Usilinganishe China,Russia Nkorea na mambo ya kijingaKwani wewe unadhani kwenye mfumo wa ujamaa kama China, Russia, Cuba, au NKorea hakuna watu wanaotaka demokrasia kama ya Magharibi? Uliza wanafanywa nini na mfumo. Katiba yetu ni ujamaa na kujitegemea. Kwani wajamaa wanayo demokrasia? Lazima muwe na akili pana.
Yaani wewe unalelewa na mkeo, hovyo kabisa.. Mimi nabishana na mtu mwenye kitu kichwani, anaengeza maarifa na uelewa kwa wasomaji wenzake humu jf sio matusi.Kama wewe ni mwanamke mmeo ana kazi ngumu sana kukulea, ila kama ni mwanamme watoto wako wana hasara ya kudumu.
Ndio maana nakwambia watu watapata tabu sana. Nyerere alitupeleka Mashariki, alinakiri Katiba ya China ya Mao. Kwani na urusi na Cuba na NKorea Kuna vyama vingine vilivyowahi kutawala? Wanabadilika viongozi lakini sio chama, na wanaoponga hilo wapo lakini......., kama hapa kwetu tu. Ambalo CCM hawafanyi ni kuwanyonga wale wanaoiba na kulitia hasara taifa miongoni mwao.Usilinganishe China,Russia Nkorea na mambo ya kijinga
Sasa unataka CCM wajinyonge!? Sheria mnazivunja wenyewe bila kujali kama ni za kijamaa au kibepari.Ndio maana nakwambia watu watapata tabu sana. Nyerere alitupeleka Mashariki, alinakiri Katiba ya China ya Mao. Kwani na urusi na Cuba na NKorea Kuna vyama vingine vilivyowahi kutawala? Wanabadilika viongozi lakini sio chama, na wanaoponga hilo wapo lakini......., kama hapa kwetu tu. Ambalo CCM hawafanyi ni kuwanyonga wale wanaoiba na kulitia hasara taifa miongoni mwao.
Nyerere alikopi kila kitu kutoka kwa Mao, akaandika katiba inayompa nguvu nyingi kama zile alizokuwanazo Mao na akaja na akaandika Azimio la Arusha kuhusu viongozi kama ilivyo kwa China. Tatizo ni pale CCM ilipoamua kubaki na Katiba ileile kama China lakini wakaondokana na Azimio la Arusha na kuja na Azimio la Zanzibar lililoruhusu wizi. Yaani Katiba nzuri lakini maadili mabaya.Sasa unataka CCM wajinyonge!? Sheria mnazivunja wenyewe bila kujali kama ni za kijamaa au kibepari.
Ndiyo maana CCM wanaitwa genge la wahalifu kwa sababu hamfuati hata hizo sheria mbaya mlizotunga wenyewe. Msitumie kisingizio cha katiba ya kijamaa kuhalalisha uhalifu mnaoufanya.