Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

Huwezi shindana na CCM Kwa nguvu. Njia ni mbili tu kuishitaki CCM Kwa Mungu na Kwa raia. Maombi na mziki zomeazomea ukisikia hatamu Kila kitu utaona kinakaa kwenye nafasi yake
 
Huwezi shindana na CCM Kwa nguvu. Njia ni mbili tu kuishitaki CCM Kwa Mungu na Kwa raia. Maombi na mziki zomeazomea ukisikia hatamu Kila kitu utaona kinakaa kwenye nafasi yake
Watanzania wana imani kubwa sana na CCM na serikali yake.
 
Ccm imara wakati tunaona kutwa unaruka na Lissu tu, mwaka huu kazi mnayo
Binadamu akipata changamoto huamsha ubongo na anapokuwa katika tukio hilo huibuka na ubunifu, na ukitaka kujua kwamba binadamu ana akili sana akipata changamoto huzitatua japo baadhi ni wavivu wa kufikiri
Binadamu akithubu hakuna kinacho shindikana
 
Kama unadhani Lissu ni mtu wa kuendekeza njaa utasubiri sana. Tulieni na jiandaeni tu kulala na viatu.

Unadhani mzee meko alivyoamua kutumia bunduki hadi akafa yeye alikuwa mjinga?
Kuna jipya gani huyo kibaraka kabakiza kulisema?

By the way alipigwa pin kule Ngorongoro alifanya nini? Hata Sasa akizingua atakula pin kama Kawa na hana Cha kufanya,utakuja kujiuliza humu jf.
 
..serikali kufanya marekebisho ya Katiba, na kuunda Tume Huru ya uchaguzi, hakuhitaji CCM na Chadema kukaa mezani.
 
Kuna jipya gani huyo kibaraka kabakiza kulisema?

By the way alipigwa pin kule Ngorongoro alifanya nini? Hata Sasa akizingua atakula pin kama Kawa na hana Cha kufanya,utakuja kujiuliza humu jf.
Sasa ni mwenyekiti wa Chama , mguse unuke
 
Kijana wa hovyo, mkiona vyama pinzani ni kero kwenu mboga mboga vifuteni mbaki nyie mtawale milele ,Tena na katiba mnaweza futa kabisa isiwepo matamko yenu yawe sheria
 
Kuna jipya gani huyo kibaraka kabakiza kulisema?

By the way alipigwa pin kule Ngorongoro alifanya nini? Hata Sasa akizingua atakula pin kama Kawa na hana Cha kufanya,utakuja kujiuliza humu jf.
Sina maneno mengi. Ujumbe wangu kwako, jiandae kulala na viatu. Lissu hanaga shughuli ndogo kama unabisha nenda kabulini chato kamuulize mzee meko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…