Lissu chama kinamshinda mapema sana. Chadema haieleweki inafanya nini

Mkuu inashangazaa sanaa,yani Tundu hoja Za Tundu Lissu akili kubwa zinachambuliwa na kina Oscar Oscar,
Hao level zao ni kina Bashite.
 
Lissu hata TLS ilimshinda kuongoza, alikuwa na mbwembwe wakati wa kampeni alipopata nafasi hakuna TLS inaweza jivunia kutokana na uongozi wake.
 
Kama CCM walivyofeli kuwaletea wananchi maendeleo hadi leo wanavyoomba msaada kutoka Japan wa kutengenezewa matundu ya vyoo mashuleni. Hii ni futuhi!
Lissu anatembeza bakuli hana ubunifu wa vyanzo vya mapato.
 
Hoja iliyopo mezani ni uongozi mpya wa Chadema.

Umri huu bado una tatizo la kusoma na kuelewa?
 
tone hizi kama sio za abiud wa club house ya maria sarungi hii....
 
Team Mbowe tulieni nyie mlikaaa na Chama miaka 21 mkawa mnawachuuza wenzenu saiv mnapiga sana mayowe!! Accept mmepigwa yaishe msonge mbele!!! Kama hamwezi mnaona chama kinakufa hameni mwende ambako hakifi!! Mnajifanya wapinzani kumbe waongo upinzani wenu fake..Njooni CCM
 
Hoja iliyopo mezani ni uongozi mpya wa Chadema.

Umri huu bado una tatizo la kusoma na kuelewa?
Kasome tena kichwa cha uzi huu halafu uje na makalio yako yakiwa sufee.
Kama kuna mahali pameandikwa uongozi mpya wa chadema ulete hoja zako .
 
Kingekua kimemshinda usingemuongelea kama ambavyo hujawahi kumuongelea Lipumba
 
Kasome tena kichwa cha uzi huu halafu uje na makalio yako yakiwa sufee.
Kama kuna mahali pameandikwa uongozi mpya wa chadema ulete hoja zako .
Kwa kweli tatizo la comprehension ni kubwa sana kwenye nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…