Lissu chama kinamshinda mapema sana. Chadema haieleweki inafanya nini

Mbowe hajambo Shemeji?

Mpikie supu Mzee. Mpiganie, tulimwambia apumzike akapuuza wito wako na wetu. Kosa ni lake si Lissu aliyemshinda
Mbowe asingeweza kufanya press conference wakati huo huo makamu wake nae anafanya press conference. Chama kikiongozwa na viraza ndio unaweza kuyaona hayo.
 
Siku hizi kila mtu ni mchambuzi! Ukienda kwenye michezo, kila mtu ni mchambuzi! Ukija kwenye siasa nako, hadi akina Baba Levo na Zembwela nao eti ni wachambuzi mashuhuri!
 
Kama umeshaonesha wazi kuongozwa na chuki dhidi ya CHADEMA na Lissu kwa pamoja usije kutegemea ukaona chochote kizuri kutoka kwao.Wewe endelea kuhudhuria mikutano na sherehe za kucheza na fisi kwa CCM. Take it or hate it!
Kwenye social media Lissu sio habari tena hana jipya sio mbunifu.
 
huenda kuomba omba kuchangiwa pesa kwaajili ya kula nyama na bapa ndio kipaumbele chake
 
Siku hizi kila mtu ni mchambuzi! Ukienda kwenye michezo, kila mtu ni mchambuzi! Ukija kwenye siasa nako, hadi akina Baba Levo na Zembwela nao eti ni wachambuzi mashuhuri!
Lissu wewe unaelewa anachokitaka? No reform no election lakini tutashiriki uchaguzi
 
Uropokaji kukataa kukosolewa kwa CCM na machawa wote ie. Diamond platinum na chawa wake hapa JF Kina sinza pabaya.

"""Ukikosea na ukakataa kukosolewa ni sawa sawa na kumpitisha panya njia za paka""

Pole Sana chawa wa diamond platinum muda huu jitahidi kunywa maji kwa wingi Sanaa.
 
Wewe na Babu yako mzee wa kupiga mbonji hamuwezi kuwaelewa CDM.
 
Ukiongea pumba kama hivi jamii inaendelea kudharau walimu mashuleni kuwa wote ni mburula.
 
Roho mbaya INAUA.
Acha roho mbaya.
 

Kuelewa mtu anafanya nini ni lazima uwe na akili timamu na uelewa.

Mtu ambaye hata uwezo tu wa kuelewa kuwa hakuna kitu kinachoitwa "kalama", huna, utapata wapi uwezo wa kufanya assessment ya utendaji kazi wa kiongozi!!

Wewe kama una uwezo wa kuamka na kuvaa suruali na kwenda chooni bila kulazimishwa, hiyo inakutosha. Usijiingize kwenye mambo yanayohitaji akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…