya mtaelewa nchi ya wasomi wanafiiki.

Hofu hofu hofu, inazaa unafiki Pascal Mayalla YEHODAYA
Huyu mtu hafai kabisa leo anaongea hv, kesho anasahau anajipinga, hana nia njema zaidi ya chuki, roho mbaya
Mshana Jr

Wanafiki, wakiongozwa na wanachama wa CCM mnaitumbukiza nchi gizani



Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu,

Anachokifanya Tundu Lissu kwenye jukwaa la kampeni ni "kangaroo court"; anatuhumu,anajaribu kutoa vifungu vya sheria hata kama si sawa kisha anatoa hukumu akifikiri wananchi wanamuelewa..
Kuna kipofu mmoja aliwahi tembelewa na malaika ghafla macho yake yakafunguka mbele kulikuwa na tembo Ndie alimuona alipofunguka macho malaika alipoondoka akawa kipofu tena

Sasa ikawa mtu akisema ile nyumba Nzuri kipofu anasema Nzuri kama tembo?

Watu wakisema huyu mbwa mkali kipofu anauliza mkali kama tembo?

Mtu akicheka sana watu wakasema huyu mtu anacheka sana yale kipofu anauliza anacheka kama tembo? Tembo kwake ndicho kitu Pekee alichokijua yule kipofu

Hiyo Ndie Lisu anachojua Pekee duniani ni sheria kila kitu sheria sheria sheria

Kipofu Lisu kaona tembo sheria
 
Ni uchaguzi au ni fiesta?

Tuanzie hapo kwanza.
Mzee kule Singida baada ya mgombea wake kukataliwa hadharani akaona isiwe shida akaanza kugonga Singeli. Sasa karudi tena na style ya PUSHUPS maana hana mvuto tena jukwaani na kesha kata pumzi wiki ya kwanza tuu ya kampeni.
 
TATIZO N KUTOKUJUA SERA NI NIN, KAULI MBIU YAO N HAKI, AMANI NA MAENDELEO. SASA BILA SHERIA IMARA UTAPATAJE HIVYO VITU? UNAJUA KABISA AWAMU HII YA 5 SHERIA, NA BUNGE VIMEZIKWA RASMI LASMA VIFUFULIWE.
Kila haki ina mipaka, sasa twambieni hizo haki tutakazo nufaika Nazo ni zipi? Kwa sababu mpaka sasa hamjatwambia ni haki gani imepokonywa kwa wananchi.

Au haki mnazotaka ni za kusema uongo na kutukana watu?
 
Lisu kampeni anaongea kama anaongea na Elites ,middle class na high class people ambao mahitaji yao makubwa wanayohitaji ni freedom of expression, new constitution na medical insurance!

Lissu kajiweka kwenye high class speaking to high class audience!..
Unateseka bure kumpigania MTU wako aliyechoka. Hakuna hizo class kwa sasa, watu wanaelewa nini kinasemwa kuliko nyie mnaowadharau hao mnaoita low class. Kauli kama hizi ndio mnamdanganya kuwa watu wanakaa juani ili wasikie? Mnampoteza PhD holder wenu.

Screenshot_20200902-110035.jpg
 
Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.

Anapata shida mno kueleza sera za Chadema na hasikii raha na Janeiro wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting...
Mliosoma sheria mnazikumbuka nondo za mwaka wa kwanza? Mna uhakika ndiyo zinazochomekwa sometimes? Mh. Lissu awe anaangalia mazingira ya watu anaaoongea nao. Jana tu nimesmikia akitaja neno liquidity. Msukuma wa Shinyanga mkulima wa Pamba anaweza kuwa anajua maana ya neno hilo kweli?
 
Wewe kwa Lissu ni sawa na mtoto wa kambo hata akufanyie mazuri kiasi gani utamuona ni takataka tu.
 
Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.

Anapata shida mno kueleza sera za Chadema na hasikii raha na Janeiro wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting...
Nilikuwa najiuliza nani tena huyu?ah kumbe ni wewe!
 
Lisu kampeni anaongea kama anaongea na Elites ,middle class na high class people ambao mahitaji yao makubwa wanayohitaji ni freedom of expression, new constitution na medical insurance!...
Unataka kumaanisha maswala ya sheria ni kwa ajili ya middle class?ikiwa ndicho unachomaanisha basi una safari ndefu sana ya kifikra.
 
Mimi nadhani anachofanya Lisu ni sahihi, Kama ni miundo mbinu tayari inajengwa, kama ni Afya mahospitali yanajengwa, kama ni umeme tayari unasambazwa; hivyo hapaswi kuongelea hayo vinginevyo ataingia kwenye mtego wa wapinzani wake. Ndiyo maana akiongelea miundombinu anaiongela kama kitu cha kawaida ambacho kila rais anaweza kufanya kwani hata wakoloni walifanya.

Anaenda mbali zaidi kuwa baadhi ya miundombinu na miradi kadhaa mikataba yake haikupitishwa kwenye bunge kinyume na sheria - hivyo watu wanahitaji kujua sheria ili wajue kukiukwa kwake kunawaathiri vipi nk.

Pia nchi hii imepungukiwa na uzalendo; kwa kuwafundisha wasikilizaji sheria inawasaidia kujua kuwa sheria ni nzuri ila viongozi ndio hawazifuati na kuwa yeye atazifuata - hii inaamasha uzalendo kwa wananchi kuamka kudai matumizi ya sheria nk.

Kuhusu watu kushangilia sana mkutanoni, mimi huwa sioni kama kuna tija, Mtu anaweza kushanghilia vijembe tu na mwisho akatoka bila kujua cha maana kilichosemwa. Mimi nafurahi ninapoona mgombea yeyote anaongea na umati unamsikiliza kwa makini - kuna kitu wanajifunza; ndiyo maana pia unaona hawaondoki mkutanoni.

Somo analofundisha Lisu leo unaweza usione impact yake kesho lakini baada ya miaka kama 2 au 3 utaiona. Pia tujue kuwa watanzania wengi sasa ni vijana ambao wameenda shule, zile kampeni za kushangilia tu wanajua haziwasaidii - wanataka hoja za kisomi. Tunakoelekea sisi wazee wa zidumu fikra tunazidi kuisha.
 
Ndugu zangu,

Anachokifanya Tundu Lissu kwenye jukwaa la kampeni ni "kangaroo court"; anatuhumu,anajaribu kutoa vifungu vya sheria hata kama si sawa kisha anatoa hukumu akifikiri wananchi wanamuelewa...
Usijifunge kifikra katika kufikiri maswala mapana;That’s advocacy my friend!
 
Usijifunge kifikra katika kufikiri maswala mapana;That’s advocacy my friend!
advocacy uifanye kwenye political campain ambako hata swali huulizwi? very poor approach .Lisu ni mwanaharakati ndio maana anashindwa kumudu kunadi sera anarudi kwenye advocacy kila dakika!
 
Back
Top Bottom