Lissu chama kinamshinda mapema sana. Chadema haieleweki inafanya nini

Kuelewa mtu anafanya nini ni lazima uwe na akili timamu na uelewa.

Mtu ambaye hata uwezo tu wa kuelewa kuwa hakuna kitu kinachoitwa "kalama", huna, utapata wapi uwezo wa kufanya assessment ya utendaji kazi wa kiongozi!!

Wewe kama una uwezo wa kuamka na kuvaa suruali na kwenda chooni bila kulazimishwa, hiyo inakutosha. Usijiingize kwenye mambo yanayohitaji akili.
Huyo msamehe tu.Ana forum yake ni mahiri wa kuwachambua na kuwachamba kama si kuwachambazua celebrities.
 
View attachment 3235309

Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee.

Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema.
Alipata alichokitaka.
Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama.

Naomba niongelee press yake ya jana ambayo matarajio yalikuwa makubwa sana kwa wafuasi wake lakini amewaangusha mno hawakupata walichotegemea.
Jana ilikuwa iwe siku ya kimkakati ya kuonesha uelekeo wa uongozi wa Lissu katika miaka yake mitano, alitakiwa aoneshe energy, aoneshe dira na mikakati inayoeleweka kwa wafuasi wake.

Matokeo yake.
Mwenyekiti anafanya exclusive press conference na makamu mwenyekiti nae anafanya exclusive yake mkoani. Watu hawajui wamsikilize nani. Press ikakosa mvuto hakuna anaeangaika kuijadili.
Ujumbe waliokuwa wanauleta kwa watanzania haieleweki wanachotaka ni nini.

No reform no election ni kama fumbo la imani. Uku wanasema hakutakuwa na uchaguzi kama hakuna reform hapo hapo wanasema hawajasusia uchaguzi. Wao wenyewe hawajui nini haswa wanataka kukifanya. Na wafuasi wao kila mtu ana tafsiri yake ya no reform no election. Sijawai kuona duniani slogan ya kisiasa inabidi ukae chini ueleweshwe ndio uielewe.

Kitengo cha communication kina mengi ya kujifunza bado, Lissu alitakiwa akutane na wanahabari awape nguvu ya kuchukua matangazo wenyewe ili wayaweke kwenye media zao lakini mfumo uliotumika ni kama wanatoa habari za msiba wa kitaifa.

Mapema tu mmeanza habari za kutembeza bakuli, labda kama amuwajui watanzania kwenye michango 😂😂

Ni wazi Chadema is too big for Lissu and Heche. Wakae chini na watu wenye hekma za uongozi na uzoefu wafundishwe kuongoza. Watanzania wanawatazama if mnaweza kuongoza au ni wapiga kelele wazuri. Na wameanza kuwapuuza sababu hawaelewi nini mnachofanya.
"Kalama" ni nini!!?
Nimeishia kusoma hapo kwenye hilo neno.
 
Wangapi watamfikia Lissu na kuulizia? Kama haieleweki maana yake amefeli big time.
Haileweki kwako, au kwa kila mtu? Mbona wengine tumeelewa kirahisi tu ya kwamba mwaka huu hakuna uchaguzi wa maigizo!!
Wenzako tunasubiri tu kuona mikakati atakayoitumia kuwadhibiti nyinyi majizi ya kura.
 
Yani Tundu Lissu akiongeaa kila panya aliyeko kwenye mapango anajitokeza,maana yeye anapiga kichwani kabisaa.
Sasa mwaka huu mtameza sana dawa za maumivu.
Mungu mbariki Tundu Lissu na vizazi vyake saba..
 
Hata mleta haka kauzi amemfuatilia hadi anaumwa sonona.
 
Hujielewi. Wewe ndiyo umepoteza akili mapema sana. Utakapofikia umri wa Wasira, utakuwa unavalishwa pampasi.
Hizi hasira unazipeleka sehemu isiyo husika. Msaidien mwenyekiti wenu chama kinamshinda mapema sana.
 
Jamani tuongeleeni kidogo ACT Wazalendo na CUF ili na wao wapate kidogo upepo wa kuonekena kama wapo...au CCM wameshawatumia sasa hawana jipya tena?
Wakati wakampeni ya uchaguzi wa ndani CHADEMA waliteka vyombo vyote vya habari na baada ya uchaguzi nako wanaendelea kuteka vyombo.
Mnaua vyama vingine kwa kuliongelea tu CHADEMA.
 
Ukiongea pumba kama hivi jamii inaendelea kudharau walimu mashuleni kuwa wote ni mburula.
Punguza kuvutia BANGE chooni..haya ndio madhara YAKE.

Ona Sasa unaanza kutembea na chemli mchanaa

Lissu anawawasha mmegeuka kua Kama CHOPEKO NA MNOFU.
Screenshot_20250213-143610.png
 
View attachment 3235309

Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee.

Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema.
Alipata alichokitaka.
Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama.

Naomba niongelee press yake ya jana ambayo matarajio yalikuwa makubwa sana kwa wafuasi wake lakini amewaangusha mno hawakupata walichotegemea.
Jana ilikuwa iwe siku ya kimkakati ya kuonesha uelekeo wa uongozi wa Lissu katika miaka yake mitano, alitakiwa aoneshe energy, aoneshe dira na mikakati inayoeleweka kwa wafuasi wake.

Matokeo yake.
Mwenyekiti anafanya exclusive press conference na makamu mwenyekiti nae anafanya exclusive yake mkoani. Watu hawajui wamsikilize nani. Press ikakosa mvuto hakuna anaeangaika kuijadili.
Ujumbe waliokuwa wanauleta kwa watanzania haieleweki wanachotaka ni nini.

No reform no election ni kama fumbo la imani. Uku wanasema hakutakuwa na uchaguzi kama hakuna reform hapo hapo wanasema hawajasusia uchaguzi. Wao wenyewe hawajui nini haswa wanataka kukifanya. Na wafuasi wao kila mtu ana tafsiri yake ya no reform no election. Sijawai kuona duniani slogan ya kisiasa inabidi ukae chini ueleweshwe ndio uielewe.

Kitengo cha communication kina mengi ya kujifunza bado, Lissu alitakiwa akutane na wanahabari awape nguvu ya kuchukua matangazo wenyewe ili wayaweke kwenye media zao lakini mfumo uliotumika ni kama wanatoa habari za msiba wa kitaifa.

Mapema tu mmeanza habari za kutembeza bakuli, labda kama amuwajui watanzania kwenye michango 😂😂

Ni wazi Chadema is too big for Lissu and Heche. Wakae chini na watu wenye hekma za uongozi na uzoefu wafundishwe kuongoza. Watanzania wanawatazama if mnaweza kuongoza au ni wapiga kelele wazuri. Na wameanza kuwapuuza sababu hawaelewi nini mnachofanya.
Lissu anachojua ni uanasheria tena uwakili tu. Kinachofanya awe mwanasiasa wa ovyo ni kutumia uanasheria tena uwakili kwenye siasa. Anatumia ule uanasheria wa kucheza na sheria na kumpa haki mwizi na mhalifu. Nyerere alitahadharisha kwamba sheria na haki sio kitu hikohiko. Watu kama lissu ndio utasikia wakisema wanataka utawala wa sheria huku wakijua kuna soko la haki. Wanasheria vigogo serikalini na wenye fedha wanauza na kununua haki.
Siasa ni uchumi ni ile kwa kingereza wanaita 'concetrated economics' lissu hajui kabisa uchumi. Kama kuna mtu anabisha anionyeshe wapi lissu anaongelea uchumi kwa mukhthada wa maslahi ya umma. Sijawahi kusikia akieleza anataka nchi iwe na uchumi wa aina gani. Yeye ni katiba, haki za binadamu, na kufungua kesi. Uongozi wa kisiasa ni uchumi wa watu. Sana nilimsikiaga akisema yeye ni muomini wa demokrasia ya kiliberali. Sawa kabisa. Hiyo ndio demokrasia ya ulaghai na kudanganya ile demokrasia ya nchi za kibeberu lengo likiwa ni kuweka uchumi mikononi kwa wachache.
 
View attachment 3235309

Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee.

Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema.
Alipata alichokitaka.
Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama.

Naomba niongelee press yake ya jana ambayo matarajio yalikuwa makubwa sana kwa wafuasi wake lakini amewaangusha mno hawakupata walichotegemea.
Jana ilikuwa iwe siku ya kimkakati ya kuonesha uelekeo wa uongozi wa Lissu katika miaka yake mitano, alitakiwa aoneshe energy, aoneshe dira na mikakati inayoeleweka kwa wafuasi wake.

Matokeo yake.
Mwenyekiti anafanya exclusive press conference na makamu mwenyekiti nae anafanya exclusive yake mkoani. Watu hawajui wamsikilize nani. Press ikakosa mvuto hakuna anaeangaika kuijadili.
Ujumbe waliokuwa wanauleta kwa watanzania haieleweki wanachotaka ni nini.

No reform no election ni kama fumbo la imani. Uku wanasema hakutakuwa na uchaguzi kama hakuna reform hapo hapo wanasema hawajasusia uchaguzi. Wao wenyewe hawajui nini haswa wanataka kukifanya. Na wafuasi wao kila mtu ana tafsiri yake ya no reform no election. Sijawai kuona duniani slogan ya kisiasa inabidi ukae chini ueleweshwe ndio uielewe.

Kitengo cha communication kina mengi ya kujifunza bado, Lissu alitakiwa akutane na wanahabari awape nguvu ya kuchukua matangazo wenyewe ili wayaweke kwenye media zao lakini mfumo uliotumika ni kama wanatoa habari za msiba wa kitaifa.

Mapema tu mmeanza habari za kutembeza bakuli, labda kama amuwajui watanzania kwenye michango 😂😂

Ni wazi Chadema is too big for Lissu and Heche. Wakae chini na watu wenye hekma za uongozi na uzoefu wafundishwe kuongoza. Watanzania wanawatazama if mnaweza kuongoza au ni wapiga kelele wazuri. Na wameanza kuwapuuza sababu hawaelewi nini mnachofanya.
Mkuu, ukijilinganisha na Lisu unafikiri una ‘kalama’ ya uongozi kumzidi?
 
Dua la kuku.
 
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani
Chadema iweke wazi kabisa kuwa watashiriki uchaguzi kama patakuwa na marekebisho ya tume ya uchaguzi .
Kama hakuna marekebisho ya uchaguzi basi siku ya uchaguzi itakua ni siku ya maandamano nchi nzima . Ni bora wapigwe mabomu kupinga ujinga na uharibufu wa fedha kwenye uchaguzi wa kiini macho kuliko kuacha ufisadi ufanyike na CCM wazidi kuumiza na kuua wapinzani.

Hapo ningewaelewa . Lakini mpaka sasa hawana tafsiri ya pamoja .

Kwa kweli hata Jeshi ,polisi na migambo na wananchi wote watawaelewa kwa uhakika.

Kwa mfano tumeona kwenye mitandao Askari wanaostaafu hawapewi hata nauli achilia mbali kulipwa mishahara midogo na viinua mgongo vinavyolingana na mshahara wa Mwezi mmoja wa Mbunge.
Lakini pia tumesikia maaskari wengi wanahamisha au kupangiwa kazi ambazo kama binadamu na watu muhimu kwa usalama wa nchi hawalipwi na hakuna wa kuwapigania yamkini hata CCM waliojaa bungeni ndio wamekua mwiba mkali wa kudhulumu maslahi ya vyombo vya dola .

Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa uchaguzi unaosimamiwa na CCM ni kupoteza pesa za umma wakati wanajeshi na maaskari wengine wana maslahi duni bila kujali familia zao . Polisi au wanajeshi wanaweza kuuawa wakipambana na magaidi au majambazi lakini hasikii kwamba familia imelipwa hata mil.10. wakati huo huo CCM inatumia bil mia tano kugharamikia uchaguzi ambao kura hazitahesabiwa .

Sasa ni Bora Serikali ya Samia isifanye uchaguzi waendelee kukaa madarakani mpaka watakapoona kuwa wana haja ya kuomba kura kwa wananchi na kuziheshimu kura za wananchi na viongozi watakao chaguliwa watangazwe kwa haki.

Ni Ushetani na ufreemasoni na ujambazi na ufisadi na uovu na uhalifu mkubwa kutumia zaidi ya bil. 500 halafu serikali iibe kura ili ikae madarakani .

Sasa kuepusha matumizi mabaya ya fedha za umma basi kama lengo ni kukaa madarakani basi waendelee kukaa na hizo pesa wazipeleke kwenye Mishahara ya wanajeshi ,polisi na magereza na pia kuwalipa stahiki zao kama binadamu na watumishi wengine ikiwemo wabunge . Kama tunawalipa wenza wa viongozi ni vipi tunashindwa kulipa hata pesa za kiwi kwa maaskari wetu wanaoipigania CCM kubaki madarakani .

Hapa ndipo unapokuja kujua kuwa Kiti cha enzi cha Shetani kipo ndani ya Serikali ya chama cha mambuzi . Yaani wanataka kubaki madarakani kwa gharama kubwa huku wagonjwa wa figo wakiwa hawana msaada zaidi ya kuuza mali zao ili wajitibu kwenye hospitali za umma .Sasa wakiambiwa basi bakini madarakani bila kupotezea watu muda na fedha za umma pia hawataki .

Uchaguzi hawataki wanaua na kupiga watu wakiambiwa basi endeleeni kukaa madarakani bila kupoteza pesa za umma maana sio za CCM bado wanatishia tutawapiga na kuwaua mpaka uchaguzi ufanyike kwa lazima .

Yaani kuzuia uchaguzi kabisa nadhani itakua na manufaa kwa taifa kuliko huu ujinga wa CCM kutumia majeshi kufanya mapinduzi kila baada ya miaka mitano halafu wanatawala raia bora kutawala Jeshi kuliko wakina Wasira waliohukumiwa kwa RUSHWA na mahakama. Na kuendelea kuwapa mawakala wa kuuza nchi kwa rushwa bila kura halali .

Kama kura haziamui basi hatuna haja ya kupoteza pesa . Mama anatoa rushwa kila mahali kwa mabilioni ya pesa halafu tena watumie mabilion ya pesa kufanya uchaguzi kisha waibe kura ili washinde . Huu ni uhujumu uchumi na kukosa huruma na maisha ya watanzania .
 
View attachment 3235309

Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee.

Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema.
Alipata alichokitaka.
Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama.

Naomba niongelee press yake ya jana ambayo matarajio yalikuwa makubwa sana kwa wafuasi wake lakini amewaangusha mno hawakupata walichotegemea.
Jana ilikuwa iwe siku ya kimkakati ya kuonesha uelekeo wa uongozi wa Lissu katika miaka yake mitano, alitakiwa aoneshe energy, aoneshe dira na mikakati inayoeleweka kwa wafuasi wake.

Matokeo yake.
Mwenyekiti anafanya exclusive press conference na makamu mwenyekiti nae anafanya exclusive yake mkoani. Watu hawajui wamsikilize nani. Press ikakosa mvuto hakuna anaeangaika kuijadili.
Ujumbe waliokuwa wanauleta kwa watanzania haieleweki wanachotaka ni nini.

No reform no election ni kama fumbo la imani. Uku wanasema hakutakuwa na uchaguzi kama hakuna reform hapo hapo wanasema hawajasusia uchaguzi. Wao wenyewe hawajui nini haswa wanataka kukifanya. Na wafuasi wao kila mtu ana tafsiri yake ya no reform no election. Sijawai kuona duniani slogan ya kisiasa inabidi ukae chini ueleweshwe ndio uielewe.

Kitengo cha communication kina mengi ya kujifunza bado, Lissu alitakiwa akutane na wanahabari awape nguvu ya kuchukua matangazo wenyewe ili wayaweke kwenye media zao lakini mfumo uliotumika ni kama wanatoa habari za msiba wa kitaifa.

Mapema tu mmeanza habari za kutembeza bakuli, labda kama amuwajui watanzania kwenye michango 😂😂

Ni wazi Chadema is too big for Lissu and Heche. Wakae chini na watu wenye hekma za uongozi na uzoefu wafundishwe kuongoza. Watanzania wanawatazama if mnaweza kuongoza au ni wapiga kelele wazuri. Na wameanza kuwapuuza sababu hawaelewi nini mnachofanya.
Uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni wa chini sana kama umekuja na hitimisho kuwa Lissu ameshindwa kukiongoza Chama. Hotuba yake kama ungeisikiliza na ukawa na akili ya kuelewa mambo usingeandika ulichoandika, elimu aliyotoa kila mwenye akili timamu ameelewa kwa nini ni kupoteza muda kuingia kwenye uchaguzi bila marekebisho ya sheria na kanuni za uchaguzi. Na kucheka hatua ya kuomba michango kwa wanachama ni upuuzi wako tu kumbe ulitaka awaombe kina nani kuchangia kazi za Chama? Na kwa taarifa yako hayo ni maandalizi ya kuishi bila kutegemea tena ruzuku toka serikalini. Chadema ina wanachama wengi tu kama wakihamasishwa kuchangia chama hakuna haja hata ya kupokea ruzuku toka serikalini.
 
View attachment 3235309

Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee.

Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema.
Alipata alichokitaka.
Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama.

Naomba niongelee press yake ya jana ambayo matarajio yalikuwa makubwa sana kwa wafuasi wake lakini amewaangusha mno hawakupata walichotegemea.
Jana ilikuwa iwe siku ya kimkakati ya kuonesha uelekeo wa uongozi wa Lissu katika miaka yake mitano, alitakiwa aoneshe energy, aoneshe dira na mikakati inayoeleweka kwa wafuasi wake.

Matokeo yake.
Mwenyekiti anafanya exclusive press conference na makamu mwenyekiti nae anafanya exclusive yake mkoani. Watu hawajui wamsikilize nani. Press ikakosa mvuto hakuna anaeangaika kuijadili.
Ujumbe waliokuwa wanauleta kwa watanzania haieleweki wanachotaka ni nini.

No reform no election ni kama fumbo la imani. Uku wanasema hakutakuwa na uchaguzi kama hakuna reform hapo hapo wanasema hawajasusia uchaguzi. Wao wenyewe hawajui nini haswa wanataka kukifanya. Na wafuasi wao kila mtu ana tafsiri yake ya no reform no election. Sijawai kuona duniani slogan ya kisiasa inabidi ukae chini ueleweshwe ndio uielewe.

Kitengo cha communication kina mengi ya kujifunza bado, Lissu alitakiwa akutane na wanahabari awape nguvu ya kuchukua matangazo wenyewe ili wayaweke kwenye media zao lakini mfumo uliotumika ni kama wanatoa habari za msiba wa kitaifa.

Mapema tu mmeanza habari za kutembeza bakuli, labda kama amuwajui watanzania kwenye michango 😂😂

Ni wazi Chadema is too big for Lissu and Heche. Wakae chini na watu wenye hekma za uongozi na uzoefu wafundishwe kuongoza. Watanzania wanawatazama if mnaweza kuongoza au ni wapiga kelele wazuri. Na wameanza kuwapuuza sababu hawaelewi nini mnachofanya.
Kwenye "first impression" ameshindwa vibaya sana!
 
Tundu Lissu amefeli kuendesha chama, ataweza kuongoza serikali?
Kama CCM walivyofeli kuwaletea wananchi maendeleo hadi leo wanavyoomba msaada kutoka Japan wa kutengenezewa matundu ya vyoo mashuleni. Hii ni futuhi!
 
Back
Top Bottom