Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Huyo msamehe tu.Ana forum yake ni mahiri wa kuwachambua na kuwachamba kama si kuwachambazua celebrities.Kuelewa mtu anafanya nini ni lazima uwe na akili timamu na uelewa.
Mtu ambaye hata uwezo tu wa kuelewa kuwa hakuna kitu kinachoitwa "kalama", huna, utapata wapi uwezo wa kufanya assessment ya utendaji kazi wa kiongozi!!
Wewe kama una uwezo wa kuamka na kuvaa suruali na kwenda chooni bila kulazimishwa, hiyo inakutosha. Usijiingize kwenye mambo yanayohitaji akili.
Mapema sana amepoteza mwelekeo
Acha pakucheUtakuja kustuka pameshakucha !
"Kalama" ni nini!!?View attachment 3235309
Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee.
Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema.
Alipata alichokitaka.
Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama.
Naomba niongelee press yake ya jana ambayo matarajio yalikuwa makubwa sana kwa wafuasi wake lakini amewaangusha mno hawakupata walichotegemea.
Jana ilikuwa iwe siku ya kimkakati ya kuonesha uelekeo wa uongozi wa Lissu katika miaka yake mitano, alitakiwa aoneshe energy, aoneshe dira na mikakati inayoeleweka kwa wafuasi wake.
Matokeo yake.
Mwenyekiti anafanya exclusive press conference na makamu mwenyekiti nae anafanya exclusive yake mkoani. Watu hawajui wamsikilize nani. Press ikakosa mvuto hakuna anaeangaika kuijadili.
Ujumbe waliokuwa wanauleta kwa watanzania haieleweki wanachotaka ni nini.
No reform no election ni kama fumbo la imani. Uku wanasema hakutakuwa na uchaguzi kama hakuna reform hapo hapo wanasema hawajasusia uchaguzi. Wao wenyewe hawajui nini haswa wanataka kukifanya. Na wafuasi wao kila mtu ana tafsiri yake ya no reform no election. Sijawai kuona duniani slogan ya kisiasa inabidi ukae chini ueleweshwe ndio uielewe.
Kitengo cha communication kina mengi ya kujifunza bado, Lissu alitakiwa akutane na wanahabari awape nguvu ya kuchukua matangazo wenyewe ili wayaweke kwenye media zao lakini mfumo uliotumika ni kama wanatoa habari za msiba wa kitaifa.
Mapema tu mmeanza habari za kutembeza bakuli, labda kama amuwajui watanzania kwenye michango ππ
Ni wazi Chadema is too big for Lissu and Heche. Wakae chini na watu wenye hekma za uongozi na uzoefu wafundishwe kuongoza. Watanzania wanawatazama if mnaweza kuongoza au ni wapiga kelele wazuri. Na wameanza kuwapuuza sababu hawaelewi nini mnachofanya.
Haileweki kwako, au kwa kila mtu? Mbona wengine tumeelewa kirahisi tu ya kwamba mwaka huu hakuna uchaguzi wa maigizo!!Wangapi watamfikia Lissu na kuulizia? Kama haieleweki maana yake amefeli big time.
Zitamtosha au atalazimishwa akonde kwa nguvu?Hujielewi. Wewe ndiyo umepoteza akili mapema sana. Utakapofikia umri wa Wasira, utakuwa unavalishwa pampasi.
Hata mleta haka kauzi amemfuatilia hadi anaumwa sonona.Yani Tundu Lissu akiongeaa kila panya aliyeko kwenye mapango anajitokeza,maana yeye anapiga kichwani kabisaa.
Sasa mwaka huu mtameza sana dawa za maumivu.
Mungu mbariki Tundu Lissu na vizazi vyake saba..
Hizi hasira unazipeleka sehemu isiyo husika. Msaidien mwenyekiti wenu chama kinamshinda mapema sana.Hujielewi. Wewe ndiyo umepoteza akili mapema sana. Utakapofikia umri wa Wasira, utakuwa unavalishwa pampasi.
Punguza kuvutia BANGE chooni..haya ndio madhara YAKE.Ukiongea pumba kama hivi jamii inaendelea kudharau walimu mashuleni kuwa wote ni mburula.
Lissu anachojua ni uanasheria tena uwakili tu. Kinachofanya awe mwanasiasa wa ovyo ni kutumia uanasheria tena uwakili kwenye siasa. Anatumia ule uanasheria wa kucheza na sheria na kumpa haki mwizi na mhalifu. Nyerere alitahadharisha kwamba sheria na haki sio kitu hikohiko. Watu kama lissu ndio utasikia wakisema wanataka utawala wa sheria huku wakijua kuna soko la haki. Wanasheria vigogo serikalini na wenye fedha wanauza na kununua haki.View attachment 3235309
Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee.
Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema.
Alipata alichokitaka.
Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama.
Naomba niongelee press yake ya jana ambayo matarajio yalikuwa makubwa sana kwa wafuasi wake lakini amewaangusha mno hawakupata walichotegemea.
Jana ilikuwa iwe siku ya kimkakati ya kuonesha uelekeo wa uongozi wa Lissu katika miaka yake mitano, alitakiwa aoneshe energy, aoneshe dira na mikakati inayoeleweka kwa wafuasi wake.
Matokeo yake.
Mwenyekiti anafanya exclusive press conference na makamu mwenyekiti nae anafanya exclusive yake mkoani. Watu hawajui wamsikilize nani. Press ikakosa mvuto hakuna anaeangaika kuijadili.
Ujumbe waliokuwa wanauleta kwa watanzania haieleweki wanachotaka ni nini.
No reform no election ni kama fumbo la imani. Uku wanasema hakutakuwa na uchaguzi kama hakuna reform hapo hapo wanasema hawajasusia uchaguzi. Wao wenyewe hawajui nini haswa wanataka kukifanya. Na wafuasi wao kila mtu ana tafsiri yake ya no reform no election. Sijawai kuona duniani slogan ya kisiasa inabidi ukae chini ueleweshwe ndio uielewe.
Kitengo cha communication kina mengi ya kujifunza bado, Lissu alitakiwa akutane na wanahabari awape nguvu ya kuchukua matangazo wenyewe ili wayaweke kwenye media zao lakini mfumo uliotumika ni kama wanatoa habari za msiba wa kitaifa.
Mapema tu mmeanza habari za kutembeza bakuli, labda kama amuwajui watanzania kwenye michango ππ
Ni wazi Chadema is too big for Lissu and Heche. Wakae chini na watu wenye hekma za uongozi na uzoefu wafundishwe kuongoza. Watanzania wanawatazama if mnaweza kuongoza au ni wapiga kelele wazuri. Na wameanza kuwapuuza sababu hawaelewi nini mnachofanya.
Mkuu, ukijilinganisha na Lisu unafikiri una βkalamaβ ya uongozi kumzidi?View attachment 3235309

Mwambie huyu boya..kwanza kaisha kimbia yeye...aishie TU kua chawa wa diamond platinum.Mkuu, ukijilinganisha na Lisu unafikiri una βkalamaβ ya uongozi kumzidi?
Dua la kuku.View attachment 3235309
Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee.
Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema.
Alipata alichokitaka.
Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama.
Naomba niongelee press yake ya jana ambayo matarajio yalikuwa makubwa sana kwa wafuasi wake lakini amewaangusha mno hawakupata walichotegemea.
Jana ilikuwa iwe siku ya kimkakati ya kuonesha uelekeo wa uongozi wa Lissu katika miaka yake mitano, alitakiwa aoneshe energy, aoneshe dira na mikakati inayoeleweka kwa wafuasi wake.
Matokeo yake.
Mwenyekiti anafanya exclusive press conference na makamu mwenyekiti nae anafanya exclusive yake mkoani. Watu hawajui wamsikilize nani. Press ikakosa mvuto hakuna anaeangaika kuijadili.
Ujumbe waliokuwa wanauleta kwa watanzania haieleweki wanachotaka ni nini.
No reform no election ni kama fumbo la imani. Uku wanasema hakutakuwa na uchaguzi kama hakuna reform hapo hapo wanasema hawajasusia uchaguzi. Wao wenyewe hawajui nini haswa wanataka kukifanya. Na wafuasi wao kila mtu ana tafsiri yake ya no reform no election. Sijawai kuona duniani slogan ya kisiasa inabidi ukae chini ueleweshwe ndio uielewe.
Kitengo cha communication kina mengi ya kujifunza bado, Lissu alitakiwa akutane na wanahabari awape nguvu ya kuchukua matangazo wenyewe ili wayaweke kwenye media zao lakini mfumo uliotumika ni kama wanatoa habari za msiba wa kitaifa.
Mapema tu mmeanza habari za kutembeza bakuli, labda kama amuwajui watanzania kwenye michango ππ
Ni wazi Chadema is too big for Lissu and Heche. Wakae chini na watu wenye hekma za uongozi na uzoefu wafundishwe kuongoza. Watanzania wanawatazama if mnaweza kuongoza au ni wapiga kelele wazuri. Na wameanza kuwapuuza sababu hawaelewi nini mnachofanya.
View attachment 3235309

Uwezo wako wa kufikiri na kuchambua mambo ni wa chini sana kama umekuja na hitimisho kuwa Lissu ameshindwa kukiongoza Chama. Hotuba yake kama ungeisikiliza na ukawa na akili ya kuelewa mambo usingeandika ulichoandika, elimu aliyotoa kila mwenye akili timamu ameelewa kwa nini ni kupoteza muda kuingia kwenye uchaguzi bila marekebisho ya sheria na kanuni za uchaguzi. Na kucheka hatua ya kuomba michango kwa wanachama ni upuuzi wako tu kumbe ulitaka awaombe kina nani kuchangia kazi za Chama? Na kwa taarifa yako hayo ni maandalizi ya kuishi bila kutegemea tena ruzuku toka serikalini. Chadema ina wanachama wengi tu kama wakihamasishwa kuchangia chama hakuna haja hata ya kupokea ruzuku toka serikalini.View attachment 3235309
Uongozi ni kalama na zawadi hii anaigawa mwenyezi Mungu pekee.
Lissu alitumia nguvu, matusi, kejeli, dhiaka na kila aina ya uchafu ili awe mwenyekiti wa Chadema.
Alipata alichokitaka.
Amekuwa mwenyekiti ila hakuna jipya analofanya. Tuliambiwa tumpe muda anaenda chimbo akirudi nchi itasimama.
Naomba niongelee press yake ya jana ambayo matarajio yalikuwa makubwa sana kwa wafuasi wake lakini amewaangusha mno hawakupata walichotegemea.
Jana ilikuwa iwe siku ya kimkakati ya kuonesha uelekeo wa uongozi wa Lissu katika miaka yake mitano, alitakiwa aoneshe energy, aoneshe dira na mikakati inayoeleweka kwa wafuasi wake.
Matokeo yake.
Mwenyekiti anafanya exclusive press conference na makamu mwenyekiti nae anafanya exclusive yake mkoani. Watu hawajui wamsikilize nani. Press ikakosa mvuto hakuna anaeangaika kuijadili.
Ujumbe waliokuwa wanauleta kwa watanzania haieleweki wanachotaka ni nini.
No reform no election ni kama fumbo la imani. Uku wanasema hakutakuwa na uchaguzi kama hakuna reform hapo hapo wanasema hawajasusia uchaguzi. Wao wenyewe hawajui nini haswa wanataka kukifanya. Na wafuasi wao kila mtu ana tafsiri yake ya no reform no election. Sijawai kuona duniani slogan ya kisiasa inabidi ukae chini ueleweshwe ndio uielewe.
Kitengo cha communication kina mengi ya kujifunza bado, Lissu alitakiwa akutane na wanahabari awape nguvu ya kuchukua matangazo wenyewe ili wayaweke kwenye media zao lakini mfumo uliotumika ni kama wanatoa habari za msiba wa kitaifa.
Mapema tu mmeanza habari za kutembeza bakuli, labda kama amuwajui watanzania kwenye michango ππ
Ni wazi Chadema is too big for Lissu and Heche. Wakae chini na watu wenye hekma za uongozi na uzoefu wafundishwe kuongoza. Watanzania wanawatazama if mnaweza kuongoza au ni wapiga kelele wazuri. Na wameanza kuwapuuza sababu hawaelewi nini mnachofanya.
Kwenye "first impression" ameshindwa vibaya sana!View attachment 3235309

Kama CCM walivyofeli kuwaletea wananchi maendeleo hadi leo wanavyoomba msaada kutoka Japan wa kutengenezewa matundu ya vyoo mashuleni. Hii ni futuhi!Tundu Lissu amefeli kuendesha chama, ataweza kuongoza serikali?