Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 446
- 971
Mkuu inashangazaa sanaa,yani Tundu hoja Za Tundu Lissu akili kubwa zinachambuliwa na kina Oscar Oscar,
Hao level zao ni kina Bashite.
Hao level zao ni kina Bashite.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu unaandika pumba sana.Punguza kuvutia BANGE chooni..haya ndio madhara YAKE.
Ona Sasa unaanza kutembea na chemli mchanaa
Lissu anawawasha mmegeuka kua Kama CHOPEKO NA MNOFU.View attachment 3235390
Lissu hata TLS ilimshinda kuongoza, alikuwa na mbwembwe wakati wa kampeni alipopata nafasi hakuna TLS inaweza jivunia kutokana na uongozi wake.Lissu anachojua ni uanasheria tena uwakili tu. Kinachofanya awe mwanasiasa wa ovyo ni kutumia uanasheria tena uwakili kwenye siasa. Anatumia ule uanasheria wa kucheza na sheria na kumpa haki mwizi na mhalifu. Nyerere alitahadharisha kwamba sheria na haki sio kitu hikohiko. Watu kama lissu ndio utasikia wakisema wanataka utawala wa sheria huku wakijua kuna soko la haki. Wanasheria vigogo serikalini na wenye fedha wanauza na kununua haki.
Siasa ni uchumi ni ile kwa kingereza wanaita 'concetrated economics' lissu hajui kabisa uchumi. Kama kuna mtu anabisha anionyeshe wapi lissu anaongelea uchumi kwa mukhthada wa maslahi ya umma. Sijawahi kusikia akieleza anataka nchi iwe na uchumi wa aina gani. Yeye ni katiba, haki za binadamu, na kufungua kesi. Uongozi wa kisiasa ni uchumi wa watu. Sana nilimsikiaga akisema yeye ni muomini wa demokrasia ya kiliberali. Sawa kabisa. Hiyo ndio demokrasia ya ulaghai na kudanganya ile demokrasia ya nchi za kibeberu lengo likiwa ni kuweka uchumi mikononi kwa wachache.
Lissu anatembeza bakuli hana ubunifu wa vyanzo vya mapato.Kama CCM walivyofeli kuwaletea wananchi maendeleo hadi leo wanavyoomba msaada kutoka Japan wa kutengenezewa matundu ya vyoo mashuleni. Hii ni futuhi!
Hoja iliyopo mezani ni uongozi mpya wa Chadema.Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani
Chadema iweke wazi kabisa kuwa watashiriki uchaguzi kama patakuwa na marekebisho ya tume ya uchaguzi .
Kama hakuna marekebisho ya uchaguzi basi siku ya uchaguzi itakua ni siku ya maandamano nchi nzima . Ni bora wapigwe mabomu kupinga ujinga na uharibufu wa fedha kwenye uchaguzi wa kiini macho kuliko kuacha ufisadi ufanyike na CCM wazidi kuumiza na kuua wapinzani.
Hapo ningewaelewa . Lakini mpaka sasa hawana tafsiri ya pamoja .
Kwa kweli hata Jeshi ,polisi na migambo na wananchi wote watawaelewa kwa uhakika.
Kwa mfano tumeona kwenye mitandao Askari wanaostaafu hawapewi hata nauli achilia mbali kulipwa mishahara midogo na viinua mgongo vinavyolingana na mshahara wa Mwezi mmoja wa Mbunge.
Lakini pia tumesikia maaskari wengi wanahamisha au kupangiwa kazi ambazo kama binadamu na watu muhimu kwa usalama wa nchi hawalipwi na hakuna wa kuwapigania yamkini hata CCM waliojaa bungeni ndio wamekua mwiba mkali wa kudhulumu maslahi ya vyombo vya dola .
Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa uchaguzi unaosimamiwa na CCM ni kupoteza pesa za umma wakati wanajeshi na maaskari wengine wana maslahi duni bila kujali familia zao . Polisi au wanajeshi wanaweza kuuawa wakipambana na magaidi au majambazi lakini hasikii kwamba familia imelipwa hata mil.10. wakati huo huo CCM inatumia bil mia tano kugharamikia uchaguzi ambao kura hazitahesabiwa .
Sasa ni Bora Serikali ya Samia isifanye uchaguzi waendelee kukaa madarakani mpaka watakapoona kuwa wana haja ya kuomba kura kwa wananchi na kuziheshimu kura za wananchi na viongozi watakao chaguliwa watangazwe kwa haki.
Ni Ushetani na ufreemasoni na ujambazi na ufisadi na uovu na uhalifu mkubwa kutumia zaidi ya bil. 500 halafu serikali iibe kura ili ikae madarakani .
Sasa kuepusha matumizi mabaya ya fedha za umma basi kama lengo ni kukaa madarakani basi waendelee kukaa na hizo pesa wazipeleke kwenye Mishahara ya wanajeshi ,polisi na magereza na pia kuwalipa stahiki zao kama binadamu na watumishi wengine ikiwemo wabunge . Kama tunawalipa wenza wa viongozi ni vipi tunashindwa kulipa hata pesa za kiwi kwa maaskari wetu wanaoipigania CCM kubaki madarakani .
Hapa ndipo unapokuja kujua kuwa Kiti cha enzi cha Shetani kipo ndani ya Serikali ya chama cha mambuzi . Yaani wanataka kubaki madarakani kwa gharama kubwa huku wagonjwa wa figo wakiwa hawana msaada zaidi ya kuuza mali zao ili wajitibu kwenye hospitali za umma .Sasa wakiambiwa basi bakini madarakani bila kupotezea watu muda na fedha za umma pia hawataki .
Uchaguzi hawataki wanaua na kupiga watu wakiambiwa basi endeleeni kukaa madarakani bila kupoteza pesa za umma maana sio za CCM bado wanatishia tutawapiga na kuwaua mpaka uchaguzi ufanyike kwa lazima .
Yaani kuzuia uchaguzi kabisa nadhani itakua na manufaa kwa taifa kuliko huu ujinga wa CCM kutumia majeshi kufanya mapinduzi kila baada ya miaka mitano halafu wanatawala raia bora kutawala Jeshi kuliko wakina Wasira waliohukumiwa kwa RUSHWA na mahakama. Na kuendelea kuwapa mawakala wa kuuza nchi kwa rushwa bila kura halali .
Kama kura haziamui basi hatuna haja ya kupoteza pesa . Mama anatoa rushwa kila mahali kwa mabilioni ya pesa halafu tena watumie mabilion ya pesa kufanya uchaguzi kisha waibe kura ili washinde . Huu ni uhujumu uchumi na kukosa huruma na maisha ya watanzania .
Lissu kashindwa kuongoza chama.Nina furaha kubwa mno kushuhudia anguko la CHADEMA kupitia Lissu.
Ndio nani huyo? Maria najua ndio mentor wa Lissutone hizi kama sio za abiud wa club house ya maria sarungi hii....
Kasome tena kichwa cha uzi huu halafu uje na makalio yako yakiwa sufee.Hoja iliyopo mezani ni uongozi mpya wa Chadema.
Umri huu bado una tatizo la kusoma na kuelewa?
Kwa kweli tatizo la comprehension ni kubwa sana kwenye nchi hiiKasome tena kichwa cha uzi huu halafu uje na makalio yako yakiwa sufee.
Kama kuna mahali pameandikwa uongozi mpya wa chadema ulete hoja zako .
Chadema imetengenezwa na Freeman huyu kaja kuiharibu.Kingekua kimemshinda usingemuongelea kama ambavyo hujawahi kumuongelea Lipumba