K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 12,096 Reaction score 15,393 Dec 16, 2024 #221 JokaKuu said: ..ukisikiliza majibu ya Lissu kutokana na maswali ya waandishi wa habari ametoa kauli za kumheshimu Mbowe. ..lakini unapogombea uongozi ktk hatua ya awali ni lazima kama mgombea ujitofautishe na mtangulizi / aliyeko ktk nafasi. Click to expand... Vinginevyo hakuna sababu ya kugombea; labda kujitafutia sifa tu binafsi.
JokaKuu said: ..ukisikiliza majibu ya Lissu kutokana na maswali ya waandishi wa habari ametoa kauli za kumheshimu Mbowe. ..lakini unapogombea uongozi ktk hatua ya awali ni lazima kama mgombea ujitofautishe na mtangulizi / aliyeko ktk nafasi. Click to expand... Vinginevyo hakuna sababu ya kugombea; labda kujitafutia sifa tu binafsi.
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 15,101 Reaction score 56,054 Dec 22, 2024 #222 Jana Watanzania wamepata jibu kuwa Mbowe ni nani!. Ni mfanyabiashara wa siasa