PreGE2025 Lissu dhidi ya Ukraine, Gaza, DRC na Sudan, ana bahati mbaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.

Yaani washindwe kutatua shida za Ukraine, Palestine, Sahel, Gaza na Sudan wanaokufa kwa mamilion na mamilion waende kutatua shida ya waliovimbiwa na keki na chocolate?

Imedogosha shughuli ya akina Lissu.
 
Wewe ni mpumbavu
Kaka Kuna watu wako na shida kubwa sana zinazoathiri Dunia nzima na dunia halijui ifanye nini. Haiwezi kuhangaika na chadema. Attention haiwezi kuja Tanzania waache Ukraine na Gaza. Poor timing, aloo.
 
Watajua wenyewe, kikubwa tuishi kwa kutenda mema huku tukipendana sote na kuweka kando matendo maovu kama vile kutekana, kuuana, kubambikiana kesi, kulogana, ufisadi, kuiba n.k
Kaka mamlaka zote zinatoka kwa Mungu, tuanzie hapo kwanza.
 
Kaka Kuna watu wako na shida kubwa sana zinazoathiri Dunia nzima na dunia halijui ifanye nini. Haiwezi kuhangaika na chadema. Attention haiwezi kuja Tanzania waache Ukraine na Gaza. Poor timing, aloo.
Hizo shida kubwa zilianza na udogo!
 
Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.

Yaani washindwe kutatua shida za Ukraine, Palestine, Sahel, Gaza na Sudan wanaokufa kwa mamilion na mamilion waende kutatua shida ya waliovimbiwa na keki na chocolate?

Imedogosha shughuli ya akina Lissu.
TAFAKURI YA KIJASUSI YA KAULI YA ASKOFU GWAJIMA MEI 24, 2025

Na: Steven Mmbogo
Mei 24, 2025

(Soma kwa umakini mkubwa)

1. Utangulizi wa Kiintelijensia (Intelligence Framing)

Kauli ya Askofu Josephat Gwajima inapobebwa kwa darubini ya kijasusi, haipaswi kutazamwa tu kama maoni ya mtu binafsi au ya kisiasa, bali kama signal (ishara) yenye strategic messaging, manipulative potential, na psy-op dimension. Katika muktadha wa Tanzania ya kisiasa mwaka 2025, ambapo mazingira yamejaa ushindani mkali wa madaraka na hofu ya usalama wa kitaifa, kauli kama hizi huchukuliwa kama active measures—kati ya propaganda, psychological conditioning, na disinformation au controlled dissent.

2. Je, ni mpango wa Serikali (Government-Engineered Dissent)?

Kulingana na modeli za kijasusi (counterintelligence framework):

* Controlled Opposition Strategy: Inawezekana Gwajima amepewa nafasi ya kuonekana kama mpinzani ndani ya mfumo ili kuvuta makundi yasioridhika, kujenga "trust pool", na kisha kutumiwa kuelekeza hasira ya umma kwenye mkondo wa mfumo mpya uliopangwa (e.g. chama kipya, movement, au mgombea urais mpya wa CCM au affiliate).

* Signal Conditioning: Kauli kama hizi zinaunda narrative-controlled dissent, ambapo mwanasiasa anapinga jambo ambalo kwa kweli mfumo unataka liangaliwe au litumike kama chombo cha kusafisha sura ya mfumo, bila kuathiri "core strategic assets" za dola.

Lakini pia kuna uwezekano wa pili:

Independent Actor with Personal Agenda: Gwajima anaweza kuwa anacheza karata ya kisiasa binafsi, akiitumia nafasi hii kama exit strategy ya kiitikadi kutoka CCM, akihamia kwenye chama au muungano mpya wa kisiasa kama mgombea wa Urais. Hii ni Positioning Stage, ambapo anajenga ushawishi miongoni mwa makundi ya waumini, vijana, na waliokatishwa tamaa.

3. Je, anaongea Heart Truth? (Tathmini ya Ukweli)

Kwa kiwango cha intelligence-based truth, Gwajima anasema kweli yenye value ya kiuchochezi na mobilization potential, kwa kuwa ametumia mfano wa Father Kitime, katekista, na viashiria vya ukatili dhidi ya viongozi wa kiroho—ambavyo vinatoa emotive leverage kwa jamii ya kidini na wananchi.

Ukweli wake hauko katika "factual completeness", bali uko katika emotional resonance na public sentiment—ambapo watu wengi tayari wanahisi taasisi za usalama zimekuwa passive au selective.

Kwa kijasusi, hii ni aina ya "narrative-embedded truth", yaani ukweli uliopangwa vizuri kuingia akilini mwa watu wengi kwa njia ya kihisia, si hoja kali za kisheria au kiusalama.

4. Faida kwa Umma (Public Reception Benefits)

Demystification of State Security: Umma unapata nafasi ya kuhoji uwezo na msimamo wa taasisi za ulinzi, jambo ambalo linaongeza public vigilance na uwajibikaji wa kisekta.

Mianya ya kijamii na kidini kuelewa mifumo ya utekaji: Kuweka hadharani mifano ya viongozi wa dini waliodhulumiwa kunaibua majadiliano mapya kuhusu state vs religious freedom.

Kuchochea harakati mpya: Maneno haya ni call to consciousness kwa vijana na wananchi wanaotafuta mabadiliko yasiyo ya kimapinduzi lakini ya kimfumo.

5. Madhara kwa Taasisi ya Urais na Serikali

Delegitimization ya Urais: Kauli hii, kwa muktadha wake, inapeleka ujumbe wa "rais ameshindwa kuhimiza accountability kwa vyombo vya usalama", hivyo kupunguza mamlaka ya kimaadili (moral authority) ya taasisi ya Urais.

Damage to Institutional Trust: Inapotamkwa na mbunge wa chama tawala, kauli hii inashusha credibility ya mfumo mzima wa usalama, kwani inajenga taswira ya taasisi zenye hofu au zenye kuendeshwa na "orders from shadows."

Counter-Surveillance Blowback: Vyombo vya usalama vinaweza kuonekana kama vya kufumbia macho maovu, na hivyo kuzalisha public paranoia na mashaka kwa raia kuhusu ustawi wao.

6. Mbinu za kijasusi zinazotumika katika kauli

Echo Chamber Creation: Anatumia media kuanzisha wimbi la kurudiarudia kwa hoja, linalozalisha "truth by repetition".

Use of Religious Reference for Psychological Weight: Anatumia mifano ya viongozi wa dini ili kuongeza emotional payload ya ujumbe wake.

Perception Management: Analenga kudhibiti jinsi umma unavyotazama vyombo vya usalama na serikali bila kutamka moja kwa moja kuwa serikali ndiyo muhusika mkuu.

Strategic Ambiguity: Hajataja wazi nani alihusika, lakini ameacha blank spaces zinazojazwa na tafsiri za umma (ambayo ni silaha ya propaganda ya kisasa).

7. Hitimisho la Kijasusi:

Kauli ya Askofu Gwajima si ya kupuuzwa. Inaweza kuwa:

* Controlled dissent, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kisiasa unaotungwa na mfumo wa ndani kuandaa uhalali wa wagombea wapya au kuendesha mabadiliko kwa namna ya soft landing.

* Organic dissent, ikiwa anajenga nafasi ya kisiasa kama mgombea mbadala, akitegemea public disillusionment na CCM.

Kwa vyovyote vile, ni act of political intelligence signaling yenye gharama na faida. Serikali ikiwa na mfumo wa "early warning and psychological monitoring" wa kisasa, kauli kama hii lazima ishughulikiwe kwa mbinu za "strategic containment", bila kumpa nafasi ya kuonekana shujaa au mteswa wa mfumo.

Ndaga Fijo!
 
Mamlaka zinazotoka kwa Mungu ni zile tu zinazotenda haki, hizo zinazotoa makafara ili zishike madaraka zinatoka kwa Lucifer
wewe na mimi hatujatolewa kafara pamoja na kuandika utumbo mwingi juu ya serikali. Vigezo vya kutolewa kafara ni vipi? Ni ukiandika, kusema au kufanya nini?
 
Hizo shida kubwa zilianza na udogo!
Kakaaa nikwambie kitu. Duniani hakuna kitu kinaitwa demokrasia Wala haki. Trump amenusurika kuawa kwenye taifa ambalo ni kinara wa demokrasia. Wahamiaji wanatoswa majini, kuuliwa na kurudishwa makwao nchi zinazosema Zina demokrasia.

Hata Mungu hana demokrasia Wala haki, tumezaliwa bila hiari zetu Wala demokrasia na wengine wanazaliwa vilema na wengine hufa wangali watoto kabisa. Kwa Mungu Kuna kitu kinaitwa wajibu na mwenye nguvu mpishe. Yaani pambanaaa ukishindwa kimbia na ukishinda chukua (survival of the fittest). Asiyefanyakazi asile, na ni kwa viumbe wote.

China hawana demokrasia lakini wanadunda, uingereza kuna familia moja tu ya ufalme lakini wanaishi nayo hiyo kwa karne na karine.

Ukileta fujo kwa kisingizio cha haki na demokrasia lazima utapambana na survival of the fittest, na mwenye nguvu mpishe. Yaani lazima uwe na nguvu za ziada ili kuchukua katika Dunia ya survival of the fittest. Unazo?
 
Kwa hiyo wanaotekwa wapo sawa kufanyiwa hivyo? Huu ni upumbavu
 
TAFAKURI YA KIJASUSI YA KAULI YA ASKOFU GWAJIMA MEI 24, 2025

Na: Steven Mmbogo
Mei 24, 2025

(Soma kwa umakini mkubwa)

1. Utangulizi wa Kiintelijensia (Intelligence Framing)

Kauli ya Askofu Josephat Gwajima inapobebwa kwa darubini ya kijasusi, haipaswi kutazamwa tu kama maoni ya mtu binafsi au ya kisiasa, bali kama signal (ishara) yenye strategic messaging, manipulative potential, na psy-op dimension. Katika muktadha wa Tanzania ya kisiasa mwaka 2025, ambapo mazingira yamejaa ushindani mkali wa madaraka na hofu ya usalama wa kitaifa, kauli kama hizi huchukuliwa kama active measures—kati ya propaganda, psychological conditioning, na disinformation au controlled dissent.

2. Je, ni mpango wa Serikali (Government-Engineered Dissent)?

Kulingana na modeli za kijasusi (counterintelligence framework):

* Controlled Opposition Strategy: Inawezekana Gwajima amepewa nafasi ya kuonekana kama mpinzani ndani ya mfumo ili kuvuta makundi yasioridhika, kujenga "trust pool", na kisha kutumiwa kuelekeza hasira ya umma kwenye mkondo wa mfumo mpya uliopangwa (e.g. chama kipya, movement, au mgombea urais mpya wa CCM au affiliate).

* Signal Conditioning: Kauli kama hizi zinaunda narrative-controlled dissent, ambapo mwanasiasa anapinga jambo ambalo kwa kweli mfumo unataka liangaliwe au litumike kama chombo cha kusafisha sura ya mfumo, bila kuathiri "core strategic assets" za dola.

Lakini pia kuna uwezekano wa pili:

Independent Actor with Personal Agenda:
Gwajima anaweza kuwa anacheza karata ya kisiasa binafsi, akiitumia nafasi hii kama exit strategy ya kiitikadi kutoka CCM, akihamia kwenye chama au muungano mpya wa kisiasa kama mgombea wa Urais. Hii ni Positioning Stage, ambapo anajenga ushawishi miongoni mwa makundi ya waumini, vijana, na waliokatishwa tamaa.

3. Je, anaongea Heart Truth? (Tathmini ya Ukweli)

Kwa kiwango cha intelligence-based truth, Gwajima anasema kweli yenye value ya kiuchochezi na mobilization potential, kwa kuwa ametumia mfano wa Father Kitime, katekista, na viashiria vya ukatili dhidi ya viongozi wa kiroho—ambavyo vinatoa emotive leverage kwa jamii ya kidini na wananchi.

Ukweli wake hauko katika "factual completeness", bali uko katika emotional resonance na public sentiment—ambapo watu wengi tayari wanahisi taasisi za usalama zimekuwa passive au selective.

Kwa kijasusi, hii ni aina ya "narrative-embedded truth", yaani ukweli uliopangwa vizuri kuingia akilini mwa watu wengi kwa njia ya kihisia, si hoja kali za kisheria au kiusalama.

4. Faida kwa Umma (Public Reception Benefits)

Demystification of State Security
: Umma unapata nafasi ya kuhoji uwezo na msimamo wa taasisi za ulinzi, jambo ambalo linaongeza public vigilance na uwajibikaji wa kisekta.

Mianya ya kijamii na kidini kuelewa mifumo ya utekaji: Kuweka hadharani mifano ya viongozi wa dini waliodhulumiwa kunaibua majadiliano mapya kuhusu state vs religious freedom.

Kuchochea harakati mpya
: Maneno haya ni call to consciousness kwa vijana na wananchi wanaotafuta mabadiliko yasiyo ya kimapinduzi lakini ya kimfumo.

5. Madhara kwa Taasisi ya Urais na Serikali

Delegitimization ya Urais:
Kauli hii, kwa muktadha wake, inapeleka ujumbe wa "rais ameshindwa kuhimiza accountability kwa vyombo vya usalama", hivyo kupunguza mamlaka ya kimaadili (moral authority) ya taasisi ya Urais.

Damage to Institutional Trust: Inapotamkwa na mbunge wa chama tawala, kauli hii inashusha credibility ya mfumo mzima wa usalama, kwani inajenga taswira ya taasisi zenye hofu au zenye kuendeshwa na "orders from shadows."

Counter-Surveillance Blowback
: Vyombo vya usalama vinaweza kuonekana kama vya kufumbia macho maovu, na hivyo kuzalisha public paranoia na mashaka kwa raia kuhusu ustawi wao.

6. Mbinu za kijasusi zinazotumika katika kauli

Echo Chamber Creation
: Anatumia media kuanzisha wimbi la kurudiarudia kwa hoja, linalozalisha "truth by repetition".

Use of Religious Reference for Psychological Weight
: Anatumia mifano ya viongozi wa dini ili kuongeza emotional payload ya ujumbe wake.

Perception Management: Analenga kudhibiti jinsi umma unavyotazama vyombo vya usalama na serikali bila kutamka moja kwa moja kuwa serikali ndiyo muhusika mkuu.

Strategic Ambiguity: Hajataja wazi nani alihusika, lakini ameacha blank spaces zinazojazwa na tafsiri za umma (ambayo ni silaha ya propaganda ya kisasa).

7. Hitimisho la Kijasusi:

Kauli ya Askofu Gwajima si ya kupuuzwa. Inaweza kuwa:

* Controlled dissent, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kisiasa unaotungwa na mfumo wa ndani kuandaa uhalali wa wagombea wapya au kuendesha mabadiliko kwa namna ya soft landing.

* Organic dissent, ikiwa anajenga nafasi ya kisiasa kama mgombea mbadala, akitegemea public disillusionment na CCM.

Kwa vyovyote vile, ni act of political intelligence signaling yenye gharama na faida. Serikali ikiwa na mfumo wa "early warning and psychological monitoring" wa kisasa, kauli kama hii lazima ishughulikiwe kwa mbinu za "strategic containment", bila kumpa nafasi ya kuonekana shujaa au mteswa wa mfumo.

Ndaga Fijo!
Ukitaka kuwaweza chadema bc waunge mkono hoja zao ht kama mna uadui 😂 Bc 2025 akigombea ubunge mpeni kura mana amesema mnachotaka kusikia
 
Kwa hiyo wanaotekwa wapo sawa kufanyiwa hivyo? Huu ni upumbavu
Mbona wewe hukutekwa? Kwanini jamii haitaki kujua kwanini wametekwa, wamefanya nini, wamesema nini au waliandika nini? Mbona Kuna watu humu kazi yao ni matusi lakini wapo tu humu Kila siku?

Aliyetekwa kafanya nini tofauti na wewe ambae upo mtaani. Ni ukifanya nn utatekwa ili tuelimishane tusitekwe.
 
Dunia inalinganisha hoja za akina Lissu na Martha na kile kinachotokea kwenye mataifa ya Ukraine, Gaza ,DRC, na Sudan na kuona kama vile Lissu na Martha karua wamevimbiwa na amani na utulivu Tanzania. Vipaumbele vya dunia haviko kwa akina Lissu, poor timing and planning.

Yaani washindwe kutatua shida za Ukraine, Palestine, Sahel, Gaza na Sudan wanaokufa kwa mamilion na mamilion waende kutatua shida ya waliovimbiwa na keki na chocolate?

Imedogosha shughuli ya akina Lissu.
Dunia ipi unaongelea?
 
Trump bado anahangaika na waliotaka kumuua , hawezi kuhangaika na waliotaka kumuua Lissu. Ulaya wanahangaika na madai na kero za raia wao. Poor planning and timing.
Hivi marekani wanaeza kosa usingiz sababu serikal inafanya mambo fulani?
 
Back
Top Bottom